-->

Author Archives: editor

Muigizaji Mtanzania Ateuliwa Kuwa Rais wa K...

Post Image

Muigizaji na mtayarishaji wa filamu kutoka nchini Tanzania, anayefahamika zaidi kupitia filamu ya Going Bongo, Ernest Napoleon (pichani hapo chini), ameteuliwa kusimamia kampuni ya Kimataifa ya utengenezaji na usambazaji filamu, D Street Media Group, kama Rais. Kampuni hiyo yenye Makao Makuu yake katika nchi anayoiongoza Rais Donald Trump, Marekani kwenye jiji la New York na […]

Read More..

AY Afunguka ya Moyoni Kuhusu Joh Makini

Post Image

Msanii mkongwe katika ‘game’ la mziki wa kizaji kipya , Amwene Yesaya ‘AY’ amefunguka na kusema kuwa toka mwaka 2006 mpaka sasa hakuna rapa ambaye ameibuka na kuwa mkubwa zaidi ya Joh Makini. AY amesema hayo kupitia kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio na kudai kuanzia mwaka 2006 baada ya Joh Makini kuingia […]

Read More..

Video Mpya ya Joh Makini – WAYA

Post Image

Mwanamuziki Joh Makini kutoka River Camp Soldiers na Weusi Kampuni ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Waya. Burudika.  

Read More..

Mrithi wa Kanumba Afunguka Haya Juu ya Kanu...

Post Image

Kupitia Ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram, muigizaji  Fredy Swai aliyetajwa na mama mzazi wa marehemu Kanumba kuwa ndiye mrithi atakae vaa viatu vya mtoto wake , Kanumba katika tasnia ya uigizaji , amefunga haya mara baada ya kuweka picha ya Kanumba;   Haimaanishi kwamba uliimaliza sanaa yote iliyoandikwa kwenye vitabu.. Ila kwa hapa Tanzania […]

Read More..

Dino Arudi Kuikoa ‘Bongo Movie’

Post Image

Msanii wa Bongo Movie Dino amesema kwa sasa yupo tayari kurudi kwenye tasnia hiyo baada ya kukaa miaka minne bila kucheza movie yeyote hali iliyofanya ajifunze mengi nje ya movie. Akipiga story kupitia eNewz, Dino amesema hawezi kupotea kwenye movie kwa kuwa alikuwa anafanya vizuri na ana kipaji ambacho yeye mwenyewe anakitambua hali inayopelekea mashabiki zake kuendelea […]

Read More..

Snura: Natamani Kufanya Shoo, Wimbo au Fila...

Post Image

MWANADADA anayetamba na ngoma ya ‘Shindu’ Mwaga Maji Tucheze Kama Kambare, Snura Mushi (pichani) ameeleza kiu yake ya kutaka kufanya kazi na mwanadada mwenzake Zuwena Mohammed ‘Shilole’ endapo atakuwa tayari. Snura amebainisha hayo usiku wa Jumanne, Januari 24, 2017 wakati akijibu swali kwenye interview ya kipindi cha Redio EFM. Snura amesema kuwa  kwa sasa hana […]

Read More..

Asha Boko: Nipo Tayari Kuolewa

Post Image

Msanii wa maigizo ya vichekesho Asha Boko amesema ameishi katika maisha ya upweke kwa miaka 8 baada ya mume wake kufariki. Akiongea kupitia eNewz Asha amesema aliamua kukaa peke yake baada ya mume wake kufariki na aliamua kulea watoto wake peke yake bila kuwa na baba wa kufikia kwa kuwa aliogopa usumbufu wa wanaume kwani huenda wangewanyanyasa […]

Read More..

Sitatumia Tena Sumu Kuharibu Muonekano Wang...

Post Image

Msanii mkongwe wa muziki Ray C amedai ameupenda muonekano wake mpya huku akijipa mtihani wa kujizua kurudi katika mambo ambayo yalimpelekea kuupoteza muonekano wake mzuri wa mwili. Muimbaji huyo hivi karibuni amekuwa akipost picha zake mpya ambazo zinamuonyesha akiwa na muonekano mzuri hali ambayo imewafanya mashabiki wake katika mitandao ya kijamii kuona kweli mrembo huyo […]

Read More..

Lulu Aanika Kilichofanya Amwage Nay wa Mite...

Post Image

Muuza sura kwenye video za Kibongo na msanii mpya wa bongo Fleva, Lulu Abbas maarufu ‘Lulu Diva’ amefunguka na kuweka wazi kuwa aliamua kumuacha rapa Nay wa Mitego kutokana na tabia zake za hapa na pale. Lulu Diva aliyasema hayo kwenye kipindi cha Planet Bongo ya EATV na kudai kuwa alimua kufikia maamuzi hayo kutokana na […]

Read More..

Haji Manara wa Simba Kumposa Wema Sepetu? A...

