Nataka Nirudi Shule – Jackline Wolper
Muigiza wa Filamu Bongo, Jackline Wolper amedai anataka kurudi shule mara baada ya kuona picha za Jux alizopiga katika mahafali yake ya kumaliza elimu ya juu nchini China. Wolper kupitia instagram ameandika, “nimekumbuka mbali kweli nilivyoiona hii picha, nakumbuka siku hizo mwenyewe ndo nakupeleka airport unaenda kuanza kusoma mpaka na mimi nilitamani kuwa mwanafunzi ili […]
Read More..





