-->

Author Archives: editor

Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa Mkuu Wa Mko...

Post Image

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanaia Dr.John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa mkoa wa shinyanga Ana kilango Malecela kuanzia leo. Utenguzi huo umetokana na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo Ana kilango Malecela kutangaza kwenye vyombo vya habari kuwa mkoa wake hauna watumishi hewa jambo ambalo lilisababisha Ikulu kufanya uchunguzi wake na kubaini […]

Read More..

Joh Makini Atoa siri ya Weusi

Post Image

Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, Joh makini amesema wao kama kundi wana mtindo wao wa kipekee kwenye kurap pamoja na uandishi wa mashairi. “Ni mbinu pekee tu tuna aina yetu ya kipekee ya kudeliver jinsi vile vitu ambavyo tumekuwa tukiandika, na aina yetu ya kuflow na jinsi ya uandishi, […]

Read More..

Patrick Amkumbuka Uncle Kanumba

Post Image

Ni msanii ambaye aliibuka kupitia filamu ya This is it akiwa sambamba na mwigizaji mwenzake Jenifer huyu si mwingine ni Othuman Njaidi ‘Patrick’ vipaji vilivyoiburiwa na maremu Kanumba Patrick anasema kuwa anamkumbuka sana Kanumba kwani alikuwa mlezi kwake. “Ni tofauti sana na Uncle Kanumba alivyotulea, yeye alitulea kama watoto wake kazini lakini watayarishaji wengine hawatupi […]

Read More..

Undani Kifo cha Ndanda Kosovo

Post Image

Dar es Salaam: Msiba! Tasnia ya Muziki wa Dansi Bongo imegubikwa na simanzi nzito kufuatia kifo cha aliyewahi kutikisa vilivyo kwa rap na vibao vikali, mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Ndanda Kosovo ‘Kichaa’ aliyefikwa na umauti wikiendi iliyopita, Wikienda limechimba undani wa habari hiyo. Habari zilizolifikia Wikienda mara tu baada ya […]

Read More..

Rammy Galis Kuipeleka Bongo Movie Kimataifa...

Post Image

Ni ukweli ambao waigizaji wengi wa filamu Tanzania wanaukataa, kwamba tangu Steven Kanumba afariki, kiwanda chao kimekuwa msege mnege! Hakuna ushindani tena, hakuna excitement tena mtaani kama ilivyokuwa zamani kwenye tasnia hiyo. Mauzo ya filamu yameshuka, waigizaji wengi wamekata tamaa kitu kilichowafanya kufikiria Plan B ili kuendesha maisha yao. Wasambazaji wa filamu nao wanadaiwa kupunguza […]

Read More..

Mama Kanumba Aeleza Haya Kuhusu Lulu

Post Image

Mama Steven Kanumba amesema Elizabeth Micheal ‘Lulu’ hana msaada kwake na hata sura yake ameisahau. Akizungumza kwa uchungu katika kipindi cha Clouds E cha Clouds TV Jumatatu hii, Mama Kanumba amesema kitu ambacho alikuwa anakihitaji kutoka kwa Lulu ni salamu pekee. “Lulu hanisadii kitu chochote na hata sura yake nimeisahau,” alisema Mama Kanumba. “Mimi sihitaji […]

Read More..

Baada ya Miaka Sita Lady Jaydee Akutana na ...

Post Image

Msanii wa bongo fleva ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake wa ‘Ndi Ndi Ndi’ Lady Jaydee amekutana na msanii Ray C baada ya miaka sita. Baada ya kuonana Lady Jaydee alisema kila mtu anapitia magumu katika maisha kwa njia tofauti. “Kila mtu anapitia magumu katika maisha kwa njia tofauti hakuna jaribu lisilo na mlango […]

Read More..

Wasanii Watakiwa Kuigiza Filamu Hifadhi za ...

Post Image

Wasanii wa Filamu nchini kote wametakiwa kutumia mandhari za asili zilizoko katika maeneo ya hifadhi za taifa kwenye shughuli zao za kurekodi filamu badala ya kutumia majengo ya kifahari ili kutangaza utalii kwa kupitia kazi zao. Hayo yameelezwa na Meneja Mawasiliano wa Filamu lilifonyika wa Shirika la Hifadhi za Taifa TANAPA ,Pascal Shelutete wakati akizungumza […]

Read More..

Zamaradi Mtetema Amwagia Sifa Hizi Riyama

Post Image

Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram, muuandaaji wa filamu na matantazaji wa kipindi cha Take One  cha maswala ya filamu , Zamaradi Mtetema  amemwagia sifa muigizaji wa kike, Riyama Ally kuwa ni moja ya waigizaji wa kike wenye uwezo na nguvu sokoni. “Anafahamika zaidi kwa uigizaji wake… MUIGIZAJI wa kike mwenye uwezo wa kusimama […]

Read More..

