-->

Tag Archives: SHILOLE

Nuh Mziwanda: Nilishaficha Mambo Mengi Sana...

Post Image

Nuh Mziwanda amedai kuwa aliyofanyiwa na Shilole ni mengi na mazito ambayo ilibidi ayafiche kwa maslahi ya penzi lao na heshima kwake. Akiongea kwenye kipindi cha D’Weekend Chat Show cha Clouds TV Ijumaa hii mbele ya Shilole aliyekuwa amejikunyata pembeni kwa kukasirishwa na uwepo wa ex wake studioni hapo bila kutaarifiwa mwanzoni, Nuh alisema Shilole […]

Read More..

Nuh: Nimesikitishwa Sana Shilole Kufuta ‘...

Post Image

Shilole ameifuta ‘tattoo’ ya aliyekuwa mpenzi wake Nuh Mziwanda baada ya kuachana,lakini Nuh hajaifuta na hana mpango kwa sasa wa kuzifuta ‘tattoo’ hizo. ‘’Kiukweli nimesikitika sana hata kama tumeachana mimi mbona sijafuta tattoo zake na sina mpango wa kuzifuta kwa sasa,’’Alisema Nuh. Hata hivyo Shilole alipoulizwa kuhusiana na alichokisema Nuh alisema kuwa mbona Nuh aliwahi […]

Read More..

Nikipata Mwanamke Atakayeweza Kuziba Nafasi...

Post Image

Ingawa Shilole tayari amefunika tattoo aliyochora kifuani yenye jina la ex wake Nuh, kwa kuongeza mchoro wa ua juu yake baada ya wawili hao kuachana, Nuh Mziwanda amesema yeye bado hajaamua kufuta tattoo zake. Nuh ambaye alichora tattoo mbili, moja ikiwa na jina la Shishi Baby na nyingine ikiwa na sura ya Shishi amesema kuwa […]

Read More..

Shilole: Tatizo Nyota Ndiyo Maana Nagandwa

Post Image

STAA wa filamu za Kibongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’m ameibuka na kusema kuwa nyota yake iko juu ndiyo maana anagandwa sana wanaume. Shilole aliyasema hayo kufuatia kuwepo kwa madai kuwa, baada ya kuachana na Nuh Mziwanda kuna kibosile mmoja kutoka Nigeria ametua kwa ajili ya penzi lake lakini amekuwa akimkwepa kwa kuwa ana jamaa mwingine. Alipobanwa […]

Read More..

Sitochora Tena Tattoo ya Jina la Mpenzi Wan...

Post Image

Shilole ameapa kutorudia tena kuchora tattoo yenye jina la mpenzi wake. Hivi karibuni muimbaji huyo alilazimika kuifuta tattoo ya jina la aliyekuwa mpenzi wake, Nuh Mziwanda. Shilole amesema kujichora tattoo ya jila Nuh kumemharibia issue kibao. “Tattoo hapa ni empty,” aliambia 255 katika kipindi cha XXL cha Clouds FM Jumatatu hii. “SiwezI tena kuchora tattoo […]

Read More..

Shilole, Eddy Kenzo wa Uganda Penzi Jipya

Post Image

Kwa sasa ni dhahiri kabisa penzi la Shilole na Nuh Mziwanda limefika mwisho baada Shishi kumtambulisha mpenzi wake mpya msanii,Eddy Kenzo kutoka nchini Uganda. ‘’Nuh hanipendi Eddy Kenzo ndio ananipenda,ameniimbia wimbo nilikuwa sijui,naomba mjue kuwa ndiye mchumba wangu mpya,’’Alisema Shilole. ‘’Eddy Kenzo amenipenda tangu zamani lakini nilikuwa nikimpuuzia tu maskini ameonyesha upendo wake kwangu hadi […]

Read More..

Shilole Ampigisha Dj Tass ‘Sorry For That...

Post Image

MWIGIZAJI na mwanamuziki wa kizazi kipya Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amemzingua Dj Tass mtangazaji wa kipindi cha Kwetu Fleva baada ya kushusha matusi hewani akihojiwa na mtangazaji huyo na kumfanya aombe msamaha kwa wasikilizaji kwa kutamka Sorry for That mara mia. Tass alikatiza matangazo baada ya Shilole kuulizwa swali kuhusu mpenzi wake Shilole ambaye ametangaza kutengena […]

Read More..

Shilole Afuta Tattoo ya Nuh Kifuani, Yaseme...

Post Image

Kuna taarifa mtaani kuwa penzi la mastaa wa muziki, Shilole na Nuh Mziwanda limevunjika. Japokuwa sio mara ya kwanza kwa tetesi kama hizo kuhusu couple hiyo, lakini safari hii kuna dalili kuwa inaweza kuwa ‘serious’. Moja ya vitu vinavyoongeza nguvu ya tetesi hizo, Shishi amefuta ile tattoo aliyochora kifuani kwake miezi kadhaa iliyopita, yenye jina […]

Read More..

Hiki Ndicho Kilichotoakea Kwenye House Part...

Post Image

Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Shilole aka shishi bybee ambaye amejipa jina la Karunguyeye siku ya jana alifanya pati nyumbani kwake ‘House Party’ na kuwaalika baadhi ya mastaa wenzake. Kajala, Mwasiti, Linnah,Baba Levo, Baby Madah,Millard Ayo, Tudd Thomas na Makomandoo hao nibaadhi ya watu waliohudhulia pati hiyo. Hizi ni baadhui ya picha za […]

Read More..