-->

Monthly Archives: April 2016

Bongo Movies Premier: Filamu Kibao Kuonyesh...

Post Image

Kwa mara ya kwanza  Steps Entertainment inakuletea Bongo Movies Premier,  filamu za  kibongo zitazinduliwa kiwa kuonyeshwa kwenye big screen kabla ya kuingia sokoni. Wasanii mbalimbali wakiwemo viongozi wanatarajia kuudhulia katika uzinduzi wa filamu mpya ya MKWE ambayo imechezwa na waigiza Odama, Taiya Odera, Muntrah na Hemedi  pamoja na filamu ya NAJUTA SHAMSI ambayo imeshirikisha wasanii […]

Read More..

Ommy Dimpoz: Tafuta Hela Ndo Utajua Kama We...

Post Image

Mkali wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz ameandika hayo kwenye ukurasa wake wa instagram mara baada ya kuweka picha hii. “Tafuta Hela Ndo Utajua kama wewe ni Handsome au Beautiful? #MondayMotivation” -Ommy Dimpoz. Neno moja kwake  

Read More..

Video Mpya ya Mpoto na Banana ya Wimbo wa K...

Post Image

Ni kampeni ya usafi ambayo imeandaliwa na mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda

Read More..

Alikiba Afunguka ‘Kummiss’ Dada...

Post Image

Msanii wa bongo fleva Alikiba amefunguka na kusema kuwa kuna wakati huwa anamkumbuka sana msanii wa kike ambaye ni dada wa msanii Diamond Platnumz Queen Darleen. Ikumbukwe kuwa msanii Alikiba kipindi cha nyuma aliwahi kufanya kazi na msanii Queen Darleen na walikuwa na ukaribu wa hali ya juu kiasi kwamba wapo watu walihisi kuwa labda […]

Read More..

Nilisingiziwa Mtoto Anafanana na Diamond &#...

Post Image

Mchekeshaji maarufu nchini Idris Sultan amefunguka na kusema kuwa alipotoka kwenye mashindano ya Big Brother Africa alipotua nchini Tanzania alisingiziwa kuwa na watoto watatu na mwanamke mmoja wa Mtwara alimleta mpaka mtoto mwenyewe kwake.   Akizungumza kupitia kipindi cha ‘Mkasi’ kinachorushwa na EATV Idris Sultan alisema alivyoletewa mtoto alibaki akishangaa na alivyomwangalia vizuri yule mtoto […]

Read More..

Gabo Awapa Makavu ‘Matipwatipwa’ wa Bon...

Post Image

Staa wa Filamu Bongo, Salim Ahmed ‘Gabo’ juzikati aliwachana mastaa wa kike wa filamu Bongo kuwa wengi wao hawafai kuigiza scene muhimu kwa sababu wamejiachia na kuwa matipwatipwa. Akipiga stori na Ijumaa, Gabo alisema anawashangaa mastaa wanaolalamika kutopewa nafasi za kuigiza kwa sasa akidai kuwa sababu kubwa ya kuchuniwa ni kuchuja kwao na kutoendana na […]

Read More..

Shamsa Ford Afurahia Kurudiana na Ney wa Mi...

Post Image

BAADA ya kauli ya rapa Ney wa Mitego kwa mpenzi wake wa zamani, Shamsa Ford kwamba kama anachagua wasichana wa kurudiana naye atakuwa wa kwanza kutokana na ukarimu na mapenzi yake, mrembo huyo ameibuka na kufurahia kauli hiyo. Shamsa aliliambia MTANZANIA kwamba, “Mimi na Ney tuliwahi kuwa wapenzi japo tumeachana ila kiukweli tulipendana sana na […]

Read More..

Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa Mkuu Wa Mko...

Post Image

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanaia Dr.John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa mkoa wa shinyanga Ana kilango Malecela kuanzia leo. Utenguzi huo umetokana na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo Ana kilango Malecela kutangaza kwenye vyombo vya habari kuwa mkoa wake hauna watumishi hewa jambo ambalo lilisababisha Ikulu kufanya uchunguzi wake na kubaini […]

Read More..

Joh Makini Atoa siri ya Weusi

Post Image

Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, Joh makini amesema wao kama kundi wana mtindo wao wa kipekee kwenye kurap pamoja na uandishi wa mashairi. “Ni mbinu pekee tu tuna aina yetu ya kipekee ya kudeliver jinsi vile vitu ambavyo tumekuwa tukiandika, na aina yetu ya kuflow na jinsi ya uandishi, […]

Read More..

