Aunt Ezekiel Amzuia Mpenzi Wake Kuingia Bon...
Msanii wa bongo movie Aunt Ezekiel amesema hana mpango wa kumuinginza mpenzi wake Mose Iyobo kwenye tasnia ya bongo movie. Akionge kupitia eNewz Aunt amesema “Napenda anavyokuwa anacheza na sijawahi kuwaza kumtoa kwenye kipaji chake na kumuingiza kwenye movie hata kama akitaka kuacha kipaji chake ni bora ajiingize kwenye biashara lakini siyo kujiingiza kwenye movie kwani siyo kipaji […]
Read More..





