Msalaba wa Ajabu Wamshangaza Mama Kanumba
Jambo limezua jambo! Baada ya hivi karibuni barua yenye ujumbe mzito kukutwa kaburini kwa aliyekuwa staa wa sinema za Bongo, marehemu Steven Kanumba, limezuka jipya ambapo kitu kilichopo kaburini kinachodaiwa ni msalaba (kilichozungushiwa duara pichani) kimemshangaza mama wa Kanumba, Flora Mtegoa. Kitu hicho cha chuma chenye umbo la pembe tatu katikati kikiwa na alama ya […]
Read More..





