-->

Tag Archives: NAY

Ney wa Mitego: Muziki Sio Vita, Avunjiwa Vi...

Post Image

Msanii Ney wa Mitego amepata ajali ya kuvunjiwa kioo cha gari yake na watu wasiojulikana, alipokuwa njiani akielekea EATV kwenye mahojiano ya kipindi cha Friday Night Live. Kwenye ukurasa wake wa instagram Ney wa Mitego ametoa taarifa hiyo, na kuwaomba radhi mashabiki wake kwa kushindwa kufika kwenye kipindi hicho, ambapo alitarajiwa kwenda kutambulisha video yake […]

Read More..

Nay wa Mitego Awachukulia R/B Wanaomfuatili...

Post Image

MKALI wa Bongo Fleva, ambaye wimbo wake wa ‘Shika Adabu Yako’ umefungiwa na Baraza la Sanaa Nchini (Basata), Emmanuel Elibariki ‘Ney wa Mitego’, ameibuka na kudai kwamba ameamua kuchukua R/B kituo kidogo cha polisi ili kuwadhibiti watu anaodai wanamfuatilia kwa nia ya kumtendea mabaya. “Kiukweli sina ugomvi na mtu na hii ni dunia haina siri, […]

Read More..

Sijapenda ujauzito wa Wema Sepetu uharibike...

Post Image

Msanii wa muziki wa Hip Hop Nay wa Mitego amesema hakupenda ujauzito wa Wema Sepetu uharibike kama baadhi ya mashabiki wa Wema Sepetu wanavyodai katika mitandao ya kijamii. Rapa huyo kupitia wimbo wake “Shika Adabu Yako’ alimchana Wema ‘una mimba kweli, au ndio kiki za msimu?. Miezi tisa sio mingi, isije ikakugharimu” kauli ambayo ilitafsiriwa […]

Read More..

Nay wa Mitego: Kuongea Kwangu Ukweli Kunani...

Post Image

Nay Wa Mitego amesema ngoma zake zenye mashairi yanayowahusu baadhi ya wasanii zimemfanya akose marafiki na baadhi yao ambao alikuwa nao karibu kumtenga. ‘’Ilishawahi kutokea nilipotoa ngoma yangu ya ‘Salamu Zao’ kuna baadhi ya washikaji zangu ambao nilikuwa nao karibu walinikimbia wakajua chochote kinaweza kutokea,nilipotoa nyimbo zingine haikuwa hivyo,ila nilipoa ngoma yangu mpya baadhi yao […]

Read More..

BASATA Waishikisha Adabu ‘Shika Adabu Yako’

Post Image

Baraza la sanaa la Taifa BASATA limeufungia rasmi wimbo wa msanii Ney wa Mitego ‘Shika adabu yako’, ambao umeleta gumzo kubwa na mtafaruku kwa wasanii wengine na BASATA. BASATA imetoa taarifa hiyo kwenye ukurusa wake wa twitter, na kuelezea kuwa wameamua kuufungia wimbo huo kutokana na ukiukwaji mkubwa wa maadili na uchochezi. “BASATA limeufungia rasmi […]

Read More..

Nay wa Mitego Aweka Wakili Kuwakabili Bongo...

Post Image

Hivi juzi kati kupitia akaunti yake ya Instagram,Nay Wa Mitego alipost mashairi yenye ‘utata’ ya ngoma yake mpya yakiwalenga wasanii wa Bongo Movie,baadhi ya wasanii hawakupendezwa na mashairi hayo: Nay aliandika mshairi haya; “Mungu akunyimi vyote lazima atakupa chako, Demu anasura mbayaa lakini ana Bonge la Tako. BongoMovie Imekufa wamebaki kuuza Sura, Wote wanataka Kuimba […]

Read More..

Ray Kawa Mkongo Mpaka Leo Anaishi Kwao- Nay

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo fleva Nay wa mitego ameweka wazi baadhi ya mistari ambayo ipo kwenye moja ya wimbo wake ambao ana wasiwasi kuuachia kwa mashabiki kutokana na vitu alivyozungumza. Kwenye wimbo huo ambao anadai anaogopa akiuachia watanzania watamchukia kwa mambo aliyozungumza kwenye wimbo huo alioupa jina la ‘Shika adabu yako’. Katika wimbo huo […]

Read More..

Nay wa Mitego auelezea mkasa wa mwanae Curt...

Post Image

Rapa Nay wa Mitego amedai alimnyang’anya ex wake Siwema mtoto wao Curtis baada ya kile alichodai mwanadada huyo kuendekeza starehe za club pamoja na kusafiri nje ya mkoa kwa zaidi ya wiki mbili huku akiwa amemuacha mtoto nyumbani. Akizungumza katika kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM Ijumaa hii, Nay alisema aliamua kumhifadhi lakini huu […]

Read More..

Mimi na Shamsa Ford Tuliachana Vizuri – N...

Post Image

Nay wa Mitego amezungumzia jinsi alivyoachana na aliyekuwa mpenzi wake Samsha Ford baada ya mwanadada huyo kudai hataki tena kutoka kimapenzi na mastaa.   Akizungumza na Bongo5 Jumatatu hii, rapa huyo alisema licha ya kuachana na mwanadada huyo bado ni mshkaji wake na wanapiga stori kama kawaida. “Mimi binafsi sijui alikuwa anamaanisha nini lakini kitu […]

Read More..