-->

Daily Archives: November 8, 2016

Wasanii Waliofanikiwa Kuwania Tuzo za EATV

Post Image

Zikiwa zimebaki siku 33 kutolewa kwa Tuzo za EATV ambazo zinahusisha wasanii wa muziki pamoja na wasanii wa filamu nchini, East Africa Television leo imetangaza wasanii ambao wamefanikiwa kuingia katika baadhi ya vipengele vya tuzo hizo. Akizungumza kupitia kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio Dominican Mkama, Mkuu wa Mauzo Kanda ya Dar es Salaam […]

Read More..

Ruby Afungukia Tetesi za Kusaini WCB

Post Image

Muimbaji wa kike mwenye sauti ya dhahabu kwenye Bongo Fleva, Ruby amefunguka juu ya tetesi zilizosambaa kuwa amesaini kujiunga na lebo ya WCB. Ruby amepinga kujiunga na lebo hiyo lakini amedai kuwa anapenda kuwa karibu na Diamond kwa ajili ya kujifunza vitu vingi kutoka kwake. “WCB hawana roho mbaya unaenda tu muda wowote kama unajua […]

Read More..

Video ya Kala Jeremiah Yamkutanisha Mama na...

Post Image

Video ya msanii Kala Jeremiah ‘Wanandoto’ imeweza kumkutanisha mtoto na mama yake mzazi baada ya mtoto huyo kupotea nyumbani kwao tangu mwaka jana mwenzi wa tisa. Mama mzazi wa mtoto huyo amessimulia alivyoteseka kumtafuta mtoto huyo ambapo anasema alikwenda wa waganga, amehangaika kwenye maombi, na njia nyingine za kumpata mtoto wake huyo lakini haikuwezekana mpaka alipokuja […]

Read More..

Tamthilia ya JB ‘Kiu ya Kisasi’ Kuingia...

Post Image

Mtayarishiji wa filamu na mwigizaji, Jacob Stephan ‘JB’ amewataka mshabiki wa filamu kukaa mkao wa kula kwa ajili ya ujio wa tamthilia yake mpya ‘Kiu ya Kisasi’ ambayo ipo katika hatua ya mwisho ili kuingia sokoni. Tamthilia hiyo imewakutanisha mastaa mbalimbali akiwemo, Naj na pamoja na wengine. Kupitia instagram, JB ameandika Niko katika hatua za […]

Read More..

Hii Ndiyo Kauli ya Mwisho ya Sitta Baada ya...

Post Image

Mtoto wa marehemu Samweli Sitta,ambaye pia ni Meya wa Kinondoni, Benjamini Sitta amesema kabla ya kifo cha mzee sita alisema “that is life (hayo ndiyo maisha) baada ya kuambiwa na daktari kwamba ugonjwa unaomsumbua hawezi kupona. Benjamini amezungumza hayo alipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari kutaka kujua kilichopelekea kifo cha baba yake kutokea alieleza kuwa […]

Read More..