Rose Ndauka: Msiwasamehe Wanaowanyanyasa Ki...
STAA wa filamu za bongo, Rose Ndauka, amewatahadharisha wanawake wenzake kwamba wasiwasamehe wanaume wanaowanyanyasa kimapenzi ndani ya nyumba zao, kwa kuwa kufanya hivyo ni kujinyima haki kisheria. Rose alisema mwanamke anayejielewa hatakubali kunyanyasika awapo kwenye ndoa yake na anayeogopa ni yule asiyejitambua, bali anaishi ilimradi kaolewa. “Huwa nachukizwa sana na mwanamke anayekubali kunyanyaswa katika ndoa […]
Read More..





