Mwanaheri Akataa Posa
Mwigizaji anayekuja juu kwa kasi kwenye tasnia ya sinema za Kibongo, Mwahaheri Ahmed ‘Mwana’ amefunguka kuwa kufuatia kutokuwa tayari kuolewa, alishatolewa posa mara nane lakini akazikataa zote. Akizungumza na Wikienda, Mwana alisema kuwa hayuko tayari kuolewa kwa sasa hadi akamilishe mipango yake aliyojipangia ndiyo maana hata posa zilivyokuwa zikiletwa kwao hakuwa tayari. “Nilikuwa bado niko […]
Read More..