Post Image

Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Simba Haji Manara ameendelea na kueleza hisia zake za kutofurahishwa na shirikisho la soka Tanzania TFF kwa kile anachokiita kutokuwa makini na upangaji wa ratiba za Ligi bila kubadilibadili ambapo ameandika yafuatayo. RATIBA TU NI MUHALI,,HAYO MENGINE KWETU SI BAHARI ??* Haji S Manara. Kuna kurogwa na […]

Read More..

Huu Ndiyo Ujio Mpya wa Wastara, Hapendeki

Post Image

The return of bongo movie queen Wastara Juma kwenye filamu ya Hapendeki inayotoka 13.02.2017 sio ya kukosa hii unaambiwa moto ukishazimika jivu halina thamani tena…….

Read More..

Dj Mark: Tamthilia za Nje Zinaipiku Mno Bon...

Post Image

‘WANAKUJAAA hao!’ Msemo huu si mgeni masikioni mwa wafuatiliaji wa tamthilia za kikorea, kifilipino, kizungu, kichina na filamu mbalimbali ambazo zimewekwa vionjo vya lugha ya kiswahili. Maneno hayo hutumiwa zaidi na Ahmada Abdulrahman maarufu Dj Mark, G Mashine, Jogoo kutoka lebo ya Acheche Production. Licha ya biashara hiyo kupingwa na Serikali kwa kukiuka sheria za […]

Read More..

Haya Ndio Majibu ya Mrithi wa Kanumba Kuhus...

Post Image

KUTOKANA na hivi karibuni mama wa aliyekuwa staa mkubwa wa filamu, Steven Kanumba, Flora Mtegoa kumwanika kijana ambaye ni mwigizaji wa tamthilia, Fredy Swai kuwa ndiye mrithi wa mwanaye, kijana huyo alibadilika muonekano usoni baada ya Global TV Online kumhoji kuhusu ukaribu wake na Elizabeth Michael ‘Lulu’ aliyekuwa mpenzi wa Kanumba. Fredy aliulizwa kama ana […]

Read More..

Bodi ya Filamu na Wadau wa Filamu Kuandaa S...

Post Image

Katibu wa Bodi ya filamu Bi. Joyce Fissoo amezidi kuonyesha dhamira kuu kwa wadau wa filamu baada ya kupigania uharakishaji wa uandaaji wa Sera ya Filamu ili kuwajengea wadau hao thamani ya kazi yao huku ikiwapa kipaumbele kikubwa katika kuwashirikisha wawakilishi wa wadau wa Filamu na kutoa maoni yao kupelekea kujenga tasnia yenye nguvu. Kwa […]

Read More..

Stara Atoboa Kinachowapa Umasikini Wasanii

Post Image

Mwanamuziki mkongwe wa kike nchini Stara Thomas amefunguka na kusema kuwa kuna sababu nyingi sana kwa wasanii wa kike hata wakiume kushuka kimuziki na moja ya sababu kubwa ni kuendekeza sana mapenzi. Stara Thomas alisema haya kupitia kipindi cha Planet Bongo na kudai wasanii wengi wanashindwa kurudi kwenye biashara ya muziki kutokana na kukata kwa […]

Read More..

Shilole Awafungukia Wanaolalamika Hali Ngum...

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo fleva Zuhena Mohammed alimaarufu kama Shilole amefunguka na kuwapa neno baadhi ya vijana ambao wamekuwa wakilalamika juu ya hali ngumu ya maisha huku wengi wao wakiitupia lawama Serikali ya awamu ya tano. Shilole kupitia mtandao wake wa Instgram amesema amewachana baadhi ya vijana hao na kusema wamekuwa wakilalamika kuwa kuna […]

Read More..

Mkwanja Wampeleka Kidoa Bongo Movie

Post Image

MUUZA nyago mwenye figa matata Bongo, Asha Salum ‘Kidoa’ amesema kuwa,  miongoni mwa mabadiliko aliyoyafanya katika mwaka huu wa 2017 ni kujikita kwenye ulimwengu wa filamu kuliko mambo ya kuwa video queen. Akipiga stori na Global Publishers, Kidoa alisema kutokana na mapenzi mazito aliyonayo upande wa maigizo na kugundua kuwa filamu zinalipa kuliko u-video queen, […]

Read More..

Mtoto wa Ray, Jaden Afuata Nyayo za Tiffah ...

Post Image

Tiffah ni mtoto maarufu zaidi kwenye mtandao wa Instagram Afrika akiwa na followers zaidi ya milioni moja. Mdogo wake, Nillan naye anafuata nyayo zake akiwa na followers zaidi ya 99k sasa. Akaunti zao husimamiwa na mama yao, Zari na hutumia Kimombo. Na sasa mtoto mwingine wa mastaa wa Bongo, Jaden naye amejiunga kwenye kundi la […]

Read More..