-->

Daily Archives: March 7, 2016

Lulu Kutua Kesho na Tuzo Yake

Post Image

Tunajua ni Watanzania wawili walishinda tuzo mbili kwenye usiku wa tuzo za Africa Magic Viewer’s Choice Awards, wa kwanza ni Single Mtambalike ‘Richie’ na Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambapo Richie tayari alisharudi nyumbani Tanzania usiku wa March 6 2016 ila Lulu hakutokea Airport japo baadhi ya watu walimtarajia. Lulu alishindwa kutokea jana akiambatana na Richie na kuiambia […]

Read More..

Mwasiti: Wanawake Tuwekeze Kwenye Ardhi Siy...

Post Image

MSANII wa muziki wa Zouk, Mwasiti Almasi, amewaasa wanawake waachane na matumizi mabaya ya fedha kwa kununua nywele, vipodozi na nguo za gharama, badala yake watumie fedha hizo kuwekeza katika ardhi. Mwasiti anawaasa wanawake wenzake kuelekea maadhimisho ya siku ya mwanamke duniani inayoadhimishwa kesho ambapo msanii huyo na wenzake watatu watatumbuiza katika tamasha maalumu litakalofanyika […]

Read More..

Van Vicker Anaamini Tanzania Itapasua Zaidi...

Post Image

MUIGIZAJI nyota wa Ghana, Joseph van Vicker, amesema Tanzania ina nafasi kubwa ya kuendelea kutamba baada ya wasanii wake wawili kushinda tuzo. Single Mtambalike ‘Rich Rich’ na Elizabeth Michael ‘Lulu’ wameibuka washindi katika African Magic People’s Choice Awards zilizofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Eko kwenye Kisiwa cha Victoria jijini hapa, juzi. Akizungumza na Championi […]

Read More..

Mapokezi ya Richie Uwanja wa Ndege wa Kimat...

Post Image

USHINDI huwa ni chachu kwa kila ashindaye hayo yamejitokeza leo usiku baada ya watayarishaji waliokuwa Naijeria kuingia mnamo saa saba kasoro wakiwa na mshindi mmoja aliyeshinda tuzo ya kipengele cha Filamu ya Lugha ya kigeni. Mwakifwamba na Amili Keki Richie danga Richie akiwalisha wanaye keki Amil, Honeymoo na Richie shampen Dude akila Keki Jb akilishwa […]

Read More..

Ali Kiba: Serikali Iweke Mkono Bongo Movie

Post Image

MWANAMUZIKI Ali Saleh Kiba amesema ingekuwa jambo zuri kama wasanii wa Bongo Movie watapewa nguvu zaidi na serikali. Kiba ameyasema hayo wakati akizungumzia ushindi wa Watanzania Single Mtambalike ‘Rich Rich’ na Elizabeth Michael ‘Lulu’ wakati wa tuzo za African Magic People’s Choice Awards zilizofanyika katika Hoteli ya Eko kwenye Kisiwa cha Victoria jijini Lagos, Nigeria, […]

Read More..