-->

Daily Archives: March 2, 2016

Lowassa Bado Una Nafasi Kubwa Kwangu -Shams...

Post Image

Msanii wa filamu nchini na aliyekuwa akitoka kimapenzi na msanii Nay wa Mitego amefunguka na kusema kuwa bado aliyekuwa mgombea wa urais nchini mwaka jana kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo yupo moyoni mwake. Kupitia Account yake ya Instgram Shamsa Ford alipost picha ya Mh Edward Lowassa na kusema ni kumbukumbu yake lakini siku […]

Read More..

Baraka Awaponda Wasichana Wanaomshobokea

Post Image

Msanii Baraka da Prince amewapa za uso watu wanaomchafua kwa kusema kuwa wana mahusiano nae, na kusema jitihada zao za kumuharibia taswira yake kwenye jamii zimegonga mwamba. Kwenye ukurasa wake wa Instagram Baraka amepost picha akiwa na mwananmke lakini hakumuonyesha sura ni nani, na kusema kuwa mwanamke huyo ndiye anayemtambua na sio wengine. “My life […]

Read More..

Shamsa: Mkongo wa Wolper,Wema Amenitongoza

Post Image

STAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford juzikati alimwaga ‘ubuyu’ hadharani kwa kusema kwamba, yule jamaa Mkongo ambaye amekuwa akidaiwa kutoka na Wema Sepetu, Jacqueline Wolper amemtongoza. Akizungumza na kona ya Bongo Movies Shamsa alisema, hivi karibuni alienda saluni na kukutana na ujumbe wa Mkongo wa Wema, Wolper ukimuhitaji kimapenzi jambo ambalo lilimuudhi sana. “Hii si […]

Read More..

“Muziki wa Bongo Fleva ni bigijiiR...

Post Image

Mwanamuziki wa miondoko ya dance hapa nchini Patcho Mwamba amesema muziki wa bongo fleva hauna tofauti na bigjii maana haudumu kwa muda mrefu. Patcho ameyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano na kipindi cha E NEWS kinachorushwa na kituo cha EATV. Patcho amesema pamoja na waandaaji wa vipindi vya redio na runinga kuwapendelea wanamuziki wa bongo fleva […]

Read More..

INSTANEWS: Wabongo wa Mvaa Rosemary Odinga ...

Post Image

Rosemary Odinga, mtoto wa mwanasiasa mkongwe wa Kenya, Raila Odinga anatamani Instagram isingekuwepo! Ni kwasababu tangu aombe radhi kupitia mtandao huo kwa kauli aliyoitoa kwenye mkutano wa viongozi vijana wa kimataifa, IYLA kwenye umoja wa mataifa kuwa Olduvai Gorge ipo Kenya, amekuwa akioga mvua ya matusi. Kupitia Instagram, Ms Odinga aliandika: I have just been […]

Read More..

TAFF Imeunganisha Tasnia ya Filamu

Post Image

SIKU za nyuma kulikuwa na malumbano makali kati ya shirikisho la filamu Tanzania (TAFF) na kundi la Bongo Movie Unity lilokuwa likiundwa na wasanii nyota katika tasnia ya filamu Swahilihood na kuleta sintofahamu . Lakini kutokana na juhudi za Mwakifwamba pamoja na makamu mwenyekiti wake Deosonga Njerekela wamefanikiwa kuwaunganisha na sasa ni kundi moja wanaongea […]

Read More..