-->

Daily Archives: March 20, 2016

Husna, Mobeto Ndani ya Bifu Zito

Post Image

Husna Maulid.   DAR ES SALAAM: Bifu la chinichini linaendelea kuwatafuna warembo wawili ambao wote waliwahi kunyakua taji la urembo wa Miss Kinondoni kwa nyakati tofauti, Husna Maulid (pichani)na Hamisa Mobetto baada ya kudaiwa kumgombea bwana, ambaye ni raia wa DRC, aitwaye Mwami Rajabu. Chanzo chetu makini kilisema kuwa Husna ndio wa kwanza kuanza kumtuhumu […]

Read More..

Picha: Lady Jaydee Arudisha ‘Ubinti’ na...

Post Image

Lady Jaydee ameamua kuvua gamba na kurudi upya kama binti wa miaka 10 iliyopita na kurejesha ladha aliyoanza nayo na iliyompa umalkia, R&B. Lady Jaydee akisaini mkataba na Mkito ambako wimbo wake utapatikana. Kushoto ni mwakilishi wa kampuni hiyo, Aishi Muimbaji huyo mkongwe amefanya uzinduzi wa single yake mpya aliyoipa jina ‘Ndindindi’ Jumamosi hii pale […]

Read More..

Mashauzi Yanapoteza Wasanii Wengi-Diamond P...

Post Image

Msanii Diamond Platnumz amefunguka na kusema wasanii wengi wa Tanzania na Afrika Mashariki kiujumla wanapotea kwenye ramani ya muziki sababu kubwa ni mashauzi na starehe na kutaka kujionesha. Akizungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, Diamond Platnumz amedai kuwa mafanikio yake kimuziki na kuzidi kuendelea kufanya vizuri ni kutokana na ukweli […]

Read More..

JB Aanza Kushoot Tamthilia Yake Mpya ‘Kiu...

Post Image

Msanii mkongwe wa filamu na mtayarishaji, Jacob Stephen ‘JB’ amewataka mashabiki wa kazi zake za filamu kukaa mkao wa kula kwa ujio wa tamthilia yake mpya iitwayo ‘Kiu ya Kisasi’. Kupitia instagram, JB ameandika: Wapenzi wa Jerusalem nilikuwa sijawapa habari ya kazi tunayoendelea nayo sio filamu bali ni tamthilia. Inaitwa Kiu ya Kisasi. Ningependa wapenzi […]

Read More..

Ray C Hatumii Madawa ya Kulevya- Rash Don

Post Image

Muandaaji wa muziki (Producer) Rash Don amesema msanii wa siku nyingi Rehema Chalamila RC anakuja na ngoma kali ambayo yeye ndo anaitengeneza kwa sasa. Don ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na EATV katika kipindi cha E News ambapo amesema kwamba msanii huyo ana nafasi kubwa ya kufanya vizuri kutokana na mabadiliko chanya ambayo yanaonekana kwa hivi […]

Read More..

Juma Nature Yupo Tayari Kumkabili Diamond P...

Post Image

Mwanamuziki mkongwe kwenye game la Bongo Fleva, Juma Nature, amesema yupo tayari kupambana na Diamond Platnumz kwenye game la muziki ‘live bila chenga’ kwenye uwanja wa mpira ili ajulikane nani anaweza zaidi. Ameyazungumza hayo alipokuwa kwenye show ya ‘Friday Night Live’ usiku wa kuamkia leo ambapo amefunguka kwa kusema kuwa Diamond ndiye anakalia game ya […]

Read More..