-->

Daily Archives: January 1, 2016

Wema Sepetu Amrushia kijembe Diamond!

Post Image

SIMBA! Kufuatia lile sakata la jina la mnyama Simba ambapo Diamond amekuwa akijiita jina hilo siku za hivi karibuni na msanii  Mr Blue kudai kuwa alilianzisha yeye kujiita simba huku mkongwe Afande Sele akisisitiza yeye ndiyo samba dume, mastaa wengi wa hapa bongo wamekuwa  wakijiita majina ya wanyama ikiwa ni namna moja ya kuchombeza sakata […]

Read More..

Thea Atetwa kwa Vimini, Acharuka!

Post Image

MSANII mkongwe wa fi lamu Bongo, Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ amejikuta akitetwa akidaiwa kuwa mcharuko kwa kuvaa vimini hasa baada ya kuachana na mumewe, Michael Sangu ‘Mike’. Kutetwa huko kumeonekana kumkera sana Thea ambaye juzikati akichonga na Ijumaa alisema, anawashangaa wanaomsema vibaya kwani anaamini anaishi maisha anayotaka yeye na wala hakuna anayeweza kumzuia. “Mimi napenda kuvaa vimini tangu zamani […]

Read More..

Picha 5 za Shoo ya Funga Mwaka ya king Kib...

Post Image

Usiku wa kuamkia leo, mfalme wa Bongo Fleva, Ali Kiba aka Balozi wa wanyama alifanya shoo kubwa ya kuuaga mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka 2016 mjini machakos nchni Kenya. Akiwa na wacheza shoo wake, 4real Dancers  balozi king Kiba alifanya shoo kali ya kihistoria jionee

Read More..

Bongo Muvi, TAFF Wamaliza Tofauti Zao

Post Image

BIFU kubwa lililokuwepo kati ya wasanii wa fi lamu wanaounda Bongo Movie na wale wa Shirikisho la Filamu Tanzania ‘Taff ’ limeyeyuka baada ya viongozi wa pande zote mbili kukutana na kuona kuna ulazima wa kuwa kitu kimoja. Taarifa za pande hizo mbili kumaliza tofauti zao zilitua kwenye dawati la gazeti hili na kuthibitishwa na […]

Read More..

Chilo Afungukia Kupotea Tamthilia za Nyumba...

Post Image

Msanii wa filamu, Mzee Chilo amedai wamiliki wa runinga nchini ndio waliosababisha kupotea kwa tamthilia za nyumbani kwa kuzikwepa na kuonesha za kigeni. Muigizaji huyo ambaye pia ni mmiliki wa kampuni ya Pilipili Entertainment, ameiambia Bongo5 kuwa hali hiyo imesababisha wazalishaji wa filamu nchini kukaa na kazi zao ndani bila kuwa na sehemu za kuzipeleka. […]

Read More..

‘Home Coming’ Iwe Fundisho kwa Wasanii ...

Post Image

KATIKA tasnia ya filamu hapa nchini tunaanza kupiga hatua kwa kiasi kikubwa sana kutokana na wasanii wengi kujituma kwa lengo la kutangaza kazi zao ndani na nje ya nchi, huku ikiwa njia mojawapo ya kujipatia kipato. Siku zote tumekuwa tukiona filamu zetu za hapa ndani zikitazamwa kwa muda mfupi na zinaanza kusahaulika kutokana na uwezo […]

Read More..