-->

Category Archives: Other Celebs

singers

Sipendi kuisikia ‘DSM Stand Up’ – Chid Benz

Post Image

Msanii Chid Benz amesema huwa hapendi kuisikiliza nyimbo yake ya Dar es salaam Stand Up na kwamba hata anapo ‘perform’ jukwaani hujisikia vibaya. Chid Benz ameyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, na kusema ukubwa wa wimbo huo unamuumiza hisia zake, hivyo hujisikia vibaya kila anapousikiliza. “Hii nyimbo […]

Read More..

Flora Mbasha Akimbilia Kenya

Post Image

MWIMBAJI wa nyimbo za injili nchini, Flora Mbasha, amekimbilia nchini Kenya kurekodi albamu yake mpya anayotarajia kuipa jina tofauti na nyimbo zitakazokuwa katika albamu hiyo. Mwimbaji huyo ambaye kwa sasa amefungua darasa la kufundisha uimbaji wenye mafanikio, alisema albamu hiyo inayotarajiwa kuingia sokoni mwishoni mwa Machi, imerekodiwa nchini humo kwa lengo la kubadili ladha ya […]

Read More..

Afya ya Mr. Nice Kuteteleka… Simulizi Yak...

Post Image

SIKU chache baada ya kusambaa kwa picha yake inayomuonesha akiwa amepungua mwili na kuzua mjadala mitandaoni huku wengi wakimuonea huruma, mkongwe wa Muziki wa Takeu, Lucas Mkenda ‘Mr. Nice’ ameibuka na kufungukia afya yake. Picha inayomuonesha Nice akiwa amepungua mwili ilizagaa mapema wiki hii kwenye mitandao ya kijamii ambapo wengi waliochangia mjadala wa picha hiyo, […]

Read More..

Sina Mpango wa Kumtafuta Said Fella -Juma N...

Post Image

Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini, Juma Nature, amesema hawezi kumfuata bosi wake wa zamani Said Fella kumtaka afanye nae kazi tena kama zamani. Nature maarufu kama kiroboto ameyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano na kipindi cha E News kinachorushwa na EATV na kusisitiza kuwa kama hajafuatwa yeye hawezi kwenda kumuomba afanye naye kazi. ”Mimi […]

Read More..

Baada ya Kudaiwa Kumdiss Diamond Platnumz, ...

Post Image

Ni masaa machachetu tangu kusambaa kwa ujumbe ulioandikwa kupitia Instagram account ya staa wa bongo fleva Belle 9 ikionyesha kumdiss staa mwenzake bongoflevani Diamond Platnumz, ujumbe wenyewe ulisomeka hivi>>> Lakini kupitia account yake hiyohiyo, Belle 9 akaandika ujumbe huu mwingine uliosomeka,>>> ‘#Samaqhani ndugu watanzania kwa usumbufu uliojitokeza ,samahani sana kwa mwanamuziki mwenzangu@Diamondplatnumz #emailmnayoiona hapo juu ndio ya hacker […]

Read More..

Nitagombea Urais wa Tanzania mwaka 2040-Sai...

Post Image

Diwani wa kata ya Kilungule wilayani Temeke jijini Dar es salaam Said Fella (CCM ) amesema atagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ifikapo mwaka 2040. Fella ambaye pia ni meneja wa Yamoto band na TMK wanaume fanmily ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na E News ya EATV. ”Kama Mungu akinipa uhai mwaka huo nitakuwa […]

Read More..

Ray C, Hali Tete

Post Image

Hali ya mrembo aliyekuwa akifanya vyema kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Fleva kabla ya kutopea kwenye matumizi ya madawa ya kulevya ‘unga’, Rehema Chalamila ‘Ray C’, si shwari kwani sasa amerudishwa kwao, Bunju jijini Dar hivyo kuzua wasiwasi wa jinsi atakavyoweza kutumia dawa, tembea na Amani. Chanzo cha uhakika kilichopo ndani ya idara ya […]

Read More..

Alichofanya Nay ni Kama Kichekesho Kwangu-S...

Post Image

Msanii Sheta alimaarufu kama Baba Kayla amefunguka na kusema alichokifanya Nay wa Mitego kwenye wimbo wa ‘Shika Adabu yako’ ni kama kichekesho kwake. Shetta amesema hayo kupitia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio na kusema yeye na Nay ni washikaji tu na wanaongea wote na kudai kuwa alikuwa anatambua hilo toka hata wimbo […]

Read More..

