-->

Category Archives: Artists News

Kumbe Wema Mbwembwe Tu!

Post Image

MASHABIKI wa mwanadada mwenye mvuto wa kipekee Bongo, Wema Sepetu, kazi anayo. Mashabiki wake wamemjia juu baada ya kauli yake kwamba mwaka mpya utakuwa wa mafanikio kwake. Wema ambaye ni Miss Tanzania wa mwaka 2006 na pia mwigizaji wa filamu za Bongo Movie, amenangwa vikali na mashabiki hao katika mitandao ya kijamii wakisema wamechoshwa na […]

Read More..

Uwoya Amponza Shamsa

Post Image

STAA wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford ameoga mvua ya matusi kutoka kwa baadhi ya mastaa wa Bongo Movies baada ya kusema hakuna staa mzuri wa kike kwenye tasnia hiyo kumzidi mwigizaji mwenzake, Irene Uwoya. Shamsa aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, haogopi matusi yao hata kidogo kwani anaonekana mbaya kwa sababu alisema ukweli ambao upo na wala […]

Read More..

Style mpya ya mbunge, mnakutana kijiweni un...

Post Image

Mbunge wa Nyamagana Mwanza Stanslaus Mabula ameamua kutumia style ya kipekee kukutana na wananchi wake kwenye kijiwe cha kahawa Mabatini Mwanza na kujibu maswali ya ahadi zake kwa miaka miwili tangu awe Mbunge.

Read More..

Staa wa Arsenal amefunguka linamjia wazo la...

Post Image

Moja kati ya habari kubwa zinazochukua headlines kwa sasa katika upande wa michezo ni kuhusiana na stori ya staa wa soka wa kimataifa wa Ivory Coast aliyewahi kuvichezea vilabu mbalimbali Ulaya kama Arsenal na Galatasaray ya Uturuki Emmanuel Eboue

Read More..

VideoMPYA: Joh Makini ameiachia zawadi ya X...

Mkali wa Hip Hop kutoka Weusi Kampuni Joh Makini amaeamua kuachia video mpya inayoitwa ‘Mipaka’ kama zawadi ya Xmass kwa mashabiki wake, tazama video yake na usiache kulike video hii ilijohn Makini apete kujua mashabiki wake wameupenda mwimbo wake  

Read More..

Yaliyobamba, kutikisa 2017

Post Image

MASHABIKI wa burudani na sanaa nchini wanahesabu siku tu kabla ya kuuaga rasmi Mwaka 2017 na kuukaribisha Mwaka Mpya wa 2018. Hesabu zinaonyesha zimesalia siku 9 tu ambazo ni sawa na saa 216 kabla mwaka haujakatika. Lakini mwaka ukiwa unaelekea ukingoni, kuna mambo mengi yaliyojiri yatakayokumbukwa ambayo baadhi yalikuwa ya furaha, mengine ya huzuni na […]

Read More..

Dude Atoboa Siri ya Maisha Yake

Post Image

KULWA Kikumba ‘Dude’ ametoboa siri ya maisha yake kuwa, tangu ajitambue hajawahi kuugua hadi kulazwa pia kupelekwa nyuma ya nondo kwa kosa lolote lile. Dude alizungumza na Full Shangwe na kusema anamshukuru Mungu kwa kumlinda kwa mambo hayo mawili katika maisha yake. “Tangu nimejitambua sijawahi kuugua hadi nikalazwa wodini au kupelekwa nyuma ya nondo kwa […]

Read More..

New Video: Mafikizolo ft. Yemi Alade – Of...

Post Image

Kutoka katika albamu ya ’20’kundi la Mafikizolo linaloundwa na vijana wawili Theo Kgosinkwe na Nhlanhla Nciza wameachia video ya ngoma yao iitwayo ‘Ofana Nawe’ ambayo inayopatikana katika albamu hiyo. Wimbo huo wamemshirikisha Yemi Alade kutoka Nigeria.

Read More..

Wastara Juma Ajitosa Bongo Fleva

Post Image

STAA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma baada ya kusikika kwa Wimbo wa Wanawake ambao aliuzindua wakati akienda nchini Sweden, sasa amejipanga kutoa wimbo mwingine unaoitwa Mama na Mtoto ambao nao unaihusu jamii kwa ujumla. Akibonga na Risasi Vibes, Wastara alisema kuwa ameamua kuimba nyimbo zinazoihusu jamii hasa akina mama na watoto. “Wimbo wangu wa […]

Read More..

Nuh Mziwanda Amtupia Dongo Shilole

Post Image

Baada ya kuenea  kwa picha katika mitandao ya kijamii  za Muingizaji na Msanii Zuwena Mohamed,maarufu kama Shilole zikionyesha kuwa amefunga ndoa na mpenzi wake Uchebejana usiku , aliyekuwa mpenzi wa Shilole, Nuh Mziwanda ametuma dongo. Nuh Mziwanda ameandika ujumbe katika ukurasa wake wa Instagram ambao unatafsiriwa kama amebeza ndoa hiyo. Mpenzi huyo wa Zawadi wa Shilole, Nuh Mziwanda ameandika, “Aliyelala na bibi harusi […]

Read More..

