Wastara Amelazwa Hospital Huko Kenya
Staa wa Bongo Movie, Wastara Juma amelezwa hospital huko inchini Kenya akisumbuliwa na mumivu ya mgongo taarifa iliyotolewa na uongozi wake kupitia mtandao wa instagram imeeleza.
“Habari za Asubuhi Wapendwa Naomba Tumuweke kwenye Sala Zetu Dada Yetu mpendwa Wastara, kutokana na hali yake Anasumbuliwa na maumivu ya mgongo ambayo yanampelekeaga kupoteza Fahamu, Jana usiku yamemkuta matatizo hayo akiwa nchini Kenya ambako yupo kikazi.
Amelazwa huko na hali yake bado siyo nzuri . Tunaomba Dua zenu wapendwa iliarudi kwenye hali yake ya kawaida.
#Imetolewanauongozi”
Tuendelee kumuombea apone haraka.