-->

Monthly Archives: November 2016

Steve Nyerere Amponda Eric Omondi

Post Image

Mchekeshaji maarufu nchini Tanzania Steve Nyerere  amesema anahitajika mtu wa kuweza kusimamia mambo ya maigizo, ngumi na michezo ya mpira ili kusogeza tasnia hizo na siyo watu wa kujiangalia wao binafsi. Akiongea na eNewz Steve amesema hajaona kitu ambacho Eric Omondi anamzidi kwa kuwa kazi nyingi za Omondi huwa anakopi nyimbo za watu na ‘kujipromoti’ kwa nguvu ila […]

Read More..

Aunty Ezekiel na Mose Iyobo Wanatarajia Mto...

Post Image

Hii ni picha ambayo imekuwa ikisambaa kwa kasi katika mtandao wa Instagram ni picha ya muigizaji Aunty Ezekiel pamoja na mpenzi wake Mose Iyobo. Imepostiwa na baadhi ya watu ikiwemo Mose Iyobo mwenyewe inamuonesha Aunty Ezikiel akiwa mjamzito, kitu ambacho kimefanya baadhi ya mashabiki wao kutoa comment za pongezi. Kama utakuwa unakumbuka vizuri Mose Iyobo na […]

Read More..

Wasanii wa Hip Hop Hatuna Hela – Youn...

Post Image

Msanii wa Hip Hop nchini Young Killer amesema sababu zinazopelekea wasanii wa hip hop nchini kutokuwa na bifu ni kutokana na mafanikio madogo wanayoyapata kupitia muziki.   Akiongea kupitia eNewz  Killer amesema hakuna msanii wa hip hop mwenye mafanikio ya kupata show ya milioni 10 hivyo wanakosa cha kujitambia na ukizingatia bifu nyingi husababishwa na mafanikio […]

Read More..

Trey Songz Amenipa ‘Kiki’ Hadi ...

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo fleva, mwanadada Vanessa Mdee a.k.a Vee Money, amefunguka na kueleza faida alizopata kwa kuwa karibu na nyota wa muziki nchini Marekani Trey Songz. Akiwa katika kipindi cha FNL cha EATV, Vanessa alitakiwa kueleza faida alizopata kutokana na skendo zilizovuma siku za hivi karibuni kuwa alitoka kimapenzi na Trey Songz kipindi walipokuwa […]

Read More..

Muhogo Mchungu Anatudai – Solid Groun...

Post Image

Kundi la muziki wa bongo fleva Solid Ground Family ambao wameanza kitambo kwenye game ya muziki na mpaka sasa wapo kwenye game, wamekiri kitendo cha kumdhulumu muigizaji mkongwe wa filamu Muhogo Mchungu. Wakizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, wamesema deni hilo la Muhogo mchungu walilipata wakati wanaenda kufanya shooting ya video ya Bush Party’ […]

Read More..

Filamu ya Siri ya Moyo Kuonyeshwa Cineplex ...

Post Image

ILE Sinema ya Siri ya Moyo kutoka kwa mtayarishaji mahiri wa filamu Swahilihood Salum Saleh ‘Man Fizo’ inatarajiwa kuonyeshwa katika ukumbi wa sinema wa Cineplex cinema Quality Centre barabara ya Mwalimu Nyerere zamani Pugu Road, terehe 1. Dec. 2016 Man Fizo ndio mtayarishaji wa filamu ya Nimekosea wapi? Akiongea na FC mratibu wa tamasha hilo […]

Read More..

Alikiba Aicheka Kauli ya Diamond Kuhusu Pet...

Post Image

Kama una kumbuka  kauli ya Diamond aliyoitoa wiki iliyopita kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM kuhusu pete ya kijani ambapo Diamond alisema “Mimi sina matatizo na watu ndio maana wakijaribu kushindana na mimi huwa wanashindwa. Hata ukiniangalia sina hata pete ya kijani kwenye vidole vyangu.” Kumbe alikuwa amerusha jiwe gizani kwa upande wa pili. Inawezekana […]

Read More..

Riyama,Muhogo, Bi. Hindu na King Majuto wa...

Post Image

BODI ya ukaguzi na filamu na michezo ya kuigiza ilifanya warsha kwa wasanii wa filamu Jiji la Mwanza kwa mafanikio makubwa sana kwa kupata wasanii washiriki wengi ambao wamepata elimu kutoka kwa wawezeshaji mahiri katika masuala ya filamu kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam na Dodoma. Akiongea na FC Katibu mtendaji wa Bodi ya […]

Read More..

Madee Ajibu Tuhuma Zinazomkabili Babu Tale

Post Image

Msanii Madee ambaye ni miongoni mwa wasanii viongozi wa Tip Top inayosimamiwa na Babu Tale, amejibu tuhuma za meneja wao huyo kuitelekeza Tip Top na kuegemea zaidi kwa Diamond Platnumz. Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Madee amesema hawezi kupinga maneno yaliyopo mtaani kwani ni kitu kinachoonekana kwao, lakini ukweli ni kwamba Babu Tale […]

Read More..

