-->

Category Archives: BongoFleva

HABARI ZA MASTAA VideoMPYA: Dayna Nyange ka...

Post Image

Msanii wa kike wa Bongofleva Dayna Nyange ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘Salesale’ unadakika 3:33 karibu kuitazama ukishaitazma andika Comment yako hapa chini nayo itamfikia Dyna. Bonyeza Play hapa chini kuitazama..

Read More..

VideoMPYA: Hatimaye Billnass katuletea ‘T...

Post Image

Msanii wa Bongofleva Billnass anatualika kutazama video mpya ya wimbo wake unaoitwa ‘Tagi Ubavu‘ ambayo Audio imetayarishwa na Producer Mr T-touchez na video imeandaliwa na Directer Travellah ambayo video inadakika 3:39. Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama Video hiyo..

Read More..

Aslay na Nandy wapigwa faini milioni 5

Post Image

Wasanii Aslay na Nandy wamepigwa faini ya milioni 5 kwa pamoja kutokana na kukiri, kukubali kosa kuimba wimbo wa ‘Subalkheri Mpenzi’ bila kufanya mawasiliano na wamiliki wa wimbo huo ambao ni kikundi cha Utamaduni cha taarab asilia visiwani Zanzibar. Kikundi hicho kilikusudia kuwafikisha mahakamani wasanii hao lakini kabla ya kuchukua hatu hiyo Aslay na Nandy […]

Read More..

Rachel Amkana TID

Post Image

Dar es Salaam. Mwanamuziki wa Bongo, Rachel amesema hajawahi kutoka kimapenzi na TID kama inavyokuwa ikiripotiwa awali. Muimbaji huyo anayetamba na ngoma ‘Same Boy’ alisema taarifa hizo hazina ukweli wowote na wala hajawahi kubeba ujauzito wa TID. “Niseme tu TID siyo bwana yangu, siyo mtu wangu, TID hawezi kuwa mtu wangu, TID mkubwa ujue, ana […]

Read More..

VIDEOMPYA: Witnesz “Kwani Shngapi”

Post Image

Leo February 19,2o18 msanii Witnesz “Kibonge mwepesi” ametuletea  Video ya wimbo wake mpya “Kwani shngapi” ikiwa ni ngoma ambayo amesimama mwenyewe. Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama

Read More..

AUDIO MPYA: Rayvanny , Jason derulo na Fren...

Post Image

Moja kati ya stori zilizochukua headlines kwa mwaka 2017 ni pamoja na msanii kutokea WCB Rayvanny kutangaza kuwa ameshirikishwa katika ngoma moja na msanii kutokea pande za Marekani Jason Derulo. Usiku wa February 19 2018 audio ya ngoma hiyo imetoka rasmi ndani ya ngoma hiyo wakiwa wameshirikishwa Rayvanny wa WCB na mkali French Montana, goma yenyewe inaitwa Tip Toe Remix.

Read More..

Nandy alivyouvaa uhusika katika Subalkheri ...

Post Image

Ni jambo la kawaida kwa wasanii wa kike hapa kujipamba wakati wa kutengeneza video zao kwa mapambo ya kila aina ikiwamo vipodozi. Hali hiyo inafanya wengine hata kusahaulika sura zao halisi, hasa pale wanapozidisha mapambo hiyo ikiwemo kubadili nywele zao kwa kuvaa za bandia. Lakini kwa Nandy ambaye jina lake halisi Faustina Charles naona hali […]

Read More..

VideoMPYA: Saida Karoli kwenye “Akatambal...

Post Image

February 12,2018 msanii mkongwe katika game ya muziki nchini Saida Karoli anakuletea video ya wimbo wake mpya “Akatambala” akiwa ndani kamshirikisha Hanson Bariluno kutokea Uganda.

Read More..

VideoMPYA: Beka Flavour anakualika kuipokea...

Post Image

Tukielekea kwenye msimu wa Valentine msanii wa Bongo Fleva Beka Flavour anakuletea hii video mpya ya kuitazama “Kibenten”. Usisahau kuweka comments yako baada ya kuitazama

Read More..

VideoMpya: Christian Bella yupo na Malaika ...

Post Image

February 12, 2018 Karibu uweze kuitazama Video Mpya ya Christian Bella yupo pamoja na Malaika Bandwimbo unaitwa ‘Rudi’, itazame kwa kubonyeza PLAY hapa chini.  

Read More..

VideoMpya: ‘Asali’ ya Chemical amemshir...

Post Image

February 11, 2018 nakusogezea Video Mpya ya Chemical akiwa amemshirikisha Beka Flavour wimbo unaitwa ‘Asali’. Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama. Pia usisahau kuweka comment yako ili Chemical akipita aweze soma maoni yako juu ya Video yake.

Read More..

Video Mpya – Ngoma mpya ya Mbosso ina...

Post Image

Tarehe 9 febuari,2018 msaani MBOSSO ametoa nyimbo mpya inayoitwa” NIMEZOEA”. BOFYA “play” kutazama video yake

Read More..

Diamond afunguka kuhusu mahusiano na baba y...

Post Image

Baada ya tetesi za muda mrefu kuzagaa kuwa Msanii wa Muziki nchini Tanzania, Diamond Platnumz kuwa hana mahusiano mazuri na baba yake mzazi, Hatimaye Diamond ameweka wazi ukweli wote kwa kukanusha taarifa hizo. Diamond amesema kuna watu wenye hira ndio wanaokuza mambo lakini yeye huwa anawasiliana naye na huwa anamsaidia pale anapokuwa na kitu. Ingawaje […]

Read More..

ChindoMan Ft Rayvanny (wcbwasafi) – M...

Post Image

Bongo Flevani nakusogezea video ya wimbo mpya wa Chindo Man “Mama Lao” akiwa amemshirikisha Rayvanny kutokea WCB. Bonyeza PLAY ku-enjoy wimbo huo.

Read More..

VideoMPYA: “Tuheshimiane” kutoka k...

Post Image

Baaada ya muda na kimya kirefu hatimae leo msanii Mr. Nice katuletea ngoma yake mpya ijulikanayo kwa jina la “Tuheshimiane”, chini ya uongozi wa Pizzo Mtena ikiwa imetengenezwa na I Studio. Bofya hapa chini kuitazama

Read More..

Ukweli Kuhusu Zawadi ya Gari Aliyoahidi Har...

Post Image

Utakumbuka mapema mwaka huu msanii Shilole alifanya harusi mara baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake, Uchebe. Mastaa kibao walimzawadia vitu mbali mbali, miongoni mwao ni Harmonize ambaye aliahidi kumnunulia Shilole gari aina ya Noah. Hata hivyo Shilole amesema bado hajakabidhiwa gari hilo ila Harmonize kamdhibitishia kuwa ameshalinunua na kilichobaki ni makabidhiano mbele ya vyombo […]

Read More..

Tumenusurika kumwagwa damu – Shilawadu

Post Image

Kupitia mtayarishaji wa kipindi cha Shilawadu kinachoruka Clouds Tv, Benedict Noel amebaisha kuwa kazi ya kukusanya material ya kipindi hicho ni kigumu kutokana na mambo wanayopitia wakati wa kutafuta habari ya kipindi husika. Mtayarishaji huyo amebaibsha hayo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram wa kipindi hicho kwa kuandika mambo wanayokutana nayo na waliyokutana nayo hivi […]

Read More..

VIDEOMPYA: Lulu Diva-amezoea

Post Image

Msaani Lulu diva kaachia video mpya,inaitwa “amezoea”. BOFYA PLAY KUITAZAMA

Read More..