Kuatana na Jamaa Anaeipwa Kuwatoa Usichana ...

Katika tamaduni nyingi kote duniani mwanamke anapoolewa huwa ni fahari kubwa sana akiwa ni bikira. Mathalan ni dhihirisho la mwanamke kuwa amelelewa na kutunzwa vyema.Ni dhihirisho la usafi. Hata hivyo jamii moja nchini Malawi haithamini ubikira wa watoto wao wa kike. Amini usiamini wazazi huwa wanamlipa ”Fisi” kumbikiri binti yao punde tu anapopata hedhi yake ya […]
Read More..