-->

Daily Archives: March 25, 2016

Picha: Diamond Akiwa na Familia Yake Nchini...

Post Image

Hizi ni baadhi ya picha za staa wa bongo fleva, Diamond Platnumz akiwa pamoja na familia yake,mama yake, mtoto wake (Tiffah) pamoja na mzazi mwenzie (Zari) wakiwa nchini Sweden.   Diamond yupo barani ulaya kwa akifanya show kwenye nchi mbali mbali. #FromTandaleToTheWorldTour  

Read More..

Siri 5 za Ndoa ya Wastara Kuvunjika!

Post Image

Saa 24 tu tangu kupatikana kwa habari kwamba, ndoa ya staa wa sinema za Bongo, Wastara Juma aliyoifunga na Mbunge wa Jimbo la Donge, Zanzibar, Sadifa Juma imevunjika, sasa siri 5 za kuparaganyika kwa ndoa hiyo ziko mikononi mwa gazeti hili. Ndoa hiyo ilidaiwa kuvunjika rasmi Machi 21, mwaka huu baada ya kuishi kwa siku […]

Read More..

Filamu Kubwa ya Action ya ‘Omba’ Kutiki...

Post Image

FILAMU ya Mapigano ijulikanayo kwa jina la Omba imekamilika na muda si mrefu itaingia sokoni ni kazi kutoka kwa mwanadada Christina Mroni ‘Tina’ ambaye ameigiza kama kinara wa filamu hiyo ambayo inakuja kuleta mabadiliko makubwa Swahilihood. Frank (Jumbe) mwigizaji ambaye ameigiza kama Rais katika sinema ya Omba. Filamu ya actions ya Omba kutoka Swahilihood Akiongea […]

Read More..

JB: Ugumu wa Soko la Filamu Umenibadilisha

Post Image

JACOB Stephen ‘JB’ anasema kuwa ugumu wa soko la filamu umemfanya aangalie njia nyingine ya kufanya sanaa yake iendelee kuwa bora kwa kuanza kurekodi tamthilia tofauti na awali alijiwekeza sana katika Filamu pekee kwani lengo ni kufikisha ujumbe kwa jamii. “Dunia inabadilika na inaenda kwa kasi sana hivyo ni lazima pia mtu ubadilike, kazi ya […]

Read More..

Linah Sanga Afungukia Rushwa ya Ngono Kweny...

Post Image

Tetesi zimezidi kuvuma na zimekwenda mbali zaidi kwa kusema kuwa wasanii wa kike wale wakali bongo ili waweze kufanya video nzuri na waongozaji wakubwa zaidi pia wanatoa rushwa hiyo ya ngono. Kipindi cha Enews kinachorushwa na East Africa Television kilitaka kufahamu kama kuna ukweli wasanii hao wa kike huhonga ngono ili wafanyiwe kazi nzuri kwenye […]

Read More..

Hivi Ndivyo Diamond Alivyomsaidia Chid Benz

Post Image

Meneja wa wanamuziki wa bongo fleva Babu Tale ameweka wazi kitu ambacho watu wengi walikuwa hawakijui kuhusu Diamond na Chid Benz. Akiongea kwenye kipindi cha eNews kinachorushwa na East Africa Television, Babu Tale ameweka wazi kuwa Diamond Platnums ambaye anamsimamia, alishawahi kumsaidia Chidi Benzi kuacha madawa, kwa kwenda kumtoa damu na kumuwekea damu safi, lakini […]

Read More..