Wema Sepetu Ampongeza Ommy Dimpoz

Post Image

Baada ya hapo jana Ommy Dimpoz kufunguka kiundani kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM kwa kuelezea kilichopelekea akosane na rafiki yake wa zamani, Diamond Platnumz – Wema Sepetu amempongeza kwa kile alichokifanya. Malkia huyo wa filamu nchini, amempongeza hitmaker huyo wa Kajiandae kwa kumsifia kuwa ni mpole na mwenye busara ila alipenda kile alichokifanya […]

Read More..

Namchukia Mwanaume Aliyenipa Mimba – ...

Post Image

Msanii wa bongo movie Nisha Bebe amesema ujauzito wake unampa hisia tofauti na mawazo mpaka anafikia hatua ya kupost mambo tofauti tofauti kwenye mitandao yake kwa kuwa hampendi mwanaume aliyempa ujauzito huo. Akiongea ndani ya eNewz Nisha amesema amevumilia miezi mitano bila mtu kujua kitu chochote juu ya mimba yake lakini kwa sasa ameshindwa kuvumilia na […]

Read More..

Ommy Dimpoz Afunguka Kisa cha Kukosana na D...

Post Image

Katika interview ndefu aliyofanyiwa Alhamis hii kwenye kipindi cha XXL kupitia Clouds FM, Ommy Dimpoz amefunguka kwa kina visa na mkasa vilivyopelekea akosane na swahiba wake wa zamani, Diamond Platnumz.   Ommy amelazimika kusimulia hayo baada ya Jumatano kupitia kipindi hicho hicho, Diamond kuelezea uhusiano wao na jitihada ambazo Ommy amewahi kuzifanya ili kuomba wayamalize. […]

Read More..

Wasanii Hatupendani: Aisha Bui

Post Image

Msanii wa bongo movie nchini Aisha Bui amefunguka na kusema kuwa bongo movie haitaweza kuendelea kama wasanii wenyewe hawatapendana na kushirikiana wenyewe. Akiongea na eNewz, amesema kuwa kama wasanii hawatakuwa na upendo wowote basi hata kazi zao za sanaa bado hazitaweza kufanikiwa. “Wasanii tuwe na upendo na tuwe na ushirikiano, sisi wenyewe tuwe na upendo […]

Read More..

Ushuru Wamkwamisha Baby Madaha Kuingiza Nch...

Post Image

Ushuru mkubwa unaotozwa katika bandari ya Dar es Salaam, umemzuia Baby Madaha kuingiza vifaa vyake vya filamu alivyovinunua mwaka jana mjini Dubai. Muimbaji na muigizaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa serikali ya awamu ya tano imeongeza ushuru kiasi cha kuharibu mipango ya watu wengi. Amedai kuwa vifaa hivyo bado vipo Dubai alikohamishia makazi yake. “Nilileta baadhi […]

Read More..

Aunt Ezekiel: Achana na Mimi Wewe Wema Sepe...

Post Image

MASTAA wawili waliokuwa mashosti siku za nyuma, Aunty Ezekiel na Wema Sepetu ‘Madam’ wameingia kwenye msuguano tena hivi karibuni huku hali ikionesha kuwa mastaa hao kwa sasa ndiyo basi tena. Hali hiyo imetokea juzi baada ya Aunty kuweka picha ya kumtakia siku njema ya kuzaliwa rafiki na msanii mwenzake, Maimartha Jesse kwa kuandika, “Happy bday […]

Read More..

Bongo fleva Haitapoteza Muziki wa Dansi ...

Post Image

Msanii wa dansi nchini Tanzania Nyoshi amesema muziki wa bongo fleva haujaua soko la muziki wa dance nchini ila kwa sasa kuna baadhi ya wadau wa radio na televisheni wameamua kusapoti muziki wa bongo fleva zaidi. Akiongea ndani ya eNewz Nyoshi amesema bendi nyingi zinatoa nyimbo kwa wakati lakini ukipeleka nyimbo kwenye televisheni na radio hazipigwi […]

Read More..

Chemical Awajibu Wasioamini kuwa Yeye ni Bi...

Post Image

Rapper wa kike mwenye swaga za hatari Chemical amesema anashangazwa kwa kitendo cha baadhi ya watu wanaompinga kuwa hajawahi kufanya mapenzi. Hitmaker huyo wa ‘Am Sorry Mama’ amekiambia kipindi cha Kubamba cha Times FM, kuwa aliwahi kuwa na mpenzi lakini waliachana kwa kuwa alikuwa na haraka ya kufanya mapenzi. “Sijawahi kufanya mapenzi hata siku moja. […]

Read More..

Meneja Maneno Naye Atafuta Meneja wa Kumsim...

Post Image

Msimamizi wa siku nyingi wa wasanii wa Muziki Tanzania Meneja Maneno amesema anatafuta mtu wa kufanya naye kazi kama meneja wake kwa sasa. Amesema anatafuta meneja kwa kuwa mbali na kwamba bado yuko kwenye kitengo cha umeneja katika ofisi yake na bado anasimamia baadhi ya wasanii kama vile Nay wa Mitego, kwa sasa na yeye […]

Read More..