-->

Category Archives: Bongomovies

artists from Tanzania , East AFRICA

Mwanamke lazima uwe na nyama-Shilole

Post Image

staa mrembo wa bongo m ovie na bongo fleva, Shilole amefunguka kwa kusema kuwa mwanamke lakina uwe na maumbile manene ili kumvutia mwanaume. Shilole ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma ‘Kigori’, ameiambia XXL ya Clouds Fm kuwa siyo sifa mbaya kunenepa hasa kwa mwanamke na kitu ambacho anajivunia. “Mwanamke lazima uwe na sehemu mwanaume […]

Read More..

Video: Wema sio wife material, sidhani hata...

Post Image

Muigizaji wa filamu, Rado amefunguka kwa kudai kuwa Wema Sepetu sio aina ya wanawake ambao anaweza kuoa kutokana na jinsi alivyo. Muigizaji huyo ambaye ameigiza filamu moja na Wema Sepetu iitwayo, Madame, amedai mrembo huyo wa filamu ni mlegevu na ni mtu wa kudeka muda wote. 

Read More..

Jackline Wolper Awapa ‘Kitchen Party’ M...

Post Image

Mcheza sinema wa Bongo Movie, Jackline Wolper amewaasa mashabiki wake kuacha kusikiliza maneno ya kukatisha tamaa wanapojitafutia riziki kwa kuwa hiyo ni kawaida. Jackline ameandika waraka mrefu katika mtandao wa Instagram akiwaasa mashabiki zake kuwa kama watasikiliza maneno ya watu hawatakamilisha ndoto zao. “Basi leo nataka niwaambie kitu hakuna binadamu anayependa hivyo ulivyo na ndio […]

Read More..

Mimi ni Demu wa Bei Kali Tukutane Mlimani C...

Post Image

IRENE Uwoya muigizaji wa filamu wa kike Bongo ametamba kuwa kipaji chake ni cha kipekee kwani yeye ndio msanii wa kwanza kuanza kuigiza na kutwa tuzo kama muigizaji bora wa kike mwaka 2008, tuzo zilizojulikana kwa jina la Vinara na hadi leo bado amekuwa bora katika tasnia ya filamu Bongo. “Ubora wangu umedumu toka kuingia […]

Read More..

Kajala Masanja Ashangazwa na Kiki za Kutemb...

Post Image

STAA kiwango kunako filamu Bongo, Kajala Masanja kwa mara ya kwanza ameweka wazi kuwa hakuna kitu ambacho anakichukia katika maisha yake kama mtu kumbambikia kiki ambazo zinahusiana na kutembea na mume wa mtu au bwana wa mtu kwa sababu haimjengei chochote kwenye jamii zaidi ya kumuharibia. Akizungumza na mwandishi, Kajala, alisema kuna watu wengi wako […]

Read More..

Ua la Idris Lamtoa Machozi Wema

Post Image

STAA wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu ameibuka na kusema kuwa Ua alilodaiwa kumpelekea Idris ambalo si lake limemsababishia kugombana na mpenzi wake kitendo kilichomkera sana kwani hajawahi kufanya hivyo na kwa sababu hiyo alikesha akilia. Akizungumza na Risasi Jumamosi Wema, alisema kuwa pamoja ya kuwa alimuomba msamaha Idriss kwa kutokwenda kwenye shughuli yake ya uzinduzi wa […]

Read More..

Mama Lulu:Nasubiri Ndoa ya Lulu

Post Image

MAMA wa mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila amefunguka kuwa anasubiri ndoa ya mwanaye kwani mkwewe mtarajiwa yupo na ameonesha dhamira ya dhati ya kumuoa bintiye. Akishusha ‘vesi’ mara baada ya kuulizwa kuhusu mustakabali wa penzi la mwanaye, mama huyo alisema hana wasiwasi kama wazazi wengine wanavyokuwa na hofu. “Sina hofu kama wazazi wengine. Nasubiri […]

Read More..

Ebitoke Alizwa na Ben Pol (Audio)

Post Image

Mchekeshaji maarufu bongo Ebitoke alizwa na kitendo cha anayedaiwa kuwa mpenzi wake Ben Pol kutopokea simu wala kujibu meseji zake, na kuomba msaada kwa watu kumuuliza msanii huyo kwa nini anafanya hivyo, licha ya kuwa na mipango mingi ya baadae. Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Ebitoke amesema kitendo hicho kinamuweka njia panda, […]

Read More..

Kukwama biashara ya Wema, sababu yaanikwa

Post Image

Meneja wa msanii gumzo bongo Wema Sepetu, amefunguka kuhusu tetesi za bidhaa ya lipstick ya msanii huyo ‘Kiss by Wema’ kuzuiwa kuingia sokoni kutokana na ubora, na kusema kwamba taarifa hizo hazina ukweli. Akizungumza na mwandishi wa habari wa East Africa Television meneja huyo aliyejulikana kwa jina la Happy Shame, amesema mzigo huo haupo sokoni […]

Read More..

Irene Uwoya Afungukia Mpenzi Wake Kuwa na M...

