-->

Monthly Archives: March 2016

Shamsa: Mkongo wa Wolper,Wema Amenitongoza

Post Image

STAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford juzikati alimwaga ‘ubuyu’ hadharani kwa kusema kwamba, yule jamaa Mkongo ambaye amekuwa akidaiwa kutoka na Wema Sepetu, Jacqueline Wolper amemtongoza. Akizungumza na kona ya Bongo Movies Shamsa alisema, hivi karibuni alienda saluni na kukutana na ujumbe wa Mkongo wa Wema, Wolper ukimuhitaji kimapenzi jambo ambalo lilimuudhi sana. “Hii si […]

Read More..

“Muziki wa Bongo Fleva ni bigijiiR...

Post Image

Mwanamuziki wa miondoko ya dance hapa nchini Patcho Mwamba amesema muziki wa bongo fleva hauna tofauti na bigjii maana haudumu kwa muda mrefu. Patcho ameyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano na kipindi cha E NEWS kinachorushwa na kituo cha EATV. Patcho amesema pamoja na waandaaji wa vipindi vya redio na runinga kuwapendelea wanamuziki wa bongo fleva […]

Read More..

INSTANEWS: Wabongo wa Mvaa Rosemary Odinga ...

Post Image

Rosemary Odinga, mtoto wa mwanasiasa mkongwe wa Kenya, Raila Odinga anatamani Instagram isingekuwepo! Ni kwasababu tangu aombe radhi kupitia mtandao huo kwa kauli aliyoitoa kwenye mkutano wa viongozi vijana wa kimataifa, IYLA kwenye umoja wa mataifa kuwa Olduvai Gorge ipo Kenya, amekuwa akioga mvua ya matusi. Kupitia Instagram, Ms Odinga aliandika: I have just been […]

Read More..

TAFF Imeunganisha Tasnia ya Filamu

Post Image

SIKU za nyuma kulikuwa na malumbano makali kati ya shirikisho la filamu Tanzania (TAFF) na kundi la Bongo Movie Unity lilokuwa likiundwa na wasanii nyota katika tasnia ya filamu Swahilihood na kuleta sintofahamu . Lakini kutokana na juhudi za Mwakifwamba pamoja na makamu mwenyekiti wake Deosonga Njerekela wamefanikiwa kuwaunganisha na sasa ni kundi moja wanaongea […]

Read More..

Rais JPM amtumia salamu za Rambirambi JK kw...

Post Image

Kaka wa Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete, Mzee Selemani Mrisho Kikwete enzi za uhai wake.

Read More..

Lulu: Mastaa Mtaishia Kuchambana Insta

Post Image

ZA uso laivu! Staa mwenye mvuto Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa mastaa wengi Bongo wataishia kuchambana kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram badala ya kutafuta elimu ili siku moja wapate nyadhifa serikalini. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita, Lulu alisema kwamba, amegundua kuwa elimu ndiyo kila kitu hivyo amewasihi mastaa wenzake waache kuchambana na […]

Read More..

Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika kupi...

Post Image

Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika (AfCHPR) katika kikao chake kilichoanza jijini hapa, itapitia maombi ya rufani ya mwanamuziki maarufu nchini, Nguza Viking na John Viking dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hata hivyo, taarifa iliyotolewa na mahakama hiyo jana, ilieleza kuwa kesi hiyo namba 006/2015 iliyopangwa kusikilizwa Machi 11 haitasikilizwa katika mahakama […]

Read More..

Ray Baada ya Kukimbiza na Maji Sasa Anakimb...

Post Image

MUONGOZAJI,mtayarishaji na mwigizaji wa filamu  Vincent Kigosi ‘The Greatest’ Mzee wa Maji akiendelea kutikisa na unywaji wa maji sasa ameibuka na filamu yake kali na ya kusisimua ya Tajiri Mfupi ambayo ipo madukani na inatembea kama karanga kila mtu anataka kujua Mzee wa Maji kafanya balaa gani humo! anasema kuwa filamu ya Tajiri Mfupi ni […]

Read More..

Sina Mpango wa Kuoa Mtu – Ney wa Mitego

Post Image

Msanii Ney wa Mitego amesema kwa sasa hana mpango wa kuoa na wala hafikirii kuoa, licha ya kuwa na watoto ambao wanahitaji malezi ya mama. Ney ameyasema hayo kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, na kusema kwa sasa hayuko kwenye mahusiano yoyote, na suala la kuoa kwake ni suala zito, hivyo hawezi kukurupuka na […]

Read More..

Baada ya Lupela, Alikiba Kuja na Hii

Post Image

Msanii Ali Kiba ambaye kwa sasa anafanya poa na ngoma yake mpya ya Lupela amefunguka na kusema kazi nyingi zinakuja ila kwa sasa atatoa kazi na wasanii kutoka nchini Kenya wanaounda kundi la Sauti Sol. Akipiga stori kupita kipindi cha Friday Night Live kinachorushwa na EATV Ali Kiba amesema baada ya kazi yake hii inayotamba […]

Read More..

Shamsa: Siwezi Kumhukumu Nay

Post Image

STAA wa Bongo Muvi, Shamsa Ford kwa mara ya kwanza ameibuka na kuiongelea Ngoma ya Shika Adabu Yako iliyoimbwa na Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kuwa kamwe hawezi kumhukumu Nay kwa maneno aliyoimba. Akigonga mbili-tatu na Showbiz, Shamsa aliyewahi kubamba na Filamu ya Chausiku alisema kuwa aliusikia wimbo huo uliowachana mastaa wengi wa Bongo Muvi […]

Read More..