-->

Author Archives: editor

Mpasuko,Aslay Kubomoa Team Kiba, Team Diamo...

Post Image

HITIMISHO la msimu wa Tigo Fiesta unatarajia kuhitimishwa leo kwenye Viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es Salaam, huku mashabiki mbalimbali wakisubiri kwa hamu kuhudhuria tukio hilo la kihistoria kwenye kiwanda cha burudani Bongo. Pamoja na kutokuwapo kwa msanii wa kimataifa kama ilivyozoeleka, lakini mashabiki wa burudani wameonekana kuridhishwa na wasanii wa hapa nyumbani ambao […]

Read More..

Mr. Nice Amchana Dudu Baya, Adai Hana Mhaha...

Post Image

Msanii Mr Nice ambaye kwa sasa ameachia kazi yake mpya ya Yaya, amejibu tuhuma za msanii mwenzake Dubu Baya aliposema kwamba maisha yamemshinda na kukimbilia Kenya, na kumjibu kuwa Dudu Baya ni msanii asiyejielewa, ndio maana hana mahali pa kuishi. Akizungumza na mwandishi wa East Africa Teleivison, Mr.Nice amesema ni wakati sasa Dudu Baya akomae […]

Read More..

Afande Sele Afungukia Tabia Hizi za Bongo M...

Post Image

Msanii mkongwe wa muzuki wa kizazi kipya, Selemani Msindi marufu kwa jina la Afande Sele, ameweka wazi juu ya chuki aliyonayo kwa tasnia ya filamu bongo ‘Bongo Movie’. Akiongea na Planet Bongo ya East Africa Radio, Afande Sele amesema hawachukii wasanii wa bongo movie, bali huchukia tabia zao chafu ambazo zinaharibu Tasnia. Afande Sele ameendelea […]

Read More..

Johari: Ndiku Alitupa Raha

Post Image

BLANDINA Chagula ‘Johari’ amemfungukia aliyekuwa mume wa muigizaji Irene Uwoya, marehemu Hamad Ndikumana kuwa enzi za uhai wake, aliwapa bata za kutosha.   Akizungumza na mwanahabari wetu hivi karibuni, mkongwe huyo wa sinema za Kibongo, alisema Ndiku alipokuwa anakuja nchini akitokea nchini Cyprus alikokuwa akiishi, alikuwa akiwaletea zawadi na kujirusha naye sana. “Kama unavyojua mimi […]

Read More..

Huyu Ndiye Gigy Money Mpya

Post Image

ALITOKA kwa staili ya peke yake. Akapewa majina yote. Pengine majina hayo alistahili kwa namna alivyojiweka na kujitangaza mbele ya jamii. Isingekuwa rahisi kumtabiria makubwa, ungeweza kuishia kusema ni msichana wa mjini, mwenye mambo mengi yasiyo na staha. Asiye na uoga mbele ya jamii ya wastaarabu. Wakati anaanza kujulikana kwenye ulimwengu wa burudani, alifahamika kama […]

Read More..

Filamu ya Hamisa Yatikisa Jiji

Post Image

FILAMU ya mwanamitindo Hamisa Mobeto iliyozinduliwa wiki iliyopita, katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Suncrest Cineplex uliopo ndani ya Quality Center, uliopo Barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam, hivi sasa inatikisa jiji kwa kile kinachotajwa kuwa ina kiwango kikubwa cha ubora. Kwa mujibu wa wadau waliozungumza na Risasi Mchanganyiko juzikati, filamu hiyo iitwayo Zero […]

Read More..

Sina mpango wa kurudi CCM – Wema Sepetu

Post Image

Malkia wa filamu nchini, Wema Sepetu amemwambia muigizaji mwenzake wa filamu ambaye ni kada wa CCM, Steve Nyerere kwamba hana mpango wa kurudi tena CCM.   Wema amesema hayo baada ya kuona ujumbe wa Steve Nyerere kumpongeza Alberto Msando kwa uamuzi wake wa kukihama chama cha ACT Wazalendo ya kwenda Chama Cha Mapinduzi, CCM. “HAHAHAHAHAHAHAHAHAHA […]

Read More..

Mdogo wa Ndikumana Awachana Bongo Movie

Post Image

Mdogo wa marehemu Hamadi Ndikumana ambaye alikuwa mume wa muigizaji wa filamu Tanzania Irene Uwoya, anayeitwa Laddy Ndikumana, amesema waigizaji wa filamu wa bongo (bongo movie ) ni wajinga, kutokana na mambo yao wanayoyafanya. Laddy ameyasema kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, na kusema kwamba waigizaji hao ni wajinga na wanafiki kwa kuwa wameshindwa […]

Read More..

Irene Uwoya Avishwa Viatu vya Zari

STAA wa filamu za Kibongo Irene Uwoya, ameendelea kugonga vichwa vya habari za burudani baada ya mume wake, Hamad Ndikumana aliyefunga naye ndoa ya Kikristo kufariki dunia mapema wiki hii akiwa nyumbani kwake, Kigali nchini Rwanda. Kwa wiki tatu mfululizo Uwoya amekuwa hakuauki kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kwa tukio aliloliita ni […]

Read More..

