-->

Tag Archives: KAJALA

Wema, Kajala Acheni Utoto Bwana!

Post Image

KWENU warembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu ‘Madam’ na Kajala Masanja. Habari zenu binafsi? Bila shaka ni wazima wa afya na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku. Kitambo kidogo sijawaona lakini naamini pumzi ya bure mnaendelea kuivuta ndiyo maana nasikia matukio yenu kwenye vyombo vya habari. Mkitaka kujua afya yangu, mimi ni mzima. Namshukuru […]

Read More..

Kajala Sasa Ajis’tukia Kuzeeka

Post Image

Staa wa Filamu Bongo, Kajala Masanja amesema kuwa mambo ya kimjini kama wafanyavyo mastaa wengine kwa sasa ameyapa mgongo kwa madai kuwa anaona anaelekea kuzeeka. Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Kajala alisema kila anapojiangalia anaona kabisa alivyokuwa zamani sivyo alivyo sasa hivyo ana kila sababu ya kubadilika. “Kiukweli najiona kabisa naelekea kuzeeka, […]

Read More..

Mimba ya Kajala Yachoropoka

Post Image

Baada ya kunasa ujauzito ambao ulisemekana ni wa kigogo mmoja serikalini, bahati haikuwa yake mwigizaji Kajala Masanja kwani mimba hiyo imechoropoka. Rafiki wa karibu na mwigizaji huyo ameliambia Risasi Jumamosi kuwa mwigizaji huyo aliugua malaria ambapo dawa alizokunywa zimemsababishia mimba hiyo ichoropoke. “Nahisi ni madawa ya malaria aliyokunywa, huwezi amini alijisikia vibaya baada ya kumeza, […]

Read More..

Nay wa Mitego Aweka Wakili Kuwakabili Bongo...

Post Image

Hivi juzi kati kupitia akaunti yake ya Instagram,Nay Wa Mitego alipost mashairi yenye ‘utata’ ya ngoma yake mpya yakiwalenga wasanii wa Bongo Movie,baadhi ya wasanii hawakupendezwa na mashairi hayo: Nay aliandika mshairi haya; “Mungu akunyimi vyote lazima atakupa chako, Demu anasura mbayaa lakini ana Bonge la Tako. BongoMovie Imekufa wamebaki kuuza Sura, Wote wanataka Kuimba […]

Read More..

Eti Mimba ya Kajala Nayo Figisufigusi, Huo ...

Post Image

MOJA kati ya majina makubwa katika Bongo Muvi ni Kajala Masanja, ambaye kwa nyakati tofauti amebeba headlines katika vyombo vya habari. Ni muigizaji mzuri wa kiasi chake hasa kwa levo za wacheza filamu wa nyumbani, ingawa kwa mtu mwenye mzuka wa kufika mbali, anahitaji kujinoa zaidi ili kufanikiwa kuwa zaidi ya alivyo sasa. Kibongobongo, ni […]

Read More..

Kajala Ajivunia Paula Wake

Post Image

Staa mrembo wa Bongo Movies, Kajala Masanja ameonyesha kujivunia kukuza binti yake,  Paula kwa kuweka picha hizo hapo juu mtandaoni akiwa na Paula wakati akiwa mtoto na sasa hivi alivyokuwa binti  kisha akaandika haya. “Back then when my Paula was a baby now she is a grown young lady, I love u princess????”-Kajala Hongera sana […]

Read More..

Wema Adai Kuwa Kajala ni Mtu Mzima Fulani ...

Post Image

Wema Sepetu amesema hataki tena kuwa karibu na rafiki yake wa zamani Kajala Masanja kwa madai alishindwa kumtafuta na kumuomba msamaha kwa makosa aliyoyafanya.   Akizungumza katika kipindi cha Take One cha Clouds TV, Wema alisema Kajala kwa sasa anamchukulia kama mtu asiyemfahamu. “Mimi mtu ambaye sitaki kujiassociate naye namtoa kabisa ndio maana naweza nikakaa […]

Read More..

Kajala Adaiwa Kunasa Ujauzito wa Kigogo

Post Image

DAR ES SALAAM: Good news? Huenda mambo yanaweza yakawa yamejipa kwa mwigizaji Kajala Masanja ‘Kay’ kwani kuna taarifa zinadai kuwa mwigizaji huyo amenasa mimba ya kigogo serikalini. Chanzo makini kilicho karibu na staa huyo ambaye ana mtoto mmoja aliyezaa na prodyuza mkongwe Bongo, Paul Matthysse ‘P Funk’ (Paula), kimepenyeza ubuyu huo kuwa Kajala ana mimba […]

Read More..

Mtoto wa Kajala Akerwa na Kazi ya Mama Yake

Post Image

MTOTO wa muigizaji wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja aitwaye Paula, ametoa mpya baada ya kudai kuwa havutiwi na sanaa anayofanya mama yake, isipokuwa anapenda zaidi uanamitindo. Akizungumza na gazeti hili, mtoto huyo alisema anavutiwa zaidi na Hamisa Mobeto, ambaye licha ya kuigiza, lakini anatumia sehemu kubwa ya muda wake kufanya uanamitindo, kitu ambacho ni […]

Read More..

Kajala: Mwanangu Paula ni Mlevi wa Kuogelea

Post Image

Mtoto wa msanii wa filamu Bongo, Kajala Masanja, Paula Paul anadaiwa kuwa mlevi wa kuogelea ambapo kila wikiendi amekuwa akimlazimisha mama yake ampeleke bichi. Mtu wa karibu wa Kajala aliyeomba jina lake lisiandikwe gazetini aliliambia Ijumaa kuwa, Paula amekuwa akimsumbua mama yake ampeleke bichi kila ifikapo mwisho wa wiki. “Yaani yule mtoto ni mlevi wa […]

Read More..

Picha: Kajala Akijiachia na Dada Yake Diamo...

Post Image

HUKU kukiwa na madai kwamba mwigizaji Kajala Masanja ana uhusiano wa ‘kikubwa’ na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, mwigizaji huyo amezidi kuyachochea moto madai hayo kwa kutokana na kujiachia mara kwa mara na dada wa Diamond, Queen Darleen, Risasi Mchanganyiko linakujuza. Kwa mujibu wa chanzo makini, Kajala na Queen Darleen wamekuwa ‘beneti’ kila kona […]

Read More..