-->

Daily Archives: April 21, 2016

Davina Ajikita na Huku Sio kwenye Movie Pek...

Post Image

MWIGIZAJI wa kike wa Filamu Bongo Halima Yahaya ‘Davina’ anasema kuwa kaamua kuwa mjasiriamali badala ya kutegemea njia moja tu ya kuigiza wakati anakuwa na mahitaji mengi ni bora kuwa mjasiriamali kuweza kumudu maisha ya watu nyota. “Maisha magumu kwa sasa huwezi kutegemea kitu kimoja tu lazima ujishughulishe katika kuhakikisha unapata kile uanchotaka kama sasa […]

Read More..

Rammy Galis Apata Shavu la Kuigiza Movie Mp...

Post Image

Muigizaji wa filamu nchini, Rammy Galis amepata shavu la kuigiza filamu mpya Nigeria iitwayo Her Shoes. Rammy alienda Lagos kumalizia kurekodi video yake iitwayo Red Flag lakini imebidi aendelee kuwepo huko baada ya kupata shavu la Nollywood. “KAZI niliyo onesha #Maproducer wa Nollywood katika #RedFLAG hatimaye imeleta Matunda. #MUNGU Amepokea Dua zenu , Ameweza Kunipa […]

Read More..

Baraka, Najma Wagandana Kama Ruba

Post Image

Mkali wa Ngoma ya Siwezi, Baraka Andrew ‘Barakah Da Prince’ amejikuta akilazimisha ile kauli ya abiria chunga mzigo wako, kutokana na kutompa mwandani wake, Najma Dattan ‘Naj’ nafasi ya kujiachia na watu wengine klabu na kugandana kama ruba. Tukio hilo lilijiri wikiendi iliyopita kwenye Ukumbi wa Maisha Basement uliopo Kijitonyama jijini Dar kulipokuwa na shoo […]

Read More..

Wimbo Utaongea Yaliyo Moyoni Mwangu –...

Post Image

Msanii Nuh Mziwanda ambaye alikuwa akitoka kimapenzi na Shilole kabla ya kuachana amefunguka na kusema kuwa kwa sasa yeye hataki kuongea jambo lolote ila mambo yote ambayo yanamsumbua moyoni mwake ameyaongea kupitia wimbo wake mpya.   Wimbo huo mpya Nuh ameupa jina la ‘Jike Shupa’ Siku kadhaa baada ya Shilole na Nuh Mziwanda kuachana kulizuka […]

Read More..

Wezi wa Filamu Kufungwa Jela Miaka Mitatu F...

Post Image

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) itaendelea na msako mkali kwa wafanyabiashara wote wanauza kazi za filamu na muziki bila kubandika stempu halali za kodi, ili kulinda kazi hizo kwa ajili ya kuwanufaisha wasanii pia kuhakikisha serikali inapata kodi kutoka na kazi za wasanii. Msako endelevu utahusisha kukamata bidhaa zote ambazo hazina stempu za kodi na […]

Read More..

Wastara Afungukia Kuvunjika kwa Ndoa Yake n...

Post Image

Msanii wa filamu Wastara Juma amefunguka na kuzungumzia kuvunjika kwa ndoa yake na Mbunge wa Donge kupitia CCM Sadifa Khamis Juma ambayo imeduku kwa kakribani miezi 3. Akizungumza na Bongo5 hivi karibuni, Wastara amesema mahusiano ya mapenzi ni kama mtu anavyoishi na rafiki yake, mkizinguana maachana. “Binafsi kwa sababu ni muda mchache naumia kuwakarahisha mashabiki […]

Read More..

Juma Nature Niache Kwanza -KR Muller

Post Image

Msanii Mkongwe wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa anajitambulisha kama Rais wa Rader Enteternment rapper KR Muller amemuambia msanii mwenzake mkongwe Juma Nature amuache kwanza afanye mambo yake. KR ameyasema hayo alipokuwa akiongea na eNews ya EATV kuhusiana na ushauri aliopewa na rafiki yake ambaye waliimba wote katika kundi la TMK Wanaume family Juma Nature […]

Read More..