CD na DVD 7,780 Bandia Zakamatwa Dar

Post Image

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata CD na DVD 7,780 za muziki na filamu kutoka kwa wasambazaji mbalimbali jijini Dar es Salaam zikiwa bila stempu za kulipia kodi, jambo ambalo ni kinyume cha sheria. Zoezi hilo liliendeshwa kwa kushirikiana na Kampuni ya Yono Auction Mart na Jeshi la Polisi katika maeneo mbalimbali, ambapo lilibaini ukiukwaji […]

Read More..

Baraka Awaponda Wasichana Wanaomshobokea

Post Image

Msanii Baraka da Prince amewapa za uso watu wanaomchafua kwa kusema kuwa wana mahusiano nae, na kusema jitihada zao za kumuharibia taswira yake kwenye jamii zimegonga mwamba. Kwenye ukurasa wake wa Instagram Baraka amepost picha akiwa na mwananmke lakini hakumuonyesha sura ni nani, na kusema kuwa mwanamke huyo ndiye anayemtambua na sio wengine. “My life […]

Read More..

“Muziki wa Bongo Fleva ni bigijiiR...

Post Image

Mwanamuziki wa miondoko ya dance hapa nchini Patcho Mwamba amesema muziki wa bongo fleva hauna tofauti na bigjii maana haudumu kwa muda mrefu. Patcho ameyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano na kipindi cha E NEWS kinachorushwa na kituo cha EATV. Patcho amesema pamoja na waandaaji wa vipindi vya redio na runinga kuwapendelea wanamuziki wa bongo fleva […]

Read More..

INSTANEWS: Wabongo wa Mvaa Rosemary Odinga ...

Post Image

Rosemary Odinga, mtoto wa mwanasiasa mkongwe wa Kenya, Raila Odinga anatamani Instagram isingekuwepo! Ni kwasababu tangu aombe radhi kupitia mtandao huo kwa kauli aliyoitoa kwenye mkutano wa viongozi vijana wa kimataifa, IYLA kwenye umoja wa mataifa kuwa Olduvai Gorge ipo Kenya, amekuwa akioga mvua ya matusi. Kupitia Instagram, Ms Odinga aliandika: I have just been […]

Read More..

Rais JPM amtumia salamu za Rambirambi JK kw...

Post Image

Kaka wa Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete, Mzee Selemani Mrisho Kikwete enzi za uhai wake.

Read More..

Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika kupi...

Post Image

Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika (AfCHPR) katika kikao chake kilichoanza jijini hapa, itapitia maombi ya rufani ya mwanamuziki maarufu nchini, Nguza Viking na John Viking dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hata hivyo, taarifa iliyotolewa na mahakama hiyo jana, ilieleza kuwa kesi hiyo namba 006/2015 iliyopangwa kusikilizwa Machi 11 haitasikilizwa katika mahakama […]

Read More..

Sina Mpango wa Kuoa Mtu – Ney wa Mitego

Post Image

Msanii Ney wa Mitego amesema kwa sasa hana mpango wa kuoa na wala hafikirii kuoa, licha ya kuwa na watoto ambao wanahitaji malezi ya mama. Ney ameyasema hayo kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, na kusema kwa sasa hayuko kwenye mahusiano yoyote, na suala la kuoa kwake ni suala zito, hivyo hawezi kukurupuka na […]

Read More..

Baada ya Lupela, Alikiba Kuja na Hii

Post Image

Msanii Ali Kiba ambaye kwa sasa anafanya poa na ngoma yake mpya ya Lupela amefunguka na kusema kazi nyingi zinakuja ila kwa sasa atatoa kazi na wasanii kutoka nchini Kenya wanaounda kundi la Sauti Sol. Akipiga stori kupita kipindi cha Friday Night Live kinachorushwa na EATV Ali Kiba amesema baada ya kazi yake hii inayotamba […]

Read More..

Wanaosema Nimefulia ni Mamluki na Kenge -Du...

Post Image

Msanii Dudu baya amewalalamikia Watanzania na kusema kuwa hawafikirii kitu kingine cha msingi pale msanii anapokuwa kimya, na badala yake wanakimbilia kusema msanii huyo amefulia. Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Dudu baya amesema mashabiki weni ndio wa kwanza kulaumu kuwa wasanii wa Tanzania hawana elimu, hivyo wakikaa kimya ili kufanya […]

Read More..

Exclusive Video: Harmonize Ft Diamond Platn...

Post Image

Video mpya ya msanii Harmonize kutoka Wasafi Classic amemshirikisha Boss wake Diamond Platnumz wimbo unaitwa “Bado”  Video imefanyika nchini Afrika Kusini.

Read More..