Post Image

Msanii wa kike wa filamu za bongo ambaye pia aliwahi kuolewa na mcheza mpira kutoka Rwanda, mlimbwende Irene uwoya, amesema mpenzi wake wa sasa ana ngeu nyingi mwilini za kuchanwa visu. Akipiga stori na Big Chawa kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Irene amesema watu kama hao ndio anaowataka yeye kwani inaonyesha uanaume […]

Read More..

Chuchu Hans: Sitamani Kuolewa na Ray Ng’o...

Post Image

CHUCHU Hans ni mmoja wa mastaa wa filamu ambao wanafanya vizuri kupitia tasnia hiyo na kama ukibahatika kuangalia moja ya kazi zake, utakiri niyasemayo. Pia si msanii tu wa filamu bali yupo vizuri kwenye kuigiza hata kucheza muziki mbalimbali na ndiyo maana akiwa katika mashindano ya urembo wa Miss Tanzania miaka hiyo, aliibuka mrembo mwenye […]

Read More..

Shamsa ajitosa ishu ya Hamisa na Diamond, ...

Post Image

Msanii wa filamu Bongo, Shamsa Ford ametia neno kile kinachoendelea kwa sasa kati ya Diamond Platnumz na Mwanamitindo Hamisa Mobetto. Mapema leo hii Diamond amekiri kuwa mtoto wa Hamissa ni mwanaye licha ya kuwa katika mahusiano na Baby Mama wake, Zari The boss Lady. Katika mtandao wa Instagram Shamsa ameandika ujumbe mfupi na kueleza kuwa […]

Read More..

JB Awachana Wakina Gabo na Duma

Post Image

Muigizaji mkongwe nchini Jacob Stephen ‘JB amefunguka na kuwachana Gabo Zigamba pamoja na Duma kwamba njia pekee ya kufahamika ni kupitia kazi zao wanazozifanya na wala siyo masuala ya ugomvi baina yao. JB amesema hayo kupitia kipindi cha eNewz kutoka EATV, baada ya msanii Duma kutoa kauli yake iliyokuwa inamponda Gabo siku za hivi karibuni […]

Read More..

Chuchu Hans: Naanza Kumwandaa Jaden Kuwa St...

Post Image

STAA wa Filamu za Bongo, Chuchu Hans, amesema kuwa atafanya kazi kwa bidii kuhakikisha anamwandaa mtoto wake wa kiume kuwa staa wa baadaye. Msanii huyo pamoja na Vicent Kigosi ‘Ray’ walifanikiwa kupata mtoto wa kiume mapema mwaka huu, ambaye amepewa jina la Jaden. Akizungumza na MTANZANIA jana, Chuchu alisema Jaden si wa kwanza, hivyo ili […]

Read More..

Wolper Afunguka Kama Akitendwa na Mpenzi Wa...

Post Image

Muigizaji wa filamu na Mfanyabiashara, Jacquline Wolper amefunguka na kusema iwapo mpenzi wake wa sasa (Brown) akimtenda na kumuumiza kama waliopita ataamini kuwa hakuna wa kumwamini kwenye mapenzi na kwamba wanaume wote wana matendo ya kufanana. Akizungumza na Mwandishi wa EATV, Wolper ambaye miezi michache alitangaza kuachana na aliyekuwa mpenzi wake (Msanii wa muziki) ma […]

Read More..

Duma vs Gabo Moshi Unafuka!

Post Image

Upande wa Bongo Movie nako kunazidi kuwaka moto ambapo safari hii tena hali inazidi kuwa ya balaa juu ya uwepo wa bifu wa Mwigizaji aliyetamba na tamthiliya ya Siri ya Mtungi, Daudi Michael “Duma” pamoja na Gabo Zigamba. Kwa mujibu wa Duma anasema, Katika watu wa kwanza wanaoongoza kuharibu sanaa ya Bongo Movie ni Gabo […]

Read More..

Hakimiliki Itawanufaisha Wasanii, Mapato ya...

Post Image

Ili kukidhi mahitaji ya kila siku, jitihada zinahitajika. Kila mtu anayo namna yake halali ya kumuingizia kipato. Katika harakati hizo wapo wasanii wa uigizaji, muziki au uimbaji, uchoraji, uandishi, utunzi na ubunifu tofauti. Hakimiliki ni sheria ambayo inampa msanii haki ya kumiliki kitu alichotengeneza au kubuni. Kinaweza kuwa kwenye mfumo au muonekano wa mchoro, picha, […]

Read More..

Wema Sepetu na Idris Kazi Bado Ipo

Post Image

INSTAGRAM siku hizi ndo imekuwa sehemu ya watu wengi maarufu kutolea mapovu yao mengi pengine inaweza ikawa sababu ya umaarufu wa mtandao huo na uwepo wa watu wengi wanaotumia pia. Majuzi kolabo hatari ambalo liliingia doa mapema, kati ya Idris Sultan na Wema Sepetu lilianza kuonekana tena kuanza kurudi rudi baada ya wote kwa pamoja […]

Read More..