-->

Daily Archives: July 31, 2017

Shamsa Yupo Tayari Kuachika!

Post Image

STAA wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford ambaye ni mke wa ndoa wa mfanyabiashara Rashid Said ‘Chid Mapenzi’ amefunguka kuwa, yupo tayari kupewa talaka kuliko kuacha kazi yake ya uigizaji. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Shamsa alisema kuwa, ikitokea mumewe kumtaka aachane na uigizaji atamuomba talaka kwani hayupo tayari kuachana na kazi hiyo kwa sababu anaipenda […]

Read More..

Sijampiga Dongo Wolper Aku Raha ya Serenget...

Post Image

”Salma Jabu” Nisha muiogizaji wa filamu swahilihood.[/caption]NYOTA wa filamu Bongo Salma Jabu ‘Nisha’ amesikitishwa na baadhi ya watu ambao wanajaribu kumtengenezea ugomvi na msanii mwezake wa kike Jack Wolper kwa kutafsiri ujumbe wake alioposti katika ukurasa wake kama ilikuwa ni dongo akimpiga msanii mwezake. “Jamani sipendi kinachoendelea mimi siwezi kumuingilia Wolper awe na nani, na asiwe […]

Read More..

Wema: Nisipopata Mtoto Nafunga Kizazi

Post Image

Exclusive! Hapo nyuma kumepita matukio mengi yaliyomhusu staa mwenye jina lake kwenye tasnia ya sinema za Kibongo, Wema Abraham Isac Sepetu, lakini mwenyewe hakuwa tayari kufungua kinywa kutoa ufafanuzi na hisia zake. Ni kupitia Ijumaa Wikienda ambalo limethubutu kufanya naye mahojiano maalum ambayo ndani yake alifunguka mambo mazito kuhusu maisha yake ya sasa na kuelezea dhamira yake ya kutaka […]

Read More..

Q Chief Amsihi TID

Post Image

Msanii Q Chief amefunguka na kusema yeye hana muda wa kumjibu TID na kudai saizi yeye anaona ni muda wa kujipanga kwa ajili ya kazi zake na maisha yake kwani TID si mtu ambaye anaweza kuwa wa aina yake. Q Chief amesema hayo leo kwenye kipindi cha Planet bongo kufuatia TID siku ya Ijumaa kupitia […]

Read More..

Ommy Alichomoa Kufundishwa Gari na Demu

Post Image

Msanii Ommy Dimpoz ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake ‘Cheche’ amefunguka na kusema aligoma kabisa kujifunza au kufundishwa gari na demu wake mpaka siku alipokuja kununua gari yake ya kwanza ndipo alijifunza kupitia gari yake. Ommy Dimpoz amesema hayo kupitia kipindi cha ‘Bongo Flava Top 20’ kinachorushwa na East Africa Radio na kudai kuwa […]

Read More..

Gig Money: Nimekua Sitafanya Ujinga

Post Image

VIDEO Queen anayezipendezesha nyimbo za wasanii Bongo, Gift Stanford, ‘Gig Money’, amesema kwa sasa amekuwa mtu mzima, hivyo hawezi kuishi maisha kama ya zamani ya kufanya matukio. Akizungumza na MTANZANIA jana, Gig Money alisema sasa ana umri mkubwa, hivyo hawezi kwenda na matukio kama aliyoyafanya zamani, kwani ule ulikuwa ni utoto. “Sasa nimekua, najua nini […]

Read More..