-->

Nay wa Mitego Aweka Wakili Kuwakabili Bongo Movie Mahakamani

kajala67e

Hivi juzi kati kupitia akaunti yake ya Instagram,Nay Wa Mitego alipost mashairi yenye ‘utata’ ya ngoma yake mpya yakiwalenga wasanii wa Bongo Movie,baadhi ya wasanii hawakupendezwa na mashairi hayo:

Nay aliandika mshairi haya;

“Mungu akunyimi vyote lazima atakupa chako, Demu anasura mbayaa lakini ana Bonge la Tako.
BongoMovie Imekufa wamebaki kuuza Sura, Wote wanataka Kuimba Kama Shilole Snura.
Ray Kigo kawa Mkongo Mpaka Leo anaishi kwao, hela za kuuza Movie zote ananunua Mkorogo?.
Kuna Nivar super Marioo ana Gari la Milioni Kumi ajawai ata miliki Getto, anaishi kwa Mademu wakiachana Gari ndio Geto.
Kuna Wasanii Mapunga walio ponzwa na tamaa………………… #ShikaAdabuYako????
Haitoki hii nimeirecord tu yakusiliza na wanangu maskaniiiii??? maana mtanichukia kwa niliyozungumza umuuu???”.

Kajala akafunguka;

’Nyie mnacheka mnaona sifa huyo anatukana anafanya nini… wakati sisi tunauwezo wa Bongo Movie wote kumshtaki hawezi kututukana hivyo yeye ni nani? Mnakaa mnadhalilishwa mnafurahi,’’ Kajala.

Nay akasema tena;

‘’Nimesikia kuwa Bongo Movie wana mpango wa kunipeleka mahakamani nimeongea na wakili wangu kaniambia tutashinda kesi…halafu Kajala namuheshimu sana kama mama yangu…Nimemsikia alichosema nasubiria wanipeleke mahakamani…,’’

Cloudsfm.com

Comments

comments

Post Tagged with ,

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364