-->

Author Archives: editor

PetitMan:Sipo Endless Fame, Sina Tatizo na ...

Post Image

Aliyekuwa meneja wa wasanii walikuwa kwenye kampuni ya Endless Fame chini ya Wema Sepetu,PetitMan amesema kuwa kwa sasa hayupo tena kwenye kampuni hiyo kutokana na matatizo ya kifamilia lakini hata tatizo na Wema Sepetu na kuwa wanaongea kama kawaida. ‘’Endless Fame nilikuwa kama ‘Coordinator’ na pia nilikuwa meneja wa wasanii, kwa sasa hivi nimesimama kufanya […]

Read More..

Ray C Apelekwa ‘Sober House’ Bagamoyo

Post Image

Muimbaji mkongwe wa muziki nchini, Rehema Chalamila ‘Ray C’ Ijumaa hii amepelekwa Life and Hope & Rehabilitation Centre (Sober House) iliyopo Bagamoyo kwa ajili ya kusaidiwa kuanacha na matumizi ya Madawa ya kulevya, uongozi wa sober hiyo umethibitisha.   Hatua hiyo imekuja ikiwa ni siku moja toka aonekane katika video iliyosambaa katika mitandao ya kijamii […]

Read More..

Hemed PHD Afunguka Madhara ya Kutoka na Sta...

Post Image

MUUZA sura kwenye filamu za Kibongo, Hemed Suleiman ‘Hemed PHD’ amefunguka kuwa japo ni staa na mtu maarufu Tanzania lakini hata siku moja hajawahi kufikiri kuwa atakuja kujihusisha kwenye uhusiano wa kimapenzi na staa wa kike kutoka Bongo kwa sababu anafahamu madhara yake. Akipiga stori na Risasi Jumamosi, PHD aliongeza kuwa madhara ya kutoka na […]

Read More..

Riyama Kuja na ‘Matala’!

Post Image

Kila unapokuta na filamu ambayo amecheza mwigizaji mahiri katika tasnia ya filamu Bongo Riyama Ali lazima ukutane na kichambo, lakini mwenye anasema kuwa amebadilika na amerudi kama zamani Riyama wa ujumbe na huzuni. “Kuna wakati msanii unaigiza kulingana na uhusika wengi walinizoea kucheza sinema za kuhuzunisha lakini hapa kati nilibadilika lakini kuna filamu ya Matala […]

Read More..

Ommy Dimpoz: Afunguka Kufungwa Jela Huko Ma...

Post Image

NYOTA wa Bongo Fleva na Bosi wa lebo ya Poz kwa Poz ‘PKP’, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, amesema moja ya matukio ambayo hawezi kuyasahau ni siku aliposwekwa lupango huko Marekani kwa kosa la kutumia vibaya hati yake ya kusafiria. Akibonga na Swaggaz hivi karibuni, Ommy Dimpoz, alisema alikuwa anatokea Uingereza kwenda Marekani, viza aliyokatiwa na […]

Read More..

Rama D Afunguka Kuhusu Yeye na Lady Jay Dee

Post Image

Mwanamuziki wa R&B nchini Tanzania Rama D, amekanusha vikali habari zilizotapakaa mtandaoni kwamba kwa sasa anatoka kimapenzi na mwanadada Lady Jay Dee, amesema wanaheshimiana sana na haiwezi kutokea kitu kama hicho daima . Hata hvyo Rama D ameendelea kusema kwamba yeye anamfaham mpaka mpenzi wa mwanadada Lady Jay Dee na kusema hata siku ya show […]

Read More..

Uwoya Azipa Kisogo Filamu

Post Image

MREMBO aliyejulikana zaidi kwenye Tasnia ya Filamu Bongo kupitia Filamu ya Oprah aliyofanya na marehemu Steven Kanumba ‘The Great’ pamoja na Vincent Kigosi ‘Ray’, Irene Uwoya amefunguka kuwa kwa sasa ameamua kujikita zaidi kwenye ishu za ujasiriamali kuliko kazi yake ya filamu maana anadhani zitamtoa kimaisha. Akichonga kwa kujiachia na mwandishi wetu, Uwoya alisema tofauti […]

Read More..

Faiza Ally Afunguka Kutamani Kuzaa Tena na ...

Post Image

AMEJIZOLEA umaarufu mkubwa kwenye tasnia ya mitindo na filamu hapa nchini, mwingi wa matukio na vituko vyake ambavyo vinashangaza na kuaacha watu wakiwa midomo wazi, huyu ndiyo Faiza Ally, mrembo ambaye itakubidi utenge muda wa ziada ili upate kumuelewa. Huwenda ulikuwa humfahamu lakini habari za kutoka kimapenzi na hatimaye kuzaa mtoto anayeitwa Sasha na mkongwe […]

Read More..

Shilole Alia Wasanii Wenzake Kumdhalilisha

Post Image

Msanii wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ameonesha masikitiko yake kufuatia madai ya kudhalilishwa na baadhi ya wasanii wenzake kwa kuipa promo video ya wimbo mpya wa zilipendwa wake, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ wa Jike Shupa. Kwa mujibu wa Shilole, video ya wimbo huo inaonesha matukio ya kumdhalilisha ambayo inaonekana yeye alikuwa akimfanyia […]

Read More..

