Wastara, Hili la Ndoa Inabidi Ujifunze!
KWAKO mwigizaji wa kitambo Bongo Muvi, Wastara Juma. Habari za kazi? Unaendeleaje na shughuli zako za kila siku? Binafsi namshukuru Mungu. Sijambo. Naendelea kupambana. Nimekukumbuka leo kwa barua, maana kitambo kidogo hatujaonana laivu. Nakumbuka mara ya mwisho tulikutana nyumbani kwako, Tabata. Tukazungumza mengi, lakini hiyo ilikuwa yapata zaidi ya miaka minne iliyopita. Dhumuni la barua […]
Read More..





