Wema Asomewa Mashtaka, Aachiwa kwa Dhamana
Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu na wenzake wawili wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu asubuhi ya leo na kusomewa mashitaka matatu yanayohsiana na matumizi ya dawa za kulevya aina ya bangi. Akisomewa mashtaka na wakili wa serikali Nassoro Katuga mbele ya Hakimu Mkazi Thomas Simba imeelezwa kuwa msanii huyo alikutwa na kiwango kidogo cha […]
Read More..