Picha: Shilole Ajichora Jina Lake Kwenye Ta...

Post Image
Read More..

Jinsi Ya Kutambua Simu Feki

Post Image

1. Kabla hujanunua simu mpya hakikisha unaandika namba hii *#06#, kwenye simu hiyo au ambayo tayari umenunua. 2. Ukishaandika itaonyesha namba ya pekee (serial number) au IMEI (International Mobile Equipment Identity) ambayo ni lazima ziwe tarakimu 15 au zaidi na ni lazima ianze na 35. 3. Angalia kwa makini kama namba unazoziona zinafanana moja kwa […]

Read More..

Soba Wazungumzia ‘Ubwiaji’ wa Chid Benz

Post Image

Ni wiki kadhaa tangu mkali wa Muziki wa Hip Hop Bongo, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ apelekwe kwenye Kituo cha Life & Hope Rehabilitation Organization (Soba House) kilichopo Bagamoyo mkoani Pwani kwa ajili ya kupata huduma ya kuachana na utumiaji wa dawa za kulevya. Chid Benz alipelekwa kwenye kituo hicho chini ya uangalizi wa Promota, Babu […]

Read More..

Gardner Ashindwa Kitendawili cha ‘NDI...

Post Image

Ilikuwa ni mwendo wa majibu ya mkato na mafumbo kutoka kwa Gadner tulipotaka atupe mtazamo wake juu ya hit song “NDI NDI NDI” ya Jay Dee. Camera ya ENewz ilikutana na aliyekuwa mume na pia meneja wa mwanadada Lady Jay Dee, Gadner G Habash na kutaka kupata mtazamo wake juu ya wimbo mpya wa Lady […]

Read More..

Juma Nature Aniache Nitingishe – KR Mullah

Post Image

Msanii KR Mullah amefunguka baada ya msanii mwenzake wa kundi la Wanaume Halisi Juma Nature, kusema kitendo cha KR kujiunga na Radar Entertainment, huenda kitamuharibu asipokuwa makini. Akiongea na East Africa Radio kwenye kipindi cha Planet Bongo, KR Mullah amemtaka Juma Nature amuache kwa sasa afanye kazi, kwani kwa sasa anataka kubadilisha ladha ya muziki […]

Read More..

AMINI Atoboa Kile Kinacho Sababisha Wasanii...

Post Image

ALIYEWAHI kuwa mchumba wa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Linah Sanga, Amini Mwinyimkuu ‘Amini’ amesema makundi mabaya wanayokuwa nayo baadhi ya wasanii ndiyo yanayowaingiza katika matumizi ya dawa za kulevya Msanii huyo anayetamba na wimbo wa ‘Hawajui’ alisema wasanii wengi hawajitambui kutokana na makundi waliyonayo, ndiyo maana hushindwa kusimamia hata kazi zao za muziki […]

Read More..

Steve Nyerere Kutoa Movie Moja tu Mwaka Huu

Post Image

Mchekeshaji na staa wa Bongo Movies, Steve Nyerere ameibuka na kusema mwaka huu atatoa filamu moja tu. Steve Nyerere amesema anawashangaa wasanii wanaotoa movie nyingi lakini hazina ubora. Amesema “Kuna watu wanatoa movie mpaka tatu kwa mwaka lakini zote ni mbovu”. Steve ameahidi kuwa movie hiyo atakayoitoa itakuwa ni kali sana. Steve aliongea hayo na […]

Read More..

MUSA Banzi: Waansishi na Waongozaji wa Fila...

Post Image

Musa Banzi anaumizwa na kitendo cha wasanii kupewa credit badala ya credit hizo kupewa waandishi wa filamu na waongozaji.   Banzi amewahi kuandika filamu zilizowahi kufanya vizuri kama vile ‘Shumileta’, ‘Odama’ na nyingine nyingi. Akizungumza kwenye kipindi cha E-News, kinachoruka kupitia EATV, Banzi alisema, ‘Siku hizi wasanii ndiyo wanaopewa credit kwenye movie badala ya madirector […]

Read More..

Dudubaya; Hili la Chid Benz Unakosea Sana B...

Post Image

GODFREY Tumaini ndilo jina lake la kuzaliwa, lakini Bongo Fleva inamtambua zaidi kama Dudubaya, ingawa mwenyewe alijitahidi kwa kila hali kujiita Duduzuri bila mafanikio. Dudubaya ni mmoja kati ya ma-legend wa muziki huu wa Kizazi Kipya. Ingawa naye aliwakuta watu ambao tayari walikuwa wameshaweka majina yao katika muziki huu, lakini bado yupo katika orodha ya […]

Read More..