Diamond: Niombeeni Nirudi na Tuzo
WAKATI akisafiri kuelekea nchini Marekani kwa ajili ya kushiriki utoaji wa tuzo za BET, msanii wa kizazi kipya, Nassib Abdul ‘Diamond’, amewataka Watanzania waendelee kumuombea ili arudi na tuzo hizo zinazotarajiwa kutolewa Juni 26. Diamond alichaguliwa kuwania tuzo hizo kipengele cha msanii bora wa kimataifa kutoka Afrika (Best International Act Africa). Kupitia kwa meneja wake, […]
Read More..