-->

Category Archives: Bongomovies

artists from Tanzania , East AFRICA

Mzee Majuto: Nataka Nikifa Nizikwe Kama Ste...

Post Image

Wiki hii, Mpaka Home ilifunga safari mpaka mkoani Tanga, nyumbani kwa mchekeshaji maarufu wa siku nyingi,  mzee Amri Athumani (68) ‘Mzee Majuto’ kwa lengo la kuyajua maisha halisi ya mchekeshaji huyu. Mzee Majuto anaishi eneo linaloitwa Donge, mkoani humo ambapo anaishi na familia yake nzima akiwepo mkewe kipenzi; Asha, watoto wake pamoja na wajukuu wake. […]

Read More..

Kajala Masanja: Afunguka Kuhusu Msamy Baby,...

Post Image

STAA wa Bongo anayetesa kwenye filamu, Kajala Masanja amevunja ukimya na kufunguka kuhusu maneno yanayozagaa mitaani yakimtaja kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa nyakati tofauti na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mwanamuziki wa Bongo Fleva, Msamy Baby. Kwa muda mrefu sasa, minong’ono hiyo imekuwa ikizagaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii […]

Read More..

Gabo Auzungumzia Umuhimu wa Tuzo za EATV Aw...

Post Image

Msanii wa filamu anayefanya vizuri na filamu ‘Safari ya Gwalu’ Salim Ahmed ‘Gabo’ amesema tuzo ni kitu muhimu kwa wasanii kwa kuwa ni kipimo ambacho kinapima mafanikio ya msanii husika. Muigizaji huyo ambaye anawania tuzo ya muigizaji bora wa kiume katika tuzo za EATV Award, amesema hatua ya kuongezeka kwa tuzo nchini kunasaidia kukuza sanaa. […]

Read More..

Mzee Chilo Awataka Wasanii wa filamu Kubadi...

Post Image

Nguli wa filamu, Ahmed Olotu maarufu kama ‘Mzee Chilo’ amesema anajua tasnia ya filamu inakumbwa na changamoto nyingi lakini wasanii wa filamu wanatakiwa kubadilisha mbinu za kibiasha ili wanufaike na kazi zao. Akiongea na Bongo5 wiki hii, Chilo amewataka wasanii wa filamu kubadili mtazamo wa kibiashara ili waweze kunufaika na kazi zao. “Mimi nasema tutengeneze […]

Read More..

Nisha Alia Tena, Amfungukia Baba Kijacho

Post Image

Staa wa Bongo Movies, Nisha kwa mara nyingine tena ametoa kilio chake kwa mwanaume aliyembebesha ujauzito alionao hivi sasa na kuachana. Nisha ambae hadi sasa ni ‘single parent’ amefunguka kwenye ukurasa wale wa Instagram kuwa atamlea mtoto ajae kama alivyomlea mtoto wake wa kwanza. “Mwanzo nlisema ok nitashinda..but siku baada ya siku najua atahitaji kukujua..kikubwa […]

Read More..

Wema Sepetu: Munalove ni Mshamba

Post Image

Staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu ambae kwa sasa ametibuana na aliekuwa rafiki yake Munalove amesema kuwa Muna ni msamba. Akihujiwa na e newz juu ya  bifu lake na Muna, Wema alidai kuwa  Kudai kuwa yeye huwa hadeal na washamba akaongeza kusema kuwa urafiki na Muna ulikuja akijua Muna ni Mshamba lakini alikubali kuweka […]

Read More..

Filamu Mpya ya ‘Mungu Nisitiri’ Kurushw...

Post Image

Ni stori inayozingumzia mwanamke aliyeterekezwa na mumewe baada ya dhiki na taabu .Ni kutokana na shida alizokuja kupata, anajikuta akifanya vitendo vya ajabu visivyofaa kwa jamii ili amuokoe bintiye. Je. Ni nini kilitokea? Fuatilia mkasa huu. STORY: ➡SAID MKUKILA PRODUCER: ➡AISHA BUI WAHUSIKA: ➡AISHA BUI ➡HEMED SULEIMAN ➡BI MWENDA ➡HAJI ADAM ➡BI HINDU Na wengine […]

Read More..

Gabo Zigamba: Hakuna Wanawake Wakuoa Siku h...

Post Image

Msanii wa filamu ambaye anafanya vizuri na filamu ya ‘Safari ya Gwalu’ Gabo Zigamba amefunguka kwa kusema kuwa siku hizi hakuna wanawake wakuoa. Mwigizaji huyo ambaye anapewa nafasi kubwa yakufanya vizuri zaidi katika tasnia ya filamu, amesema wanawake wengi wa siku hizi hawajatulia. “Wanawake hakuna siku hizi kuna majike shupa,” Gabo alikiambia kipindi cha Uhondo […]

Read More..

Eshe Buheti: Mabadiliko Hayakwepeki

Post Image

Anatambulika kwa jina lake halisi la Eshe Buheti. Ni miongoni mwa waigizaji waliotumia majina yao vyema katika tasnia ya filamu nchini. Buheti alifanya mahojiano na gazeti hili kuhusu masual mbalimbali ikiwamo mtuzamo wake katika tasnia ya filamu, unio wa tamthilia, anavyowazungumzia wakongwe na mabadiliko katika filamu. Mtazamo wake Anasema mtizamo wake ni kujipanga na kuja […]

Read More..

