-->

Monthly Archives: November 2016

Diamond: Rich Mavoko Ana Mabomu ya Hatari

Post Image

Msanii Diamond Platnumz amefunguka na kusema kuwa ukimya wa Rich Mavoko unatokana na msanii huyo kujipanga na kazi zake mwenyewe na kudai mpaka sasa amefanya kazi nyingi na kali sana. Diamond Platnumz alisema hayo hivi karibuni kupitia kipindi cha Friday Night Live na kusema kuwa Rich Mavoko amefanya kazi nyingi lakini yeye mwenyewe anaziweka pembeni na […]

Read More..

DSTV Kuwapa Ulaji Waigizaji wa Bongo Movies

Post Image

KING’AMUZI cha Dstv kilicho chini ya Multchoice, kinatarajia kutoa kipaumbele kwa waigizaji Watanzania kutumia chaneli yake ya ‘Maisha Magic Bongo’ kutoa elimu ya lugha ya Kiswahili Afrika. Akizungumza na MTANZANIA jana, Barbara Kambogi alisema watakuwa wakitumia kazi za waigizaji wa Tanzania kufundisha lugha hiyo. Barbara alisema kuwa Ijumaa ijayo wanatarajia kufanya mazungumzo na waigizaji wa […]

Read More..

Esma, Dada wa Diamond Avunja Ukimya

Post Image

Dada wa msanii Diamond platnuz Esma Platnumz amesema hakuwahi kumtabiria wala kutegemea kuwa kaka yake Diamond angekuja kuwa mtu maarufu kimataifa japo alikuwa akionesha kupenda muziki tangu akiwa mdogo. Hata hivyo Esma amesema maswala yanayoandikwa kwenye magazeti kuhusiana na Baba yake siyo ya kweli kwa kuwa yeye anamfahamu baba yake mzazi na mtu aliyejitokeza kwenye […]

Read More..

Rose Ndauka:Kuvunjika kwa Ndoa Sio Tatizo l...

Post Image

Malkia wa filamu Rose Ndauka amewataka watanzania kujua kuvunjika kwa ndoa sio tatizo la wasanii wa filamu pekee bali ni tatizo la jamii nzima. Mwigizaji huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja aitwae, Naveen amesema kwa sasa yeye bado yupo yupo kuingia kwenye maisha ya ndoa. “Ndoa ni makubaliano ya watu wawili, mimi bado nipo […]

Read More..

Weusi Kuja na Studio Pamoja na Ofisi

Post Image

Kundi la Weusi limedai kuwa na mipango ya kutengeneza studio yao pamoja na kujenga ofisi. Wakiongea na Planet Bongo ya East Africa TV baadhi ya wasanii wanaounda kundi hilo akiwemo Nick wa Pili, Joh Makini na G-Nako wamesema kuwa wapo kwenye mipango ya kutengeneza studio yao na ofisi kwa pamoja. “Tuna mpango wa kuwa na […]

Read More..

Dr Cheni Aachana na Bongo Movie Kwasasa, Hi...

Post Image

Staa mkongwe wa Bongo Movie, Dr Cheni  amefunga kuwa kwasasa hata cheza tena filamu hadi pale serikali itakapo hakikisha kuwa filamu zao zinalindwa dhidi ya wizi wa kazi zao. Akiongea na Enews ya EATV, Dr Cheni alisema kuwa usalama wa kazi zao ndiyo tatizo kwenye tasnia ya bongo movie “ Siwezi kutoa tena filamu hadi […]

Read More..

Lulu Diva Afingukia Kitendo Kinachomuumiza ...

Post Image

MUUZA sura kwenye video za Kibongo, Lulu Abbas ‘Lulu Diva,’ amefunguka kuwa katika maisha yake hata siku moja hawezi kusahau jinsi alivyolazimika kugawa penzi kwa mzee, kisa pesa za kumtibisha mama yake mzazi ambaye alikuwa anaumwa hoi! Akichonga na Risasi BMM, Lulu aliongeza kuwa wakati akifanya tukio hilo alikuwa ni msichana mwenye umri wa miaka […]

Read More..

Lady Jaydee Apatikana na Hatia, Kesi Yake n...

Post Image

Mahakama ya wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, imemkuta na hatia ya Judith ‘Lady Jaydee’ Wambura katika kesi iliyofunguliwa dhidi yake na Clouds Media Group miaka takriban mitatu iliyopita. Hukumu hiyo imetolewa Jumatano hii (November 2) na Hakimu Boni Lyamike. Katika kesi hiyo, Lady Jaydee alifunguliwa mashtaka na Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Joseph Kusaga […]

Read More..

Kuna watu wamekuja kuuharibu muziki wetu â€...

Post Image

Msanii mkongwe wa muziki, Matonya amewataka wadau mbalimbali wa muziki kuwa makini na watu ambao wamekuja kuuharibu muziki wa bongofleva. Muimbaji huyo ambaye amewahi kufanya vizuri na wimbo ‘Vaileti’ na nyingine nyingi, ameiambia Bongo5 kuwa kuna vijana wameingia kwenye muziki bila kuwa navipaji. “Mimi napenda kuwapongeza wasanii wote wazuri ambao wanafanya vizuri lakini kuna watu […]

Read More..

Faraja Nyalandu Amkingia Kifua Miss Tanzani...

Post Image

Aliyewahi kuwa Miss Tanzania, Faraja Nyalandu amemkingia kifua mshindi wa mwaka huu Diana Edward akisema hata yeye aliposhinda alizushiwa mambo mengi, lakini anashukuru kwa kuwa yalimjenga. Katika waraka wake wenye maneno 223 aliouweka kwenye mtandao wa Instagram, mrembo huyo alisema alikaribishwa katika dunia ya umaarufu kwa kashfa lakini kwa msaada wazazi wake alifanikiwa kusimamia malengo […]

Read More..

Hamisa Mobetto Afungukia Bifu Lake na Zari

Post Image

Hamisa Mobetto amefunguka juu ya mahusiano yake na first lady wa Madale, Zari The Bosslady baada ya tetesi za kutoka na Diamond. Mrembo huyo amemuambia mtangazaji wa kipindi cha The Playlist cha Times FM, Omary Tambwe aka Lil Ommy kuwa hajawahi kuwa na urafiki na Zari na wala hawana uadui wowote. “Unajua huwezi kusema kuwa […]

Read More..

Abby Skills Awashukuru Alikiba na Mr. Blue

Post Image

Msanii wa Bongo Fleva Abby Skills amesema anawashukuru sana wasanii Ali Kiba pamoja na Mr. Blue kwa kumrejesha kwenye game la muziki baada ya kupotea kwa miaka minne mfulilizo. Abby ameyasema hayo alipokuwa katika kipindi cha Friday Night Live kinachorushwa na EATV ambapo pia alitambulisha ngoma yake mpya na video yake inayokwenda kwa jina la […]

Read More..