-->

Daily Archives: July 28, 2017

Hatimaye Shilole Kuolewa Sasa

Post Image

Msanii wa bongo fleva asiyekaukiwa drama Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amedai kwa sasa ameshatolewa barua na mpenzi wake aliyeko naye kwenye mahusiano na endapo Mungu akimjalia atafunga naye ndoa ili kuhalalisha. Shilole amefunguka hayo kwenye 5Selekt ya  EATV na kusema kwa sasa ameamua kuweka mahusiano yake faragha kidogo ili aweze kuwa huru na mpenzi wake. “Mimi […]

Read More..

Rich Mavoko Asafiria Nyota ya Diamond

Post Image

MSANII wa kizazi kipya Rich Mavoko June 2, aliingia mkataba na lebo ya Wasafi na kuanza kufanya kazi chini ya lebo hiyo inayomilikiwa na Diamond Platinamz. Tangu ajiunge na lebo hiyo, Mavoko ameachia nyimbo tatu mpaka sasa ambazo ni ‘Imebaki Story’, ‘Kokoro’ aliyomshirikisha Diamond Platinamz na ‘Sheli’ ambao ni mpya aliomshirikisha Fid Q. Kabla ya […]

Read More..

Nisha Anasa Penzi Jipya, Abadili Jina

Post Image

MSANII wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amebadili jina lake na kujiita Nisha Minhal Azad huku kisa kikidaiwa kuwa amefanya hivyo baada ya kuingia katika uhusiano wa kimapenzi na ‘Serengeti Boy’ anayetumia jina hilo. Alichokiandika Insta. Kwa mujibu wa chanzo cha karibu na msanii huyo, Nisha amekuwa karibu na ‘Serengeti Boy’ huyo ambaye pia ni msanii wa Bongo Fleva na kwamba ameamua kuanika kabisa uhusiano huo bila […]

Read More..

Abdukiba Atoboa Siri ya Alikiba

Post Image

Msanii Abdukiba ambaye ni mdogo wa Alikiba ametoboa siri kuwa Alikiba anaweza kuachia ngoma yake mpya pindi atakaporudi Tanzania kutokea nchini Kenya ambapo amekwenda kufanya mambo mawili matatu na gavana wa Mombasa Hassan Joho. Abdukiba alipoongea na East Africa Radio kupitia kipindi cha PlanetBongo aliweka wazi kuwa Alikiba yupo nchini Kenya na kusema amekwenda kushirikiana […]

Read More..

Wema Sepetu Awa Mbogo kwa Polisi

Post Image

Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu ametoa yake ya moyoni na kutoa tuhuma kwa jeshi la polisi nchini kufuatia baadhi ya polisi kumpiga ndugu yake ambaye jana alikwenda naye mahakamani kusubiri kesi ya Tundu Lissu. Wema Sepetu anasema kuwa ndugu yake huyo kwa sasa anapatiwa matibabu hospitalini kufuatia kipigo alichopata kutoka kwa polisi hao kwa […]

Read More..

Ben Pol Akanusha Kutoka na Ebitoke

Post Image

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Benard Paul maarufu Ben Pol, amefunguka na kusema hana uhusiano wowote na msanii mwenzake Ebitoke, ila watu wameamua kujipa majibu wenyewe. Akizungumza na MTANZANIA jana, Ben Pol alisema watu wameamua kuongea maneno wanayoona yanaweza kuwapa majibu sahihi lakini yeye ameamua kukaa kimya na muda ukifika ataweka wazi kila kitu […]

Read More..