-->

Daily Archives: March 23, 2018

Khadija Kopa Afunguka Kutaka Kuolewa

Post Image

Malkia wa Mipasho nchini Tanzania asiyekuwa na mshindani, Khadija Kopa ametangaza rasmi kuhitaji mume wa kumuoa ili aweze kuishi naye huku akiweka vigezo vyake kuwa hataki aliyechini ya miaka 40 kwa madai hawezi kufundisha tution. Khadija Kopa ametoa kauli hiyo wakati alipokuwa anazungumza kwenye kipindi cha KIKAANGONI cha¬† EATV. “Sijaolewa ila sitaki kusomesha tuition, nataka […]

Read More..