-->

Daily Archives: November 15, 2016

Jahazi Limevunjwa na Mungu – Khadija Yusuph

Post Image

Msanii wa taarabu nchini Khadija Yusuph amesema hakuna tena kundi la Jahazi Morden Taarabu kwa sasa na tayari wamegawana vitu vilivyokuwa ndani ya kundi hilo na yeye kwa sasa yupo kwa Thabit Abdul. Akiongea ndani ya eNews Khadija amesema Jahazi limevunjwa na Mwenyezi Mungu kwa kuwa Mzee Yusuph wakati anaacha muziki alisema hata vunja kundi hilo […]

Read More..

Calisah Afunguka Baada ya Kusambaa kwa Vide...

Post Image

Weekend hii katika mitandao ya kijamii kumesambaa video inayomuonyesha malkia wa filamu nchini Wema Sepetu akiliwa denda na model Calisah. Wawili hao ambao walitumia nguvu nyingi kufanya siri mahusiano yao, wameumbuka kupitia video hiyo iliyosambaa katika mitandao ya kijamii. Akiongea na Bongo5 Jumatatu hii, Calisah amesema hajui ni nani ambaye amesambaza video hiyo mtandaoni kwani […]

Read More..

Sijawahi Kuomba Kolabo kwa Msanii wa Bongo ...

Post Image

Msanii nguli wa bongo fleva Q Chief amesema hajawahi kumpigia msanii yoyote hapa Tanzania kumuomba wafanye kolabo japo yeye amekuwa akipokea simu nyingi kutoka kwa wasanii mbalimbali wakimuomba kufanya naye kolabo. Akiongea ndani ya eNewz Q Chilla amesema huwa anaangalia muda wake pale anapopigiwa simu za kuombwa kolabo na  mara nyingi anaangalia malipo na muda aliamua […]

Read More..

Ommy Dimpoz:Kuna baadhi ya Wasanii Wananunu...

Post Image

Msanii wa muziki Ommy Dimpoz amedai kuna baadhi ya wasanii wananunua views katika mtandao wa YouTube ili video zao zionekane zimeangaliwa zaidi. Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Kajiandae’ akiwa na Alikiba amedai yeye hawezi kufanya mchezo wa kununua views kama baadhi ya watu wanavyofanya. “Mimi nataka kutoa wito maana siku hizi watu ‘wanachiti’ […]

Read More..