Jengo la Studio za Clouds Media Group Linau...

Post Image

Dar es Salaam. Moto umezuka katika ofisi za Clouds Media Group na kusababisha Television na Radio Clouds kutokuwa hewani kwa muda. Moto huo ulianza saa 4 asubuhi katika chumba kimoja kwenye ghorofa ya kwanza uliosambaa kwenye jengo la kampuni hiyo. Hata hivyo hadi sasa chanzo cha moto huo hakijajulikana. Magari ya Zimamoto yapatayo manne yalifika […]

Read More..

Rose Ndauka: Awarushia Dongo Watoa Mimba

Post Image

MSANII wa Filamu Bongo, Rose Ndauka amewarushia dongo wasichana wa kizazi kipya ambao wengi wao wakipata mimba wanakimbilia kutoa badala ya kujifungua. Ndauka ameiambia Full Shangwe, kuwa wanawake wengi wakipata ujauzito hutoa bila kujua kuwa mtoto ni faraja ya mwanamke na uhusiano kwa ujumla. “Nawashangaa wasichana wengi ambao wakipata mimba wanakimbilia kutoa. I wish kama […]

Read More..

Diamond, Msondo Patamu Hapo

Post Image

MWIMBAJI wa Msondo Ngoma, Hassan Moshi William, amefafanua kilichowakera zaidi kwa Diamond Platnumz na kundi lake la WCB ni dharau ya kuwaita “zilipendwa” huku wakitumia kionjo chao bila ridhaa. Katika moja ya posti alizozitupia kwenye ukurasa wake wa Facebook, Hassan ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mwimbaji na mtunzi tegemeo ndani ya Msondo Ngoma, marehemu Tx […]

Read More..

Wamehamia kwa Kajala na Shetta

Post Image

UBUYU wa leo unawahusu mastaa wawili Kajala Masanja na Shetta kudaiwa kuwa ni wapenzi huku ikielezwa wanatumia mbinu ya danganya toto kwa kitendo cha Shetta kuonyesha ukaribu kwa mtoto wa Kajala anayeitwa Paula. Ziliwahi kuzagaa habari kuwa Shetta na Paula ni wapenzi lakini Shetta alipinga taarifa hizo na kusema kuwa anampenda mke wake na hawezi […]

Read More..

Mapya yaibuka kifo cha Ndikumana

Post Image

Siku chache zikiwa zimepitatangu mchezaji wa soka wa Rwanda Hamad Ndikumana ambaye pia alikuwa mume wa muigizaji wa filamu Tazania Irene Uwoya, mapya yameibuka kuhusu kifo chake cha ghafla kilichoacha majonzi kwa wapenzi wa soka. Mdogo wa marehemu Ndikumana Laddy Ndikumana ambaye pia ni mcheza soka, amesema wanaamini kifo cha kaka yake (Ndikumana) kimesababishwa na […]

Read More..

Familia ya Ndiku Yazuia Uwoya Asipigwe Rwan...

Post Image

FAMILIA ya aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Timu ya Rayon Sports ya Rwanda, Hamad Ndikumana ‘Katauti’ (39), imezuia staa wa filamu Bongo, Irene Uwoya ambaye alikuwa mke wa jamaa huyo asifanyiwe fujo baada ya kutinga nchini Rwanda jioni ya Ijumaa iliyopita. Hatua hiyo ilikuja baada ya Ndikumana kupoteza maisha huku Uwoya akishushiwa tuhuma za hapa na […]

Read More..

Riyama Afungukia Kukacha Shule!

Post Image

RIYAMA Ally ameweka wazi kuwa hakumaliza elimu ya sekondari kutokana na ugumu wa masomo kwani hakuwa akiambulia chochote darasani licha ya walimu kujitahidi kufundisha kwa kiwango cha juu. Mwanaspoti lilipiga stori na Riyama na alisema kutokana na kuona mambo magumu shule alilazimika kukatisha masomo yake na hivyo kuishia kidato cha pili. “Kwa kweli ugumu wa […]

Read More..

Ray Kigosi Atoboa Haya

Post Image

Msanii wa filamu bongo Vicent Kigosi ‘Ray’, leo amekuja na mpya baada ya kusema yale aliyokuwa akiyafanya utotoni alipokuwa shule. Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Ray amesema alipokuwa mtoto alikuwa mtukutu na kukaa nyuma kabisa ya darasa kwa wale wanafunzi wanaojulikana maarufu kwa kupiga kelele, (backbencher) na kuwa wa kwanza kutoka nje kabla ya […]

Read More..

Masogange Ashindwa Kujitetea, Hakimu Ampa O...

Post Image

Kesi ya matumizi ya madawa ya kulevya inayomkabili Video Queen, Agness Gerald ‘Masogange’ kwenye mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar ambapo jana Alhamisi ilibidi aanze kujitetea baada ya kukutwa na kesi ya kujibu lakini alishindwa kufanya hivyo kwa kile ilichodaiwa na mawakili wake kuwa walishindwa kumuandaa kutokana na kupatwa na msiba. Masogange akiwa mbele […]

Read More..