Video: Ray C Apewa Msaada na Polisi ya Baad...

Post Image

Msanii wa muziki Rehema Chalamila aka Ray C usiku wa jana alikamatwa na jeshi la polisi maeneo ya Kinondoni Manyanya almaarufu ‘Kinondoni kwa Mpemba’ jijini Dar es salaam baada ya kupiga makelele barabarani akidai anataka kutekwa. Muimbaji huyo mahiri ambaye ameathirika na Matumizi ya madawa ya kulevya, alidaiwa kufika katika eneo hilo na kuomba msaada […]

Read More..

Shilole Kunogesha ‘Hainaga Ushemeji&#...

Post Image

Msanii wa nyimbo za singeli MANFONGO amefunguka ndani ya Enews kuhusiana na wimbo wake mpya wa HAINAGA USHEMEJI ambao video qeen ni mwanadada shilolee. Manfogo ameiambia E news kwamba hakumshirikisha shilole katika video yake ili kuuwa winbo wa chura kama watu wanavyoongea bali yeye alimpigia simu mwana dada shishi na kumuomba amtafutie video queen wa […]

Read More..

Picha: Riyama Afunga Ndoa na Leo Mysterio

Post Image

Msanii wa filamu Riyama Ally Alhamisi hii amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Leo Mysterio. Muigizaji huyo mahiri wa filamu ambaye ni mama wa mtoto mmoja aliyezaa mume ambaye aliaacha naye, ameingia katika list ya wasanii wachache wa filamu waliofunga ndoa. Leo Mysterio ambaye ni msanii chipukizi wa muziki, aliwahi kusema kuwa mahusiano […]

Read More..

Bongo Movies Wafungua Tawi la Yanga

Post Image

MASTAA wa Bongo Movies wanaoshabikia Timu ya Yanga wamefungua tawi rasmi kwa ajili ya kuisapoti hiyo ya Jangwani. Yanga imekuwa na mashabiki wengi kila kona hapa nchini na Bongo Movies wameanzisha tawi hilo ili kuwa karibu zaidi na timu hiyo. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa tawi hilo, Mike Sangu, baada ya kuona wanajitosheleza kufungua tawi […]

Read More..

Filamu za Nje Zinatutia Njaa Jamani- Tino

Post Image

NYOTA wa filamu Hisany Muya ‘Tino’ anasema kuwa sinema kutoka nje zimeua soko la ndani na kuwafanya wasanii waishi kwa shida kwani hata watengeneze kazi zenye ubora wa namna gani bado wanashindwa kuuza kwa bei ya kimaslahi. “Serikali tunaomba itusaidie kwa hili sinema kutoka nje ni tatizo ndio zimeua soko letu, hazilipi ushuru zimezagaa kila […]

Read More..

NI NOMA : Lulu Anafikiria Kimataifa Zaidi

Post Image

ELIZABETH Michael ‘Lulu’ mwigizaji wa kike mwenye nyota kali anasema kuwa hawezi kwa sasa kuonekana kwa kila filamu bila sababu kwani amejipanga kutafuta tuzo kubwa za kimataifa hivyo lazima ashiriki sinema bora ili kufikia malengo yake.   “Kuwa bora si kucheza sinema nyingi bali kuwa na sinema za maana, nimejipanga na nakuja na filamu yangu […]

Read More..

Picha: Muonekano Mpya wa Chid Benz

Post Image

Mkali wa Hip Hop hapa Bongo,  Chidi Benz amefanikiwa kuirudisha afya yake baada ya kuachana na matumizi ya Madawa ya kulevya na hizi ni baadhi ya picha zake za hivi sasa ziklizoweka mtandaoni. NUNUA FILAMU KUTOKA STEPS ENTERTAINMENT: TUNAKUFIKISHIA POPOTE PALE ULIPO: Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489. KAMA UNATAKA KUWA […]

Read More..

TCRA: Simu Feki Kuzimwa Leo

Post Image

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, TCRA imesisitiza kuwa zoezi la uzimwaji simu feki unatekelezwa leo kama ilivyokuwa imepangwa. Akizungumza na waandishi wa habari jana kwenye makao makuu ya mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam, Kaimu Mkurugenzi Mkuu, James Kilaba alisema kwa wale watakaofanya ujanja wa kubadilisha namba tambulishi (IMEA) watachezea kifungo cha miaka 10 jela au […]

Read More..

Baraka da Prince Afunguka Kuhusu Yeye na Li...

Post Image

Msanii Baraka da Prince amekanusha vikali kumshika msanii wa kike wa bongo fleva sehemu za kifuani, na kusema aliyepiga picha hiyo aliikuza. Akiongea kwenye eNews ya East Africa TV, Baraka amesema hajwahi kufanya kitendo kama hicho kwani walikuwa sehemu yenye watu wengi, na pia hajawahi kuwaza kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Linah. “Siwezi kufanya […]

Read More..