Patrick Amkumbuka Uncle Kanumba

Post Image

Ni msanii ambaye aliibuka kupitia filamu ya This is it akiwa sambamba na mwigizaji mwenzake Jenifer huyu si mwingine ni Othuman Njaidi ‘Patrick’ vipaji vilivyoiburiwa na maremu Kanumba Patrick anasema kuwa anamkumbuka sana Kanumba kwani alikuwa mlezi kwake. “Ni tofauti sana na Uncle Kanumba alivyotulea, yeye alitulea kama watoto wake kazini lakini watayarishaji wengine hawatupi […]

Read More..

Undani Kifo cha Ndanda Kosovo

Post Image

Dar es Salaam: Msiba! Tasnia ya Muziki wa Dansi Bongo imegubikwa na simanzi nzito kufuatia kifo cha aliyewahi kutikisa vilivyo kwa rap na vibao vikali, mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Ndanda Kosovo ‘Kichaa’ aliyefikwa na umauti wikiendi iliyopita, Wikienda limechimba undani wa habari hiyo. Habari zilizolifikia Wikienda mara tu baada ya […]

Read More..

Rammy Galis Kuipeleka Bongo Movie Kimataifa...

Post Image

Ni ukweli ambao waigizaji wengi wa filamu Tanzania wanaukataa, kwamba tangu Steven Kanumba afariki, kiwanda chao kimekuwa msege mnege! Hakuna ushindani tena, hakuna excitement tena mtaani kama ilivyokuwa zamani kwenye tasnia hiyo. Mauzo ya filamu yameshuka, waigizaji wengi wamekata tamaa kitu kilichowafanya kufikiria Plan B ili kuendesha maisha yao. Wasambazaji wa filamu nao wanadaiwa kupunguza […]

Read More..

Mama Kanumba Aeleza Haya Kuhusu Lulu

Post Image

Mama Steven Kanumba amesema Elizabeth Micheal ‘Lulu’ hana msaada kwake na hata sura yake ameisahau. Akizungumza kwa uchungu katika kipindi cha Clouds E cha Clouds TV Jumatatu hii, Mama Kanumba amesema kitu ambacho alikuwa anakihitaji kutoka kwa Lulu ni salamu pekee. “Lulu hanisadii kitu chochote na hata sura yake nimeisahau,” alisema Mama Kanumba. “Mimi sihitaji […]

Read More..

Baada ya Miaka Sita Lady Jaydee Akutana na ...

Post Image

Msanii wa bongo fleva ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake wa ‘Ndi Ndi Ndi’ Lady Jaydee amekutana na msanii Ray C baada ya miaka sita. Baada ya kuonana Lady Jaydee alisema kila mtu anapitia magumu katika maisha kwa njia tofauti. “Kila mtu anapitia magumu katika maisha kwa njia tofauti hakuna jaribu lisilo na mlango […]

Read More..

Wasanii Watakiwa Kuigiza Filamu Hifadhi za ...

Post Image

Wasanii wa Filamu nchini kote wametakiwa kutumia mandhari za asili zilizoko katika maeneo ya hifadhi za taifa kwenye shughuli zao za kurekodi filamu badala ya kutumia majengo ya kifahari ili kutangaza utalii kwa kupitia kazi zao. Hayo yameelezwa na Meneja Mawasiliano wa Filamu lilifonyika wa Shirika la Hifadhi za Taifa TANAPA ,Pascal Shelutete wakati akizungumza […]

Read More..

Zamaradi Mtetema Amwagia Sifa Hizi Riyama

Post Image

Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram, muuandaaji wa filamu na matantazaji wa kipindi cha Take One  cha maswala ya filamu , Zamaradi Mtetema  amemwagia sifa muigizaji wa kike, Riyama Ally kuwa ni moja ya waigizaji wa kike wenye uwezo na nguvu sokoni. “Anafahamika zaidi kwa uigizaji wake… MUIGIZAJI wa kike mwenye uwezo wa kusimama […]

Read More..

Picha: Shilole Ajichora Jina Lake Kwenye Ta...

Post Image
Read More..

Jinsi Ya Kutambua Simu Feki

Post Image

1. Kabla hujanunua simu mpya hakikisha unaandika namba hii *#06#, kwenye simu hiyo au ambayo tayari umenunua. 2. Ukishaandika itaonyesha namba ya pekee (serial number) au IMEI (International Mobile Equipment Identity) ambayo ni lazima ziwe tarakimu 15 au zaidi na ni lazima ianze na 35. 3. Angalia kwa makini kama namba unazoziona zinafanana moja kwa […]

Read More..