-->

Daily Archives: March 15, 2018

Vazi la wolper yaleta gumzo.

Post Image

Usiku wa Vikings uliofanyika King Solomon siku ya Jumamosi March 10,2018 mastaa mbalimbali walijitokeza kushuhudia kile ambacho Papii Kocha na baba yake Babu Seyawaliandaa  baada ya kutumikia miaka 13 jela. Ukiongelea aina ya nguo”Fashion” ambazo mastaa walivaa usiku wa Vikings basi hauwezi kuacha kumtaja muigizaji Jacquline Wolper ambaye nguo yake ilizua maneno mengi katika mitandao ya kijamii ambapo wengi walisema kuwa amevaa parachuti. Kupitia mtandao wa snapchat wa Jacquline […]

Read More..

VIDEOMPYA: Jux atuletea ngoma mpya “FIMBO”

Post Image

Tarehe 15 march,2018 Staa wa muziki wa R&B Juma Jux time hii anakusogezea video mpya ya kuitazama“Fimbo” akiwa kasimama mwenyewe kwenye ngoma hiyo ili kuburudika. bofya “PLAY’ KUTAZAMA VIDEO HII.

Read More..

Irene Uwoya ampa onyo Dogo Janja”Thubutu ...

Post Image

Kupitia mitandao ya kijamii kumekuwa na taarifa kuwa msanii Dogo Janja ana mpango wa kuongeza mke wa pili baada ya kufunga ndoa na muigizaji Irene Uwoya ambapo ndoa hiyo ilifungwa mwaka jana 2017 ingawa mashabiki hadi sasa hawaamini kuhusu ndoa hiyo. Kupitia mtandao wa instagram wa Irene Uwoya ameonekana kupata taarifa ambazo zimekuwa zikisambaa kwenye […]

Read More..