Davina: Atamani Ramadhani Iendelee
STAA wa filamu za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ amedai kuwa anatamani Mwezi Mtukufu wa Ramadhani uendelee kwani umepunguza misengenyo baina yao tofauti na wakati mwingine katika mwaka. Akipiga stori na Risasi Vibes, Davina alisema anatamani Mwezi Mtukufu ungeendelea kwa sababu umekuwa wa amani na utulivu, pia watu wamekuwa wakitenda mema, kujisitiri kwa mavazi ya heshima […]
Read More..





