-->

Daily Archives: March 23, 2016

Rapper Chidi Benz akisamehewa na akipata ms...

Post Image

Hakuna mtu aliyemkamilifu chini ya jua au Dunia hii tunayoishi. Chidi Benz naye ni binadamu, anamakosa yake kama mtu mwingine yeyote yule. Kwa wale aliowakosea basi hana budi kuwaomba msamaha wa dhati na najua wakijua kuna Mungu wataweza kumsamehe. Kitendo alichofanya Meneja wa wasanii wa muziki kutoka Tip Top connection ndugu Hamisi Tale Tale maarufu […]

Read More..

Namtaka Wema Sepetu Kwa Gharama Yoyote- Ibr...

Post Image

NYOTA wa filamu Nchini Burundi na Rwanda Ibrahim Ismael ‘Ic’u Ibrah’ amefunguka kwa kusema kuwa moja kati ya ndoto zake ni kuigiza filamu moja kubwa na Madame Wema Sepetu kwani ni msanii anayeamini kuwa ni mwigizaji mzuri na anaweza kuigiza. “Nashukru kwa mara ya kwanza kuigiza na actress kutoka Tanzania Shamsa Ford, lakini nitafurahi sana […]

Read More..

Wasanii Wengi Bongo Wanatumia Unga – ...

Post Image

Meneja wa wasanii wa muziki kutoka Tip Top connection Hamisi Tale Tale maarufu kwa Babu Tale, amesema kuwa wasanii wengi kwa sasa wanatumia madawa ya kulevya, na hii ni kutokana na kuiga mambo ya Marekani. Babu Tale ameyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye Planet Bongo inayorushwa na East Africa Radio, na kueleza kuwa alipokuwa akimpeleka rehab […]

Read More..

Sijui Kitu Gani Kinatusibu- Lulu

Post Image

MWIGIZAJI wa Filamu na mshindi wa tuzo za African Magic Viewers Choice Awards (AMVCA) Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kwa kusema kuwa haelewi kitu gani kinawala wasanii wa filamu kukosa umoja na ushirikiano kwa kila jambo zaidi ya kuombena mabaya tu. “Nimejifunza mengi sana katika tuzo za African Magic hasa kwa wenzetu wa Naijeria wanapendana sana […]

Read More..

Faiza Ataja Sababu za ‘Reality TV Show’...

Post Image

Msanii wa filamu Faiza Ally ameeleza kuwa mzazi mwenzie ‘Baba Sasha’ amesababisha reality TV show yake ‘Star’ kushindwa kuonekana EATV licha ya kukubaliana na uongozi wa runinga hiyo kirushwe. Kupitia instagram, Faiza ameandika: Siwezi kunyamazia hizi habari zaidi nimeona ni share na watu wote wajue sijajua zitani cost kiasi gani lkn niko tayari kuface chochote […]

Read More..

Chuchu, Johari Wamaliza Bifu

Post Image

Habari mpya mjini kwa sasa ni kuwa wale mahasimu wawili wa muda mrefu, Blandina Chagula ‘Johari’ na Chuchu Hans ambao ni mastaa wenye majina makubwa katika kiwanda cha filamu nchini, wamemaliza tofauti zao na sasa ni mashostito wakubwa, Risasi Mchanganyiko lina ubuyu mzima. Chanzo cha kuaminika kililiambia gazeti hili kuwa, mabinti hao ambao sababu ya […]

Read More..

Wastara Aeleza Sababu ya Kumpiga Kofi la Kw...

Post Image

Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma, alimpiga kofi la kweli mwanadada Diana Kimaro, ambalo mpaka lilitoa chozi Diana wakiwa na wanaigiza filamu ya FAULO. Lakini hata hivyo baada ya kumaliza kuigiza filamu hiyo, aliamua kumuomba msamaha kwa kumpiga kofi hilo ambalo lilimtoka kwa hasira. Wastara anasema alijikuta akimpiga kofi hilo kwakuwa aliigiza kama mwanaye, akajikuta […]

Read More..

Lady Jaydee Afunguka Kuhusu Mahusiano Yake

Post Image

Msanii wa siku nyingi wa Bongo Fleva hapa nchini Judith Wambura a.k.a Lady Jaydee amewaomba watanzania wampende yeye kama yeye na si kumfuatilia kuhusu mahusiano yake kimapenzi. Jaydee ameyasema hayo katika kipindi cha E News kinachorushwa na kituo cha EATV kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa baada ya mtangazaji Sam Misago kumuuliza swali kwamba kuna […]

Read More..