Lulu ni Wife Material – Idris Sultan

Post Image

Mchekeshaji na mshindi wa Big Brother 2014 Idris Sultan amedai katika tasnia ya filamu, mrembo Elizabeth Michael ‘Lulu’ ndiye msichana mwenye sifa ya kumuoa. Idris ambaye alikuwa akitoka kimapenzi na Wema Sepetu na baadae kuachana, ameiambia 255 ya XXL ya Clouds FM kuwa Lulu ndiye msichana ambaye anahisi ametulia. “Mimi naona Elizabeth Michael ametulia sana,” […]

Read More..

Wasanii Waliofanikiwa Kuwania Tuzo za EATV

Post Image

Zikiwa zimebaki siku 33 kutolewa kwa Tuzo za EATV ambazo zinahusisha wasanii wa muziki pamoja na wasanii wa filamu nchini, East Africa Television leo imetangaza wasanii ambao wamefanikiwa kuingia katika baadhi ya vipengele vya tuzo hizo. Akizungumza kupitia kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio Dominican Mkama, Mkuu wa Mauzo Kanda ya Dar es Salaam […]

Read More..

Tamthilia ya JB ‘Kiu ya Kisasi’ Kuingia...

Post Image

Mtayarishiji wa filamu na mwigizaji, Jacob Stephan ‘JB’ amewataka mshabiki wa filamu kukaa mkao wa kula kwa ajili ya ujio wa tamthilia yake mpya ‘Kiu ya Kisasi’ ambayo ipo katika hatua ya mwisho ili kuingia sokoni. Tamthilia hiyo imewakutanisha mastaa mbalimbali akiwemo, Naj na pamoja na wengine. Kupitia instagram, JB ameandika Niko katika hatua za […]

Read More..

Hemed ‘PhD’, Filamu Kali, Muziki Mzuri...

Post Image

NIKIMTAZAMA msanii mwenye makeke mengi akiwa na uwezo mkubwa wa kuvaa uhusika, Hemed Suleiman ‘PhD’, namkumbuka galacha wa Bongo Fleva Khaleed Mohamed ‘TID’. TID yeye ni msanii wa Bongo Fleva akitamba zaidi kwenye RnB, ambaye aliweza kung’aa sana enzi zake na hadi sasa akiwa na bendi yake iitwayo Top Band. Akiwa yupo kwenye kilele cha […]

Read More..

Rose Ndauka Atoa Ombi Hili kwa Serikali

Post Image

Msanii wa filamu nchini,Rose Ndauka ameitaka serikali kuongeza nguvu katika kusimamia kazi za wasanii. Rose ametoa kauli hiyo alipokuwa akiuzungumzia utendaji wa Rais Magufuli katika kipindi cha mwaka mmoja toka achaguliwe kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. “Kwenye tasnia ya filamu nikimuongelea Rais John Pombe Magufuli mi mabadiliko ninayoyafikiria ni mabadiliko zaidi ya […]

Read More..

Wema Sepetu Amtolea Uvivu Muna, Ampa Makavu...

Post Image

Staa na mrembo kutoka Bongo Movie, Wema Sepetu na shosti wake wa karibu Muna kimenuka – Kupitia mtandao wa Instagram Wema Sepetu amemtuhumu rafiki yake huyo kumtumia mama yake kama ‘ndondocha’. Kupitia mtandao huo, Wema ameandika: Rose Alphonce Nungu… Nakuita tena kwa mara ya pili Rose Alphonce Nungu…. Unanitafutia nini wewe mwanamke…!? Nini nimekukosea wewe […]

Read More..

Mzee Chilo Awataka Wasanii wa Filamu Kuacha...

Post Image

guli wa filamu, Ahmed Olotu maarufu kama ‘Mzee Chilo’ amesema licha ya tasnia ya filamu kukumbwa na changamoto nyingi lakini wasanii wa filamu wanatakiwa kufanya kazi kwa bidii na kuacha kulalamika. Mzee Chilo aliiambia Bongo5 kuwa wasanii hawatakiwi kukata tamaa kwa kuwa tayari wameitoa mbali tasnia ya filamu. “Mimi napenda kuwaambia wasanii wenzangu tufanye kazi […]

Read More..

Bodi ya Filamu:Hakuna Wezi wa Kazi za Sanaa

Post Image

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fisso amesema hana taarifa na wizi wa kazi za wasanii na kuwasihi wasanii kufikisha malalamiko yao ofisini kwake ili yaweze kufanyiwa kazi kwa wakati. Akiongea ndani ya eNewz Bi.Fisso amesema kama kuna wasambazaji wanaohusika na wizi wa kazi za wasani au mtu yeyote ni bora kuacha mara […]

Read More..

Tuzo Zimeleta Faraja Kwenye Filamu – Gabo

Post Image

Msanii wa filamu ambaye kwa sasa ndiye ‘hot cake’ kwenye tasnia, Gabo Zigamba, amesema wasanii wa filamu wamepata kwa faraja kuanzishwa kwa EATV AWARDS. Akizungumza na EATV Gabo amesema kwanza ni changamoto kubwa kwao kwani itatengeneza ushindani, ukizingatia kwa upande wa filamu kwa muda mrefu kumekuwa hakuna kitu cha kuwafariji  na kutambua mchango wa wasanii wa […]

Read More..