Naonyesha Mali Zangu Kuwapa Nguvu Vijana-Na...
Msanii Nay wa Mitego amesema mara nyingi yeye hupenda kuonesha vitu anavyo miliki zikiwepo gari, nyumba hata pesa kwa lengo kuu moja, anadai anafanya hivyo ili kuwatia moyo vijana ambao wamekata tamaa. Amesema anafanya hivyo kwa kuwa yeye mwenyewe alitoka katika maisha magumu ambayo alikuwa hadhani kama angeweza kufikia mafanikio hayo lakini alipambana na kupigania […]
Read More..





