-->

Daily Archives: April 15, 2016

Muda ukifika nitaongea – TID

Post Image

Baada ya KR kujitambulisha kuwa yeye ndiye Rais wa RADA Entertainment na Juma Nature kumpinga kwa kejeli akisema hamtambui Rais yoyote zaidi ya Rais Magufuli hatimaye TID anyoosha maelezo. T.I.D amesema muda ukifika watamuapisha rasmi KR Mulla kuwa Rais wa Radar Entertainment na kutoa sababu za kufanya kazi na KR Mulla katika label yake. Zaidi […]

Read More..

Shilole Alazwa Hospitali Baada ya Kuzidiwa ...

Post Image

Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva,  Shilole amelazwa hospitali baada ya kuzidiwa usiku wa jana.   Akiongea na Bongo5, Babalevo ambaye yupo katika hospitali aliyolazwa muimbaji huyo iliyopo Kinondoni, amedai kuwa usiku wa jana alichemka kiasi cha kukosa nguvu na kulazimika kupelekwa hospitali. Aliwekewa drip kushusha homa hiyo na madaktari wamemshauri apate muda wa […]

Read More..

Bi Kidude Kukumbukwa Unguja na Dar

Post Image

FILAMU ya maisha ya Bi Kidude inatarajiwa kuzinduliwa Aprili 16 visiwani Zanzibar katika Ukumbi wa ZanCinema mjini Unguja. Filamu hiyo pia itazinduliwa  Dar es Salaam Aprili 19 mwaka huu. Mwandaaji na mtayarishaji wa filamu hiyo, Andu Jones, alisema filamu hiyo itabeba ujumbe kuhusu maisha ya bibi huyo na kueleza kifo chake ikiwa katika lugha ya […]

Read More..

Kajala Amtolea Chozi ‘CK wa Wema’!

Post Image

Siku chache baada ya gazeti dada na hili, Risasi Jumamosi kuandika juu ya aliyekuwa kigogo wa msanii Wema Sepetu, Clement Kiondo ‘CK’ kunaswa akiuza mishikaki, tukio hilo limemliza shosti wa Wema, Kajala Masanja. Kumwaga chozi kwa Kajala kumetokana na maelezo yake kwamba, baada ya kuiona habari hiyo hakuweza kuamini kama kweli ni CK yule aliyewahi […]

Read More..

Ndauka Afungukia Mapenzi, Kampuni Yake!

Post Image

Leo kwenye safu yetu hii tunaye mwanadada Rose Ndauka ambaye amepotea kidogo kwenye sanaa ya uigizaji kutokana na kubanwa na kazi zake binafsi. Rose ameongea mengi alipokuwa akijibu maswali 10 aliyoulizwa na Mwandishi Wetu Hamida Hassan ndani ya ofisi yake iliyopo Mwenge jijini Dar. Unataka kujua alichofunguka? Fuatilia hapa chini. Ijumaa: Mambo Rose, mbona kimya […]

Read More..

Droo ya Nusu Fainali za ‘UEFA Champions L...

Post Image

Ratiba ya Nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imeshapagwa, kama inavyoonekana hapo chini Mechi za kwanza zinatarajiwa kuchezwa Aprili 26 na 27, mwaka huu kisha kurudiana Mei 3 na 4 ikiwa ni katika mchakato wa kuelekea kwenye fainali ya michuano hiyo itakayochezwa kwenye Uwanja wa San Siro jijini Milan nchini Italia mnamo Mei 28, […]

Read More..

Hemed PHD: Sitaacha Kujipodoa kwa Hofu ya W...

Post Image

MWIGIZAJI wa filamu na msanii wa Bongo Fleva, Hemed Suleiman ‘Hemedy PhD’, amesema kwamba hataacha kutumia vipodozi kwa kuwa humuweka nadhifu na humwongezea mvuto wa mwili wake. Hemed anayetamba na wimbo wake wa ‘Imebaki stori’, alisema vipodozi anavyotumia zaidi ni poda, lipshine na pafyum na hataacha kujiremba. “Sitaacha kujiremba kwa sababu kujiremba siyo kwa wasichana […]

Read More..

Bongo Movie Premiere: Shamsa Ford na Odama ...

Post Image

Ilikuwa ni siku ya jumatanowiki hii  ndani ya Escape One, pale Steps Entertaiment ilipokusanya wasanii wa Tanzania na Burundi katika uzinduzi wa filamu ya Najuta Shamsa na Mkwe ambayo imetengeneza na Odama. Wasanii waliokuwepo ni Dude, Jb, Rashid Mrutu, Faridi Uwezo, Omary Clayton, Rose Ndauka, Wastara, Shamsa Ford, Odama, Mussa Banzi na wengine kibaoooooo.

Read More..