-->

Author Archives: editor

Lulu: Mastaa Mtaishia Kuchambana Insta

Post Image

ZA uso laivu! Staa mwenye mvuto Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa mastaa wengi Bongo wataishia kuchambana kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram badala ya kutafuta elimu ili siku moja wapate nyadhifa serikalini. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita, Lulu alisema kwamba, amegundua kuwa elimu ndiyo kila kitu hivyo amewasihi mastaa wenzake waache kuchambana na […]

Read More..

Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika kupi...

Post Image

Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika (AfCHPR) katika kikao chake kilichoanza jijini hapa, itapitia maombi ya rufani ya mwanamuziki maarufu nchini, Nguza Viking na John Viking dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hata hivyo, taarifa iliyotolewa na mahakama hiyo jana, ilieleza kuwa kesi hiyo namba 006/2015 iliyopangwa kusikilizwa Machi 11 haitasikilizwa katika mahakama […]

Read More..

Ray Baada ya Kukimbiza na Maji Sasa Anakimb...

Post Image

MUONGOZAJI,mtayarishaji na mwigizaji wa filamu  Vincent Kigosi ‘The Greatest’ Mzee wa Maji akiendelea kutikisa na unywaji wa maji sasa ameibuka na filamu yake kali na ya kusisimua ya Tajiri Mfupi ambayo ipo madukani na inatembea kama karanga kila mtu anataka kujua Mzee wa Maji kafanya balaa gani humo! anasema kuwa filamu ya Tajiri Mfupi ni […]

Read More..

Sina Mpango wa Kuoa Mtu – Ney wa Mitego

Post Image

Msanii Ney wa Mitego amesema kwa sasa hana mpango wa kuoa na wala hafikirii kuoa, licha ya kuwa na watoto ambao wanahitaji malezi ya mama. Ney ameyasema hayo kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, na kusema kwa sasa hayuko kwenye mahusiano yoyote, na suala la kuoa kwake ni suala zito, hivyo hawezi kukurupuka na […]

Read More..

Baada ya Lupela, Alikiba Kuja na Hii

Post Image

Msanii Ali Kiba ambaye kwa sasa anafanya poa na ngoma yake mpya ya Lupela amefunguka na kusema kazi nyingi zinakuja ila kwa sasa atatoa kazi na wasanii kutoka nchini Kenya wanaounda kundi la Sauti Sol. Akipiga stori kupita kipindi cha Friday Night Live kinachorushwa na EATV Ali Kiba amesema baada ya kazi yake hii inayotamba […]

Read More..

Shamsa: Siwezi Kumhukumu Nay

Post Image

STAA wa Bongo Muvi, Shamsa Ford kwa mara ya kwanza ameibuka na kuiongelea Ngoma ya Shika Adabu Yako iliyoimbwa na Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kuwa kamwe hawezi kumhukumu Nay kwa maneno aliyoimba. Akigonga mbili-tatu na Showbiz, Shamsa aliyewahi kubamba na Filamu ya Chausiku alisema kuwa aliusikia wimbo huo uliowachana mastaa wengi wa Bongo Muvi […]

Read More..

Wanaosema Nimefulia ni Mamluki na Kenge -Du...

Post Image

Msanii Dudu baya amewalalamikia Watanzania na kusema kuwa hawafikirii kitu kingine cha msingi pale msanii anapokuwa kimya, na badala yake wanakimbilia kusema msanii huyo amefulia. Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Dudu baya amesema mashabiki weni ndio wa kwanza kulaumu kuwa wasanii wa Tanzania hawana elimu, hivyo wakikaa kimya ili kufanya […]

Read More..

Picha: Wasanii wa Fialamu ya Tajiri Mfupi W...

Post Image

Wasanii wa filamu nchini Mr Kupa na Chodo, walitembelea katika kituo cha watoto Yatima kilichopo Tabata, kwaajili ya kutoa msaada katika kituo cha HURUMA, kama sehemu ya shukrani kwa kuingia kwa filamu mpya ya Tajiri MFUPI sokoni siku ya leo.

Read More..

Exclusive Video: Harmonize Ft Diamond Platn...

Post Image

Video mpya ya msanii Harmonize kutoka Wasafi Classic amemshirikisha Boss wake Diamond Platnumz wimbo unaitwa “Bado”  Video imefanyika nchini Afrika Kusini.

Read More..

Nataka nifikishe watoto wanne – Flora Mvu...

