-->

Author Archives: editor

Kesi ya Wema Sepetu Yapigwa Kalenda Tena

Post Image

Muigizaji wa filamu Bongo, Wema Sepetu amefika Mahakama ya Kisutu leo kwaajili ya kesi yake inayomkabili ya kutumia dawa za kulevya.   Ambapo Wakili wa serikali amesema kuwa kesi hiyo imeitishwa kutokana na kuendelea kwa ushahidi, Jaji amesema kutokana na muda kuwa mchache kesi hiyo inahairishwa mpaka Novemba 24 mwaka huu. Bongo5

Read More..

Niliachana na Uwoya kwa ajili ya Ndikumana-...

Post Image

Mwanamuziki wa bongo fleva nchini Msami Baby amefunguka na kusema wazi kwamba aliwahi kujuta kuwa na mahusiano na Irene Uwoya baada ya kujua kwamba anamuumiza aliyekuwa Mume wa muigizaji huyo, Marehemu Hamadi Ndikumana aliyefariki usiku wa kuaMkia jana huko Rwanda. Msami amefunguka na kusema kwamba hakuwahi kumchukia Mwanaume huyo (Ndikumana)  na kwamba kutokana na heshima aliyokuwa anampatia […]

Read More..

Mama yake Irene Uwoya amlilia Ndikumana

Mama mzazi wa msanii Irene Uwoya ambaye ni mkwe wa marehemu Hamad Ndikumana aliyefariki usiku wa jana kuamkia leo, ameshikwa na uchungu kwa kumwaga machozi mengi na kusema kabla marehemu hajafariki alikuwa anawasiliana naye na alimtaka kuwa na subira. Akiongea huku akilia kwa kwikwi na machozi yakimtoka, mama Uwoya amesema Ndikumana alikuwa ni zaidi ya […]

Read More..

GOD FATHER EA PRODUCERS SAT IN NAIROBI, KE

Post Image

The new “BigBrother version” reality show for East Africa known as God Father East Africa which shall be watched on your screens on either NTV Kenya or Citizen TV Kenya from the first quarters of 2018, producers held their second meeting yesterday in Nairobi, Kenya to pinpoint about the application process, applicant’s instructions and the […]

Read More..

Lulu Awaambia Ndugu Zake Wasikate Rufaa Kil...

Post Image

Imeelezwa kuwa baada ya msanii Elizabeth Michael kusomewa hukumu ya kifungo cha miaka miwili jela, aliwaambia ndugu zake wasikate rufaa kwa kuwa kilichotokea ni mipango ya Mungu na yupo tayari kukabiliana nayo. Msanii , Muhsin Awadh maarufu Dk Cheni ambaye amekuwa karibu na mwigizaji huyo katika kipindi chote amesimulia hali ilivyokuwa muda mfupi baada ya […]

Read More..

TANZIA : Aliyekuwa Mume wa Irene Uwoya afar...

Post Image

Aliyekuwa Mume wa zamani wa Muigizaji Irene Uwoya na Mchezaji wa Burundi, Hamadi Ndikumana Katauti amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Taarifa za kifo cha Ndikumana zimethibitishwa na Muigizaji Irene Uwoya ambaye alikuwa mke wake wa ndoa na kufanikiwa kuzaa mtoto mmoja wa kiume. Baaada ya muda EATV ilifanikiwa kumpata Haruna Niyonzima ambaye ni moja […]

Read More..

Dr. Louis Shika asisitiza nia ya kuzinunua ...

‘Bilionea’ wa nyumba za Lugumi, Dk Louis Shika ameachiwa na kwenda kupanda daladala kuelekea nyumbani huku akisema mpango wake wa kununua nyumba za Lugumi uko palepale. Baada ya kuachiwa na polisi leo Jumanne jioni amesema kwamba bado mpango wake wa kununua nyumba hizo uko palepale. Amesema anachosubiri sasa ni fedha kuingizwa kwenye akaunti yake na […]

Read More..

Dk Cheni Awafungukia Wanaosema Hukumu ya Lu...

Post Image

MSANII mkongwe katika tasnia ya maigizo Bongo na mshereheshaji (MC), Mahsein Awadhi ‘Dk. Cheni’ ambaye ni mlezi wa mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametoa maoni yake kwenye mtandao wa kijamii baada ya kuibuka maneno mengi kwenye mitandao hiyo ambapo watu wengine wanasema Lulu amepewa adhabu ndogo na wengine wakipendekeza angefungwa kwa miaka mitano na kuendelea. Dk […]

Read More..

Afande Sele Amfungukia Mama Kanumba

Post Image

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Afande Sele, amesema anashangzwa na kitendo cha Mama Kanumba kushukuru kufungwa kwa Lulu wakati mtoto wake ndiye alikuwa na makosa kwa kuwa na mahusiano na binti mdogo. Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Afande Sele amesema mama Kanumba ni mama ambaye hana vigezo vya kuwa mzazi kwani […]

Read More..

Idris Sultan amuandikia barua ya wazi Steve...

