Wakonta Apata Kifaa cha Kumsaidia Kuandika
MWANDISHI wa ‘script’ anayetumia ulimi kuandikia, Wakonta Kapunda, amepata kifaa cha kumsaidia kuandika kwa kutumia sauti ambacho ndiyo ameanza kukifanyia mazoezi. Wakonta aliliambia MTANZANIA kwamba kupatikana kwa chombo hicho kiitwacho Nuance Dragon Naturally Speaking, kitamrahisishia kuandika kwa haraka script za filamu zake na mambo mbalimbali ambayo atataka kuyafanya. “Kupatikana kwa kifaa hicho ni faraja kwangu kwasababu […]
Read More..






