-->

Daily Archives: March 10, 2016

Serikali Hii ya Dk Magufuli Tutafanikiwa -D...

Post Image

Msanii wa filamu nchini Dkt Cheni amesema ana imani kubwa sana na serikali ya Rais Dkt John Magufuli kwamba itawasaidia wasanii katika kuondoa tatizo sugu la kuibiwa kwa kazi zao na kuuzwa kwa bei ya chini. Cheni ameyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano na kipindi cha E News kinachorushwa na kituo cha EATV kila siku jumatatu […]

Read More..

Nay wa Mitego Afunguka Sababu za Kutowataja...

Post Image

‘’Sikutaka kulizungumzia hili lakini nilijua watu watajaji,hata kwenye ‘comments’ watu wengi wanasema kwanini sijamuimba rafiki yangu Diamond na ana skendo nyingi’’ Alisema Nay Wa Mitego. ‘’Unajua sitaki kufanya kitu ambacho kila mtu tayari anacho kichwani mwake ili ni jawabu tosha kwa watu ambao wanajaji hilo kila mtu angekuwa anategemea ningemdisi Ali Kiba au Diamond sikutaka […]

Read More..

Ningemkuta mama Kanumba nisingemfukuza-Lulu

Post Image

Msanii wa filamu Tanzania, Elizabeth Michael alimaarufu kama ‘Lulu’ amefunguka na kusema kuwa yeye hafahamu sababu zilizofanya mama mzazi wa Kanumba asitokee kwenye mapokezi yake baada ya kushinda tuzo nchini Nigeria. Mtangazaji wa kipindi cha eNEWS alihoji ni sababu zipi zimepelekea Mama Kanumba kushindwa kutokea kwenye mapokezi yake ili hali Mama huyo alishiriki kwenye movie […]

Read More..

Gharama ya Mwili Wangu ni Ada ya Watoto Lon...

Post Image

Msanii wa filamu nchini Jacob Stephen maarufu kama JB amesema gharama ya mwili wake ni sawa na kusomesha watoto wawili London. Jb ameyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano katika kipindi cha E News kinachorushwa na kituo cha EATV . ”Mimi mwili wangu ni wa Kimarekani nimekwenda juu na mnene ndiyo maana hata watafiti wanakiri kwamba hakuna […]

Read More..

Harmonize: Nitafanya Kazi na Ali Kiba Bila ...

Post Image

LICHA ya tetesi kwamba wasanii wawili wa muziki wa Bongo Fleva, Ali Kiba na Nasibu Abdul ‘Diamond’, kutoonyesha nia ya kushirikiana katika muziki wao, msanii anayetamba na wimbo wa ‘Bado’, Rajabu Ibrahimu ‘Harmonize’, amesema yupo tayari kufanya kazi na Ali Kiba bila kikwazo chochote. Msanii huyo alisema Ali Kiba ni msanii wa Tanzania na ni […]

Read More..