Bora Uchebe Afe Kuliko Kumkosa Shilole

Post Image

MCHUMBA wa staa wa mduara Bongo, Zuwema Mohamed ‘Shilole’, Uchebe Ashiraf amefunguka kuwa kuliko kumkosa Shilole kwenye maisha yake ni bora asiwepo duniani kabisa.   Akipiga mastori na Over Ze Weekend, Uchebe alisema kuwa, pamoja na kwamba amegundua Shilole alirudisha mapenzi na bwana’ke wa zamani, Nuh Mziwanda lakini hayuko tayari kumuacha. “Ninajua amenikosea sana, lakini […]

Read More..

Wolper Afunguka Kupenda ‘Vidogo’

Post Image

Muigizaji wa filamu bongo ambaye sasa anajihusisha zaidi na ujasiriamali, Jackline WOlper, amesema anapenda wanaume wenye maumbile madogo kwani yeye mwenyewe maumbile yake ni madogo. Akizungumza kwenye kipindi cha Friday Night Live Jackline Wolper amesema hana sababu ya kupenda au kusifia wanaume wenye maumbile makubwa wakati yeye maumbile yake ni madogo. “Actualy siwezi kusema nachukuliaje […]

Read More..

Huyu Ndiye Gigy Money Mpya

Post Image

ALITOKA kwa staili ya peke yake. Akapewa majina yote. Pengine majina hayo alistahili kwa namna alivyojiweka na kujitangaza mbele ya jamii. Isingekuwa rahisi kumtabiria makubwa, ungeweza kuishia kusema ni msichana wa mjini, mwenye mambo mengi yasiyo na staha. Asiye na uoga mbele ya jamii ya wastaarabu. Wakati anaanza kujulikana kwenye ulimwengu wa burudani, alifahamika kama […]

Read More..

Irene Uwoya Avishwa Viatu vya Zari

STAA wa filamu za Kibongo Irene Uwoya, ameendelea kugonga vichwa vya habari za burudani baada ya mume wake, Hamad Ndikumana aliyefunga naye ndoa ya Kikristo kufariki dunia mapema wiki hii akiwa nyumbani kwake, Kigali nchini Rwanda. Kwa wiki tatu mfululizo Uwoya amekuwa hakuauki kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kwa tukio aliloliita ni […]

Read More..

Familia ya Ndiku Yazuia Uwoya Asipigwe Rwan...

Post Image

FAMILIA ya aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Timu ya Rayon Sports ya Rwanda, Hamad Ndikumana ‘Katauti’ (39), imezuia staa wa filamu Bongo, Irene Uwoya ambaye alikuwa mke wa jamaa huyo asifanyiwe fujo baada ya kutinga nchini Rwanda jioni ya Ijumaa iliyopita. Hatua hiyo ilikuja baada ya Ndikumana kupoteza maisha huku Uwoya akishushiwa tuhuma za hapa na […]

Read More..

Riyama Afungukia Kukacha Shule!

Post Image

RIYAMA Ally ameweka wazi kuwa hakumaliza elimu ya sekondari kutokana na ugumu wa masomo kwani hakuwa akiambulia chochote darasani licha ya walimu kujitahidi kufundisha kwa kiwango cha juu. Mwanaspoti lilipiga stori na Riyama na alisema kutokana na kuona mambo magumu shule alilazimika kukatisha masomo yake na hivyo kuishia kidato cha pili. “Kwa kweli ugumu wa […]

Read More..

Mama yake Irene Uwoya amlilia Ndikumana

Mama mzazi wa msanii Irene Uwoya ambaye ni mkwe wa marehemu Hamad Ndikumana aliyefariki usiku wa jana kuamkia leo, ameshikwa na uchungu kwa kumwaga machozi mengi na kusema kabla marehemu hajafariki alikuwa anawasiliana naye na alimtaka kuwa na subira. Akiongea huku akilia kwa kwikwi na machozi yakimtoka, mama Uwoya amesema Ndikumana alikuwa ni zaidi ya […]

Read More..

TANZIA : Aliyekuwa Mume wa Irene Uwoya afar...

Post Image

Aliyekuwa Mume wa zamani wa Muigizaji Irene Uwoya na Mchezaji wa Burundi, Hamadi Ndikumana Katauti amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Taarifa za kifo cha Ndikumana zimethibitishwa na Muigizaji Irene Uwoya ambaye alikuwa mke wake wa ndoa na kufanikiwa kuzaa mtoto mmoja wa kiume. Baaada ya muda EATV ilifanikiwa kumpata Haruna Niyonzima ambaye ni moja […]

Read More..