-->

Daily Archives: March 31, 2016

Huu Ndiyo Mchango wa Diamond kwenye lebo ya...

Post Image

Msanii Diamond Platnumz amefunguka na kusema kwenye Label yake ya WCB yeye huwa anachangia vitu vidogo sana na kusema management yake chini ya Babutale na Mkubwa Fela ndiyo wanao waangalia wasanii na kuona kama wasanii hao wana vipaji na uvumilivu.   Akiongea na East Africa Radio kwenye kipindi cha Planet bongo Diamond Platnumz amedai wakati […]

Read More..

Ndugu Wakwama Kumpata Wastara

Post Image

Hali bado tete! Baada ya Gazeti la Ijumaa Wikienda ambalo ni dugu wa damu na hili toleo la Jumatatu iliyopita kutoka na habari yenye kichwa kisemacho; WASTARA ATOROSHWA HOSPITALINI, habari mpya ni kwamba, nduguze wameshindwa kujua wapi alipo mpaka sasa. Kwa mujibu wa chanzo chetu, Ijumaa iliyopita, baadhi ya ndugu wa Wastara, wakiwemo dada zake, […]

Read More..

Mzee Kambi na Frank Watembelea White State ...

Post Image

Ramsey Kambi na Frank waigizaji wa Filamu kutoka Bongo WAIGIZAJI kutoka  Hashim Kambi ‘Ramsey’ akiwa na msanii mwenzake Mohamed Mwikongi ‘Frank’ wamebahatika kutembelea katika viwanja vya Ikulu ya Marekani maarufu kwa jina la White State House katika jiji la Washington Amerika. Ramsey akiwa na Frank New York wakionyesha kitu nje ya Ikulu ya Marekani Kambi […]

Read More..

Nitaendelea Kuwa Mwanamuziki Mpaka Nakufa-P...

Post Image

Mbunge wa Jimbo la Mikumi na msanii wa bongo fleva, Joseph Haule maarufu kama Prof Jay amesema kuwa yeye ni mwanamuziki na ataendelea kufanya muziki mpaka siku atakapotoweka duniani. Prof Jay amefunguka hayo baada ya Babutale kutaka kufahamu ni lini msanii huyo ataachia kazi nyingine kwani toka amekuwa mbunge wa jimbo la Mikumi amekuwa kimya […]

Read More..

Zari, Diamond Kimenuka Ulaya!

Post Image

Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa Sweeden na familia yake. DAR ES SALAAM: Hakuna furaha isiyo na karaha! Ndiyo kauli inayoweza kutumika kwenye habari ya ziara ya Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Familia ya Wasafi Classic Baby (WCB) huko barani Ulaya ambapo staa huyo na mama mtoto wake, Zarinah Hassan ‘Zari The […]

Read More..

Serikali Iruhusu Bangi – Afande Sele

Post Image

Msani mkongwe wa Hip Hop ambaye alitupa karata yake kwenye siasa na kufeli Afande Sele, ameitaka serikali kuruhusu biashara na matumizi ya bangi, ili kuongeza pato la taifa kwa kuilipia kodi biashara hiyo. Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, Afande Sele amesema iwapo zao hilo la biashara likiruhusiwa rasmi nchini […]

Read More..

Stara Thomas: Bado Nipo Kwenye ‘Gospel’

Post Image

MKONGWE katika muziki wa Bongo Fleva, Stara Thomas, ameibuka na kudai kwamba muziki wa injili haujamshinda hivyo ataendelea kuimba Bongo Fleva na Injili kwa kuwa nyimbo zake hazipotoshi jamii. “Baada ya kukaa vizuri ndani ya Biblia nimeona naweza kufanya Bongo Fleva kwa ajili ya kuelimisha jamii huku nikiendelea kuimba muziki wa injili, cha msingi ni […]

Read More..