-->

Daily Archives: March 5, 2016

Richie na Lulu Watua Lagos, Nigeria Kwenye ...

Post Image

Mastaa wa Bongo Movies, Single Mtambalike ‘Richie’ na Elizabeth Michael ‘Lulu’ wameshatua jijini Lagos, Nigeria kwaajili ya kuhudulia utoaji wa tuzo za filamu za Africa Magic Viewers Choice Awards zitakazo fanyika siku ya leo jijini humo. Richie anawania tuzo  katika kipengele cha Best Movies-East Africa kupitia filamu yake ya KITENDAWILI wakati Lulu naye anawania tuzo […]

Read More..

Baba Levo: Wanaosema Shilole Kachuja ni Ki...

Post Image

Baba Levo ambaye hivi sasa ni mheshimiwa Diwani Kata ya Mwanga Kigoma kwa tiketi ya ACT Wazalendo amefunguka na kusema kuwa wanaosema Shilole amechuja ni kina nani hao? Baba Levo alijiuliza hilo na kuzua utata kwani baadhi ya watu walianza kuhisi kwamba watu hao ni wapenzi kutokana na ukaribu wao pindi Baba Levo anapokuwa Dar es […]

Read More..

Utumbuaji Majipu Sasa Watua Kariakoo kwa We...

Post Image

UNAPOSEMA Serikali ya awamu ya tano ilichoahidi lazima kifanyike ni kweli kabisa hivi karibu Mh. Nape Moses Nnauye alisema kuwa atahakikisha kuwa wale wanaojipatia fedha kwa njia za ujanja ujanja mwisho wao umefika lazima washughulikiwe kulinda maslahi ya Wasanii wa Tanzania. Jana ilikuwa ni siku mbaya kwa wale wauuzaji wa filamu za nje baada ya […]

Read More..

Picha: Diamond Akutana na Kanye West Mareka...

Post Image

Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz  ameshare picha akiwa na mkali wa muziki wa Hip Hop nchini Marekani, Kanye West. Diamond alisafiri kuelekea Marekani Las Vegas kwa ajili ya kufanya  show, ambapo kwenye maelezo ya hii picha, ilionekana wakati huo alikuwa Los Angeles.

Read More..

Ali Kiba Alikuwa Analia Studio -Chid Benz

Post Image

Msanii Chid Benz alimaarufu kama Chuma amefunguka na kusema wakati wana rekodi wimbo wa ‘Hasira za Nini’ ambao alimshirikisha Ali Kiba. Anadai ilifika mahali msanii King Kiba alidondosha chozi. Kupitia kipindi Cha Planet Bongo cha East Africa Radio ambapo Chid benz alipewa “Heshima ya bongo fleva” alifunguka na kusema wakati wapo Mj Records kufanya kazi […]

Read More..

Jide Ndoa Tena

Post Image

Siku chache baada ya kupewa talaka na aliyekuwa mumewe, mtangazaji Gardner G. Habash ‘Captain’, mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva anayekuja na ujio mpya alioubatiza jina la Naamka Tena, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au Jide amedaiwa kupata mwanaume mwingine ambaye yupo kwenye mikakati kabambe ya kumuoa, Risasi Jumamosi lina ubuyu kamili. Jide ambaye amekuwa kimya […]

Read More..

Uvumilivu Umemshinda Vanessa Mdee Kisa Jux

Post Image

Msani wa bongo fleva Vanessa Mdee maarufu kama V Money ameshindwa kuvumilia baadhi ya Comments zinazotolewa na baadhi ya mashabiki wake kwenye account yake ya Instgram baada ya msanii huyo kumzungumzia mpenzi wake Jux. Inafahamika kuwa wiki hii Jux atakuwa na show kadhaa katika mikoa mbalimbali hivyo mwandani wake Vanessa Mdee alichukua muda kumpa support […]

Read More..