-->

Daily Archives: January 5, 2016

Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi imezuia Bomo...

Post Image

Mahakama kuu kitengo cha ardhi imezuia bomoabomoa ya Nyumba za wananchi bonde la mto Msimbazi hadi kesi ya msingi ikamilike Jan,11 mwaka huu. Hukumu hiyo inafuatia shauri lililofunguliwa na Mbunge wa Kinondoni (CUF) Maulid Mtulia, kufungua kesi katika Mahakama kuu ya Ardhi kupinga ubomoaji wa nyumba uliokuwa ukiendelea bila kutoa njia mbadala za makazi ya […]

Read More..

Wasanii Watoa Mapendekezo Haya Kwenye Kikao...

Post Image

Katika Kikao cha Wanamuziki kinachoendelea leo jijini Dar, wasanii wametoa mapendekezo makuu matatu : (1) kutokuwa na imani na CMEA (2) kuvunjwa kwa bodi ya COSOTA kutokana na kutokuwa utaratibu mzuri wa kudhibiti na kusimamia mirabaha ya kazi zao na (3) Radio stations ziendelee kupiga nyimbo zao hadi watapotoa tamko. Hivyo wameomba rais wa shirikisho […]

Read More..

Mwakifwamba Atoa Onyo Kali kwa Wasanii

Post Image

RAIS wa Shirikisho la Filamu nchini (TAFF), Simon Mwakifwamba, amewaonya wasanii wa filamu na wale wanaounga mkono Shirikisho hilo kutogombana na amewataka waungane kwa ajili ya kufanya kazi. Akizungumza na MTANZANIA, Mwakifwamba alisema kuwa kwa muda mrefu kumekuwa na hali ya vuta nikuvute baina ya makundi hayo ya wasanii ugomvi uliochangia kuirudisha nyuma tasnia hiyo […]

Read More..

Faiza Awachanganya Mashabiki Hukuhu Kifo

Post Image

MSANII wa filamu nchini, Faiza Ally, amewachanganya mashabiki wake baada ya kuandika kwenye akaunti yake ya Facebook na kudai kwamba amefariki. Hata hivyo, msanii huyo amesema kuwa aliandika hivyo kutokana na kuchukizwa na waongozaji wa filamu yake mpya ambao wanachelewesha kufanya kazi hiyo. “Sikuona kama ni tatizo kuandika hivyo na baadaye ndugu na jamaa wakajua […]

Read More..

Sitochora Tena Tattoo ya Jina la Mpenzi Wan...

Post Image

Shilole ameapa kutorudia tena kuchora tattoo yenye jina la mpenzi wake. Hivi karibuni muimbaji huyo alilazimika kuifuta tattoo ya jina la aliyekuwa mpenzi wake, Nuh Mziwanda. Shilole amesema kujichora tattoo ya jila Nuh kumemharibia issue kibao. “Tattoo hapa ni empty,” aliambia 255 katika kipindi cha XXL cha Clouds FM Jumatatu hii. “SiwezI tena kuchora tattoo […]

Read More..

Lulu Akanusha Kutoka na Tekno, Atoa Maelezo...

Post Image

Elizabeth ‘Lulu’ Michael amelazimika kuandika maelezo marefu kukanusha tetesi zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii kuwa alivunja amri ya sita na hitmaker wa Duro, Tekno aliyekuwepo Dar siku ya mwaka mpya. Haya ni maelezo yake aliyoandika kwenye Instagram: Okay…naona watu Mnatafutaga Topic Na mkipata picha story mnatungaga mnazozijua NI hivi….naomba heshima Na busara vitumike Nilikutana Na […]

Read More..