Post Image

Msanii wa filamu Flora Mvungi ambaye pia ni mke wa mwanamuziki H.Baba, amejibu shutuma zinazoongelewa na watu katika mitandao ya kijamii kuwa anazaa haraka haraka mno ambayo ni hatari kwa afya yake. Akizungumza katika kipindi cha Hatua Tatu cha Times Fm, Flora amesema kila mtu ana maamuzi yake kuhusu maswala ya uzazi. “Nataka nifikishe watoto […]

Read More..

Kuvunja Watu Mbavu…Mzee Majuto ‘Katusua...

Post Image

Maarufu Bongo, Amri Athumani ‘King Majuto au Mzee Majuto’. Kila mtu na mtoko wake, mchekeshaji maarufu Bongo, Amri Athumani ‘King Majuto au Mzee Majuto’ anatengeneza mkwanja mrefu kwa kuwavunja mbavu watu. Leo ndiye ana husika katika makala yetu ya utajiri na utapata kujua ni vitu gani anavyomiliki kupitia sanaa yake hiyo. Toyota Noah Mzee Majuto: […]

Read More..

Leonard Di Caprio Aandika Historia

Post Image

JANA usiku katika jiji la Los Angeles kulikuwa na sherehe kubwa ya utoaji wa Tuzo za 88 za Oscar. Katika tuzo hizo, mshiiki mmojawapo, Leonard Di Caprio kwa mara ya kwanza aliandika historia ya kuchukua tuzo hiyo ambapo aliwahi kujaribu zaidi ya mara tano. Tuzo hiyo ya Caprio aliyewahi kubamba katika Filamu ya Titanic na […]

Read More..

1

Hatimaye Rayuu Aolewa!

Post Image

Alice Bagenzi ‘Rayuu’ na mumewe Ahmedi Said. Stori: Mayasa Mariwata, Wikienda Dar es Salaam: Cherekochereko! Habari ikufikie kuwa mwigizaji wa sinema za Kibongo aliyejipatia umaarufu baada ya picha zake za utupu kuzagaa mitandaoni, Alice Bagenzi ‘Rayuu’, hatimaye ameolewa na mfanyabishara mwenye asili ya Kiarabu aitwaye Ahmedi Said. Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni mtu […]

Read More..

Full Interview: Gabo Zigamba Akizungumzia F...

Post Image

Staa mkali wa Bongo Movies, Gabo Zigamba amefunguka mengi kusu filamu yake ya Kona Tatu andlifanya mahojiao na mtangazaji Bond wakipindi cha action &Cut. Mtazame hapo chini

Read More..

Diamond Kuachia Wimbo wa Kurap Uitwao ‘Si...

Post Image

Staa wa muziki Diamond Platnumz amejipanga kuachia wimbo mpya wa kurap uitwao Simba. Akizungumza katika kipindi cha XXL cha Clouds FM Ijumaa hii, Meneja wa msanii huyo, Babu Tale alisema wimbo huo utakuwa sio wa biashara bali ni zawadi kwa mashabiki. “Kama Hip Hop ni biashara Diamond amefanya wimbo wa kurap lakini hatujauchulia kama ile […]

Read More..

Brandy: N’tamkumbuka Kanumba Hadi Nakufa!

Post Image

Kwenye kolamu hii leo tunaye msanii Brandy Godwin anayebamba kwenye Tamthiliya ya Kivuli katika Kituo cha Star Swahili ambaye amebananishwa ipasavyo na Mwandishi Wetu, Mayasa Mariwata na kufunguka ipasavyo kutokana na mambo mbalimbali kuhusu kazi zake na jamii inayomzunguka. Ijumaa: Ni kitu gani kilichokusukuma kuingia kwenye sanaa ya uigizaji? Brandy: Kiukweli napenda kuigiza sana ni […]

Read More..

Rais Magufuli Kasafiri kwenda Arusha

Post Image

President wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli ameshafika Arusha tayari kwa ajili ya kuongoza mkutano wa 17 wa kawaida wa wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki. Kwenye hii picha anaonekana akisalimiana na mbunge wa Arumeru Mshariki Joshua Nassari ambae alikua mmoja wa viongozi  na wananchi waliojitokeza kumpokea uwanja wa ndege wa […]

Read More..

Sikumbuki Hata Kukutana na Gigy Money ̵...

Post Image

Msanii Rich Mavoko amekanusha taarifa za kuwahi kuwa na mahusiano na video queen Gigy Money, ambaye alisema alishawahi kuwa naye akiwa kidato cha pili. Akiongea na East Africa Radio Mavoko amesema taarifa hizo si za kweli, na hakumbuki hata kuwahi kukutana naye mrembo huyo, achilia mbali kuwa na mahusiano naye. “Mi sijawahi kutoka naye, hata […]

Read More..