Post Image

Muigizaji na mchekeshaji  Bongo, Idris Sultan ameandika barua ya wazi kwenda kwa aliyekuwa muigizaji wa filamu nchini Steven Kanumba. Katika barua hiyo, Idris ameonyesha kuwa amewahi kuwa shabiki mkubwa wa marehemu na alihudhuria mazishi yake mwaka 2009. Kabla ya kuandika ujumbe huo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram, muigizaji huyo aliyepata dili la kuigiza filamu […]

Read More..

Mawakili wa Lulu wajipanga kukata rufaa

Post Image

Dar es Salaam. Muda mfupi baada ya Mahakama Kuu kumuhukumu msanii wa fani ya uigizaji filamu nchini, Elizabeth Michael kifungo cha miaka miwili jela, msanii huyo alianza mapambano upya kuhakikisha anarejea tena uraiani kwa njia ya dhamana na rufaa. Jaji Sam Rumanyika alimhukumu adhabu hiyo msanii huyo baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua […]

Read More..

Baada ya Hukumu Lulu, Mama Kanumba Afunguka

Post Image

Mama wa Muigizaji Marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amefunguka na kusema kwamba leo atakwenda makaburi ya kinondonni alipoziikwa mwanaye ili kwenda kumzika upya.   Mama Kanumba ametoa kauli hiyo muda mfupi baada ya Mahakama Kuu kumhukumu kifungo cha miaka miwili Muigizaji Elizabeth Michael ambaye alikuwa mtuhumiwa katika kesi ya mauaji bila kukusudia yaliyopelekea kifo cha […]

Read More..

Tunda Afungukia Mimba ya Mbongo Fleva

Post Image

BAADA ya habari kuzagaa kwamba mrembo anayeuza nyago kwenye video mbalimbali Bongo, Tunda Sebastian kuwa na ujauzito wa staa wa Bongo Fleva, ameibuka na kufungukia ishu hiyo. Akizungumza na Star Mix, Tunda alisema hana ujauzito wa msanii huyo kama watu wasemavyo na kwamba huwa anamuweka katika mitandao ya kijamii husan Instagram kwa sababu ya kumsapoti […]

Read More..

Msondo Yamdai Mamilioni Diamond

Post Image

WIMBO wa Zilipendwa ulioimbwa na waimbaji wa WCB na kujipatia umaarufu mkubwa, umeiponza lebo hiyo baada ya bendi kongwe ya muziki wa dansi nchini, Msondo Ngoma kudai fidia Sh300 milioni. Msondo inalalamikia kitendo cha WCB kutumia sehemu ya kazi yao katika wimbo huo uliimbwa na wasanii Harmonize, Diamond, Maromboso, Rich Mavoko, Lavalava, Queen Darleen na […]

Read More..

Wema Sepetu apata pigo

Post Image

Serikali kupitia mamlaka zake imezifungia rangi za midomo zinazozalishwa na Mwanadada aliyewahi kuwa Miss Tanzania na Muigizaji wa Filamu, Wema Sepetu. Rangi hizo zinajulikana kwa jina la “Kiss”.   Kwa mujibu wa taarifa ya Mamlaka ya Chakula na Dawa(TFDA) pamoja na Shirika la Viwango Nchini(TBS) wamebaini kuwa rangi hizo hazina ubora kwa matumizi ya binadamu. […]

Read More..

Mume wa Uwoya azungumzia machungu ya ukaper...

Post Image

Mwamuziki wa muziki wa Bongo Fleva, Dogo Janja ameibuka na kusema kuwa, kabla ya kutokuwa maarufu alikuwa ni muhuni, mtukutu na mwenye kiburi. Dogo Janja amesema, kwa dunia hii ya sasa angekuwa jela au hata marehemu kwani wenzake wengine wamepigwa mawe mpaka kufa kwa sababu ya utukutu, unyang’anyi na matukio kama hayo. Aidha ameongeza kuwa, […]

Read More..

Kufeli kwa Baraka Mkono wa Mtu Wahusishwa

Post Image

Msanii Baraka The Prince amemlaumu meneja wake wa zamani chini ya RockStar 4000 Seven Mosha pamoja na mpiga picha maarufu Mx Carter, kuwa ndio wanaohusika na kufelisha kazi yake mpya YouTube. Baraka ameyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye eNewz ya East Africa Television, na kusema kwamba watu hao wawili ndio walikuwa na ‘access’ ya acount yake […]

Read More..

Hussein Machozi Nusura Azikwe Hai

Post Image

Msanii wa Bongo Fleva ambaye aliwahi kucheza soka kabla ya kuanza kung’ara kupitia nyimbo zake za Full Shangwe, Utaipenda, Kafia Gheto na nyingine, Hussein Machozi naye yaliwahi kumkuta makubwa. Mbali na muziki, lakini ni mmoja kati ya wasanii ambao wana vipaji vya kucheza soka. Machozi anafunguka kuhusiana na tukio ambalo hatalisahau katika maisha yake: “Kuna […]

Read More..